uenyekiti chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OC-CID

    Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

    Kutakuwa na mdahalo wa wagombea uenyekiti wa Chadema leo kuanzia saa 3:30 usiku pale Star Tv. wagombea wanaotarajia kuwepo kwenye mdahalo huo ni pamoja na jabali wa siasa, Tundu Lissu pamoja na Odero Odero. Freeman Mbowe hatahudhuria mdahalo huo kwasababu ambazo zipo nje ya uwezo wake...
  2. Waufukweni

    Mbowe: Nitaunda tume ya ukweli na upatanishi nikishinda Uenyekiti

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema iwapo atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama hicho, ataunda tume ya ukweli na upatanishi. Amesema katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho kuanzia ngazi za chini hadi wa taifa, utakaohitimishwa Jumanne ya Januari 21, 2025, kumetokea mnyukano mwingi...
  3. Mr Dudumizi

    Kwanini Mbowe asingegombea Umakamu Mwenyekiti wa chama, ili likitokea la kutokea yeye abaki na chama?

    Habari zenu wanaJF wenzangu Ndugu Mbowe na baadhi ya vijana wake (wengi mnawaita chawa), wamekuwa hawaamini kama ndugu Lisu akishinda uenyekiti wa Chadema ataweza kuendesha chama na badala yake atakiua. Wengine wameenda mbali zaidi kwa kudai kwamba kuna uwezekano Lisu akishinda uenyekiti wa...
  4. M

    Ushauri kwa Lissu kujitoa katika uchaguzi; Hoja 5 madhubuti

    Ushauri kwa Lissu: Kujitoa Katika Uchaguzi na Kumuunga Mkono Mbowe Mheshimiwa Lissu, kwa kuzingatia hali ya kisiasa ndani ya CHADEMA na mazingira ya uchaguzi wa ndani, kuna hekima kubwa katika kuchukua hatua ya kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha uenyekiti na kumuunga mkono Mheshimiwa Mbowe. Hii...
  5. mtetezi wa MAGU

    Pre GE2025 Lissu ukishashinda uchaguzi wa uenyekiti, tuombe radhi kwa kumtukana Hayati Magufuli tukupe nchi

    Hatuna shaka na uzalendo wa Lisu wala misimamo yake katika kukataa Rushwa, chama kikiwa mikononi mwake ukombozi wa kweli wa Taifa utapatikana. Magufuli alitenda Mengi Mazuri lakini kama ilivyokawaida ya binadamu hakuna aliyekamilika mazui yalikuwa mengi kuliko Madhaifu, Lissu mara baada ya...
  6. Waufukweni

    Pre GE2025 CHADEMA Mbeya: Mkituletea Mbowe Chama kinakufa

    Wafuasi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Mbeya wamewataka wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho watakaoshiriki uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya Taifa kumchagua Tundu Lissu ili aweze kushika wadhifa huo. Wakizugumza katika mkutano na...
  7. Ubaya Ubwela

    Edo Kumwembe: Ningekuwa mshauri wa Mbowe, ningemshauri ajiondoe katika kinyang'anyiro

    Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo kutoka Wasafi Fm, Edo Kumwembe amesema angekuwa mshauri wa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe angemshauri kujiondoa katika kinyang'anyiro cha Uenyekiti kisha atangaze kumuunga mkono mpinzani wake Tundu Lissu Edo amesema “ningekuwa...
  8. Cute Wife

    Pre GE2025 Lema: Wajumbe mkipewa pesa au chakula chukueni kwenye kupiga kura wachinjeni. Mchagueni Heche kwenye Umakamu Uenyekiti

    Lema awaambia wajumbe yeyote anayewashawishi kwa pesa na kutaka kuwafungia chakula wachukue halafu wakishakua waende kwenye kuwachinja kwenye uchaguzi. Pia soma: https://www.jamiiforums.com/threads/godbless-lema-namuomba-mbowe-apumzike-amuachie-lissu-afanye-kazi-ya-uenyekiti-chadema.2297060/...
  9. Waufukweni

    Pre GE2025 Godbless Lema: Mbowe ameniambia zaidi ya mara 5 amechoka anataka kuachia Chama hiki

    Godbless Lema amesema kuwa Mwenyekiti Freeman Mbowe alimwambia mara kadhaa kwamba amechoka na anataka kuachia uongozi wa chama. Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA "Mwenyekiti Mbowe mimi amenambia zaidi ya zaidi ya mara tano mwaka jana...
  10. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu amesema ni kifo au kufukuzwa ndio vitamtenganisha na chama hicho

    Kuhusu kuendeea kusalia ndani ya Chama endapo atashndwa Uchaguzi Januari 21, 2025 "Nitakua Mwanachama, nitaendelea na mapambano kama Mwanachama (kwanini atabaki Chadema)...kwasababu najua mamilioni ya Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wanataka mabadiliko kwahiyo nitaendelea mapambano ndani ya...
  11. Tlaatlaah

    Unamshauri Tundu Lissu ajiunge na chama gani ikiwa atashindwa uenyekiti Taifa CHADEMA?

    Kwasababu ni wazi, mpaka sasa matumaini hakuna tena, Tundu Lisu amekata tamaa kabisa. Nguvu ya kisiasa, uwezo wa kiuchmi na ushawishi wa hoja wa chairman mbowe kwa wajumbe hauzuiliki kabisaa wala hayupo wa kudhoofisha. Na kumbuka, Tundu Lisu mpaka kuamua kugombea uenyekiti na kuacha umakamu...
  12. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Kuna fedha chafu zimeingizwa CHADEMA ili tulegeze msimamo

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa na Mgombea wa Uenyekiti, Tundu Lissu kwenye mahojiano na Wasafi Media amesema; "Nachotaka kusema ni kwamba Uchaguzi huu kumekuwa na fedha nyingi sana..sana, ambazo wala sio za CHADEMA, (lengo la fedha hizo) ni kuhakikisha kwamba CHADEMA inakua na...
  13. Waufukweni

    Pre GE2025 John Heche: Lissu atashinda Uchaguzi hilo liko wazi na halipingiki

    John Heche amesema kuwa Tundu Lissu ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi wa Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa, akisisitiza "hilo liko wazo na halipingiki" Licha ya kumuunga mkono Tundu Lissu, John Heche alichukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  14. Waufukweni

    Pre GE2025 Freeman Mbowe: Ni kweli tutanyukana, na tukimaliza kunyukana tukutane kwenye box

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema ni kweli kwenye uchaguzi huu watanyukana lakini baada ya kunyukana, watakutana kwenye boksi la kura kisha baada ya hapo watapeana mikono. Mbowe ameyasema hayo wakati akihutubia Baraza la Baraza la Vijana wa Chadema...
  15. Waufukweni

    Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: Ningependa Tundu Lissu ashinde Uenyekiti CHADEMA kwa faida ya demokrasia ya Tanzania na hata kwa CCM yenyewe

    Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, amesema: "Mimi nam-support Tundu Lissu, ningependa ashinde, lakini ni matatizo yao hayo. Mimi, yeyote...
  16. Waufukweni

    Pre GE2025 Cyprian Musiba: Muunganiko wa Heche na Lissu itatupa tabu CCM, Mbowe sio mgumu

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba akitoa maoni yake kuhusiana na uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). "Freeman Mbowe sio tough (mgumu) vile, sababu Mbowe mnaweza mkazungumza, Wenje mnaweza mkazungumza na mambo yakaenda na mkapeleka nchi yenu mbele." "Lakini wale jamaa...
  17. B

    Pre GE2025 Onesmo Mushi: Kwanini Mbowe hapaswi kupewa uongozi tena?

    "Bila shaka hii ni kwa sasa, vinginevyo labda kwa siku za usoni." Hoja hupingwa kwa hoja. Anaandika msomi, tukisubiria za kina Sugu: "Ubunifu wa Mbowe miaka ya nyuma ulikuwa asset kubwa kwa chama. Hata hivyo miaka ya hivi karibuni UBUNIFU huu umeonekana kufikia plateau, jambo linalokigharimu...
  18. K

    Alitaka kuuawa kwa sababu yeye ni Mzalendo kwa Chedema?

    Wafuasi wa Lissu wanashikilia kuwa Lissu anastahili kupewa uenyekiti wa CHADEMA kwa sababu moja wapo ni kuwa mzalendo wa chama aliyepoteza damu yake kwa ajili ya CHADEMA. Swali langu: Je, Lissu alipigwa risasi kwa sababu ya kuipigania CHADEMA? Alikuwa anaipigania CHADEMA kwa lipi hasa? Je...
  19. Waufukweni

    Pre GE2025 Mbowe: Nikishindwa uchaguzi narudi kwenye biashara zangu

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema atapokea matokeo ya kushindwa katika kinyang'anyiro cha uenyekiti endapo wapigakura watasema hatoshi na atarudi kwenye biashara zake. Mbowe amesema hayo leo Ijumaa, Januari 10, 2025 alipohojiwa katika kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na...
  20. M24 Headquarters-Kigali

    Mshindi Uenyekiti CHADEMA anaweza kutangazwa usiku wa manane!

    Kwa Hizi figisu kuna kila dalili Mshindi wa uenyekiti atatangazwa usiku wa manane ili kupunguza vurugu. Natanguliza salamu za Pongezi kwa Mwenyekiti FAM kwa ushindi mnono wa kura
Back
Top Bottom