Siasa ni mchezo mchafu. Vita vya kiti cha Uenyekiti chadema kati ya chawa wa pande mbili ni vita vilivyotengezwa na Tiss. Wakiwatumia vijana wao kuna yeriko. Ni vita vya kupigania pesa za rushwa kutoka kwa chama mtaala. Wakati mbowe akiwatumia vijana wake akina wenje, yericko kupoza nguvu ya...
Wakuu,
Uchaguzi huko CHADEMA umeendelea kupamba moto, watu wameendelea kujitikeza kutia nia.
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Odero Charles Odero anatarajiwa kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya Taifa kesho, Jumatatu, Desemba 23, 2024 katika...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akirejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa chama hicho kwa mara nyingine tena.
Soma pia: Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?
Wakuu,
Inaonekana BAWACHA wametimiza rasmi ahadi yao ya kumlipia Mbowe fomu ya Uenyekiti
Soma pia: BAWACHA Pwani kutoa Tsh. Milioni 1.5 kumchangia fomu ya uenyekiti Mbowe
Kundi la wanawake wanaomuunga Mkono Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chadema kwa kipindi kingine cha miaka...
Wadau ...
Nipende kumshauri mpinzani wa kweli na Muumini wa Demokrasia Mh Tundu A. Lisu kuwa ni busara kujiengua mapema kwenye kiini macho kinachosubiriwa cha uchaguzi CDM, watu ambao wanaenda kupiga Kura wanakula , wanalala kwa gharama za Mbowe. Wewe Nani atakupigia Kura japo wanafahamu uwezo...
Ni habari ambazo zimepatikana na Dr. Slaa amezitoa usiku wa kuamkia leo katika Clubhouse. Kuwa amezinyaka hizo taarifa. Ijumaa ya tarehe 20 Mbowe alikuwa tayari atumie busara aachie nafasi.
Lakini amepokea ujumbe kutoka kwa Wakubwa kuwa asijaribu kumruhusu Lissu awe Mwenyekiti. Atajiharibia...
Habari.
Uzi huu uwe mwendelezo wa kila kinachojiri katika mpambano huu wa kukata na shoka.
Siku ya kesho December 21 kuanzia saa 5 asubuhi Mdude CHADEMA kuongea n vyombo vya habari.
Dec 21 kuanzia saa 5 asubuhi Mwenyekit wa CHADEMA taifa mh. Freeman Mbowe kutangaza hatma yake.
Lakini kesho...
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Mtongani, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Romanus Romanus Mapunda amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Taifa wa chama hicho katika Ofisi za CHADEMA jijini Dar es Salaam.
Mapunda anakuwa ni mwanachama wa pili...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam, Henry Kilewo, amesema kuwa wanamuhitaji Freeman Mbowe kuendelea na uongozi ndani ya chama hicho.
"Mimi ni miongoni mwa wenyeviti wa CHADEMA waliomuomba Mbowe agombee. Moja ya jibu nalotegemea kutoka kwake katika saa 48 alizotoa ni kwamba atagombea"...
Nashangaa sana wazee wa mwanzoni akina Mtei na Makani walifanya uenyekiti wa CHADEMA kama nafasi huru hawakutaka kukaa madarakani mpaka waondolewe kwa nguvu. Kwa Sasa ni CHADEMA imejenga mtindo wa kwamba akitokea kiongozi mwenye ushawishi akagombea uenyekiti wa chama huwa anageukwa na kuitwa...
Vyombo vya habari vinaripoti kuwa wanachama wamevamia nyumbani kwa mBOWE kumsihi achukue fomu za kugombea uenyekiti wa chama hicho ili akamkabili msanii Tundu Lissu.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Wafuasi CHADEMA wavamia nyumbani kwa Mbowe kumlazimisha achukue Fomu ya kugombea Uenyekiti
Yapo...
Kundi kubwa la vijana wamejazana Nyumbani Kwa Freeman Mbowe mikocheni
Baadhi ya majirani wamepiga Simu polisi Ili kuomba Ulinzi wa Makazi yao
Niko hapa Chato ngoja nielekee nikashuhudie kinachojiri 🐼
==
Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefika nyumbani kwa...
Baadhi ya makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka mikoa mbalimbali, ikiwamo Dar es Salaam wamejipanga leo Desemba 18, 2024 kwenda nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, Mikocheni kumuomba agombee tena nafasi hiyo.
Hadi sasa Mbowe...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam.
Pia, Soma: CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu...
Edgar Mwakalebela maarufu kama Sativa amelifadhili zoezi la Lissu kuchukua fomu yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA.
"Kuna wanachama wema wanaofikiri kama mimi, wanaofikiri kwamba uchaguzi huu [Uenyekiti CHADEMA] uwe mwanzo mpya kwa chama chetu, ambao wamechanga fedha ya kulipia...
Taarifa Kamili itakujia hivi Punde
========
Ikiwa leo tarehe 17/12/2024 ndio siku ambayo kipyenga cha kuchukua fomu kwa Wagombea wa nafasi za Kitaifa kimepulizwa, Tundu Lissu amekuwa Mgombea wa kwanza kujitokeza kwenye ofisi za Makao Makuu kuchukua fomu hizo.
Lissu amesindikizwa na kundi dogo...
Ndugu zangu Watanzania,
Nikiri wazi kuwa sijawahi kufikiria wala kuwazia wala kutizamia wala kuota wala kutarajia wala kuona Eti Lissu akichukua Fomu ya Kuomba Kuongoza CHADEMA kama Mwenyekiti wake Taifa.
huu ni utani ,huu ni Mzaha anaoufanya Lissu kwa sababu hana uwezo huo wa kuongoza...
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amejibu juu ya Mhe. Freeman Mbowe kama atachukua fomu ya Uenyekiti wa Chama hicho, wakati alipokuwa akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiwatangazia wanachama juu ya uchaguzi wa viongozi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.