Kamati tendaji ya Kanda ya Serengeti katika kikao chake cha jana Jumatano Januari 08, 2025 kimefikia maamuzi ya kumvua Uongozi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw. Emmanuel Ntobi kutokana na utovu wa nidhamu na maadili ikiwemo kuchafua Viongozi wa Chama chake Kitaifa kupitia mitandao ya...
"Mwenyekiti aliyeenda gerezani sio aliyetoka gerezani miezi nane baadaye, alikuwa tofauti, anaimba maridhiano"
Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema na Mgombea wa Uenyekiti Tundu Lissu amedai chama hicho kimepoteza imani na mvuto kwa wanachama wake na wananchi...
Na Twahir Kiobya (The Man)
Kipyenga cha nafasi ya uwenyekiti katika chama cha CHADEMA kimeshalia, na tunaambiwa kuwa kutakuwepo mdahalo wa wazi baina ya wagombea wa nafasi hiyo yaani Tundu Lissu na Freeman Mbowe.
Hili ni jambo zuri maana linatoa fursa kwa wagombea kueleza malengo, dhamira na...
Mudhihir alisema majoka Yana Tabia za ajabu sana
Akatoa mfano wa Joka la Mdimu ambalo linazuia Watu wasichume ndimu wakati lenyewe halili ndimu
Mbowe mbele ya Viongozi wa dini alikataa kugombea Uenyekiti wa chadema wala Urais wa JMT lakini hataki Tundu Lisu agombee hizo nafasi
RIP Mudhihir...
Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?”
Huo ndio Ukweli' Bila Freeman Mbowe Chadema lazima ianze kutembeza Kikapu cha Sadaka kama enzi za Padre Slaa
Na bila Tundu Lissu Chadema hainaga Wapiga Kura Kabisa yaani October itabidi wamtafute Lowassa mwingine CCM aje na Watu wa kuwapigia kura Wagombea Ubunge kama enzi za Dr Mollel na Cecil...
Akijibu swali la Salim Kikeke Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe amekiri kuwa mara kadhaa amekuwa akikaa na Makamu wake, Tundu Lissu na kujadili mambo yanayohusu Chama na baadae anakuja kuzisikia taarifa hizo zimetoka nje.
Soma, Pia: Freeman Mbowe: Shutma za Lissu...
"Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana yeye kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti ngazi ya taifa..." - Freeman Mbowe kuhusu mgombea mwenza...
Sera za Tundu Lissu ndani ya CHADEMA zimekuwa zikijikita katika misingi ya demokrasia, uwajibikaji, utawala bora, na haki za binadamu. Hapa chini ni baadhi ya mambo makuu ambayo yameonekana kama sehemu ya msimamo na maono yake kwa chama na taifa:
1. Kuimarisha Demokrasia ya Ndani ya Chama...
Kuelekea uchaguzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, chadema ngazi ya taifa,
Yapo mambo mengi sana yametokea na yanaendelea kutukokea kwa nyakati tofauti, na mengi yakihusiana na joto la uchaguzi wa chama hicho, January 22,2025.
Kwa upande wa Freeman Aikaeli Mbowe,
hali hii itamsaidia sana...
Edwin Odemba: Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utafanyika tarehe 18/01/2025, siku ya jumamosi kuanzia saa 3:30 Usiku hadi saa 6:00 Usiku, mahali mtajulishwa. Mpaka sasa wagombea wawili wamethibitisha kushiriki mdahalo huo, tunaendelea na jitihada za kuhakikisha wote wanashiriki katika...
USHAURI: (Mbowe & Lissu) na Wenje wajitoe kugombea uenyekiti na makamu uenyekiti mtawalia, ili kuinusuru CHADEMA, wagombee watu wengine kama akina Lema, Heche nk ambao hawana makundi ndani ya chama.
Kuelekea uchaguzi wa uenyekiti CHADEMA utayarishwe mdahalo mahsusi ukijenga, nini wanataka kuifanyia CHADEMA!
Mdahalo utatoa majibu ya moja kwa moja nani anatufaa na nani hatufai.
NONDO (6) SITA ZA LISSU AKIWA LIVE CLUBHOUSE LEO USIKU
1. SUALA LA MGAO WA RUZUKU
"Suala la mgao wa Ruzuku ya chama kwenda kwenye ngazi za Wilaya na Mikoa hata kama ni kupeleka kidogo cha kadri lilishakuwa changamoto kubwa sana ndani ya chama chetu licha ya kelele nyingi tunazopiga"...
Wakuu,
Lissu amesema ikitokea ameshindwa nafasi ya uenyekiti CHADEMA hapo Januari, atabaki kuwa mwanachama wa kawaida CHADEMA, hatoenda kokote, watabanana humo humo.
Pia soma: Pre GE2025 - Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA, asema taifa linamhitaji Lissu kwa sasa...
Wakuu,
Wilbroad Slaa amuunga mkono Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti CHADEMA.
Pia soma: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
Asema CHADEMA na Watanzania wanamhitaji Lissu katika kipindi hiki, akiwa ni kiongozi bora na mwenye msimamo.
Mambo yanazidi kuwa moto.
Kumekuwa na tetesi viungani kwamba Lissu kaamua "kurusha taulo" na anaomba refa amalize pambano, kulikoni?
Kwamba anataka Wenje ajiondoe kugombea umakamu, na yeye ajiondoe kwenye uenyekiti arudi kwenye umakamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.