Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe.
Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu.
Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee...
Nimepitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo karibia yoote hata Uhuru gazeti pendwa la chama na yale yanayojulikana kuwa na chuki na upinzani yameishabikia sana habari ya Lissu kutangaza nia ya kuchuana kuiwania nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA!.
Ni kwa nini imekuwa hivyo!?
Tangu jana, mara baada ya Wakili Tundu A.M. Lissu kutangaza kugombea uenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, kumekuwa na 'kuwapambanisha' Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe na Lissu kwenye uchaguzi wa CHADEMA utakaofanyika mwakani.
Kuna siku nilimsikia Lissu akisema kuwa mtia-nia yeyote ndani ya CHADEMA...
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa ‘Mama Ongea na Mwanao,’ Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere, amempongeza Tundu Lissu kwa kutangaza nia yake ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA, akisisitiza kuwa ni haki yake kikatiba mradi anazingatia miko na katiba ya chama.
Kupitia ujumbe aliouandika...
Wakuu,
Siku ya leo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa ananguruma wakati anazungumza na vyombo vya habari
Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea kwenye mkutano huo.
Katika mkutano huo uliofanyika Mlimani City, Tundu Lissu amedokeza kuwa anagombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA...
Ni hilo tu
Mbowe ulishatangaza 2023 unastaafu na Mungu wa mbinguni alisikia pia Dunia ilisikika.
Mungu anasema Ukiahidi Timiza.
Mungu wa mbinguni mfanyie Wepesi Freeman Mbowe wa Chadema 😀
Pia soma
Bado Mbowe ni Kiongozi sahihi kwenye hizi nyakati za mwisho wa uhai wa CHADEMA
Mbowe ameongoza...
Mifano kwa CCM iko wazi akiingia Mwenyekiti Mpya anaanza Kusafisha Sekretarieti ya Chama na kuingiza Jamaa na Rafiki zake kadhalika Chadema itakuwa hivyo
Sasa wale wanaolisha na kusomesha watoto kupitia Ruzuku ya Chadema wanaona Mbowe akistaafu na wao hawana maisha
Hawa ndio wanamng'ang'aniza...
Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila, kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.
Tunakushukuru sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini.
Asante Sana.
Kwakweli nimekaa na kutafakari kwa kina juu ya nani hasa anayeweza kufaa kuchukua nafasi ya Mbowe ya uenyekiti wa CHADEMA taifa na kujiridhisha kuwa ndugu Tundu Lissu anaweza sana kuitwaa nafasi hiyo na kukiongoza chama kwa mafanikio zaidi kuelekea 2015.
kimsingi Vigezo muhimu nilichotumia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.