ufaransa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mali yamtimua Balozi wa Ufaransa

    Mali imemfukuza balozi wa Ufaransa kuhusiana na "matamshi ya kiuadui" yaliotolewa na maafisa wa mkoloni wake wa zamani, katika ongezeko jipya la mzozo kufuatia mapinduzi ya kijeshi. Uhusiana wa mataifa hayo umedorora. "Serikali ya Jamhuri ya Mali inaufahamisha umma wa kitaifa na kimataifa...
  2. #COVID19 Ufaransa 13 wakamatwa kwa kutengeneza na kuuza vyeti feki

    UFARANSA: Watu 13 wamekamtwa kwa kutengeneza na kuuza vyeti bandia 62,000 vya #COVID19 jijini Paris na Lyon. Uchunguzi umebaini kundi hilo la wahalifu lilidukua akaunti ya nesi wa kituo cha Afya na kuanza kufoji vyeti vya COVID-19. === France Arrests 13 on Suspicion of Faking 60,000 Covid...
  3. #COVID19 Aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho IHU chagundulika Ufaransa

    Ufaransa imeripoti aina mpya kirusi cha corona ambacho ni B.1.640.2 au IHU ambacho kina mabadiliko 46 Kama Shirika la Afya Duniani (WHO) litathibitisha uwepo wa kirusi hicho kitaweza kuitwa ' Pi' kwani ndio herufi inayofuata baada ya Omicron IHU kimethibitishwa kwa watu 12 nchini ufaransa...
  4. #COVID19 Ufaransa yatangaza kanuni mpya kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya Corona

    Kanuni mpya za kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya COVID19 yatokanayo na Kirusi cha Omicron zimetangazwa Nchini humo Waziri Mkuu wa Ufaransa, Jean Castex amesema kuanzia Januari 03, kufanyia kazi nyumbani itakuwa lazima kwa angalau siku 3 kwa wiki kwa wale wanaoweza. Mikusanyiko ya ndani...
  5. U

    Karim Benzema apewa kifungo cha mwaka mmoja nje

    Karim Benzema: Mchezaji mpira wa Ufaransa apatikana na hatia ya ulaghai kupitia kanda ya ngono. Mshambulizi wa timu ya taifa ya Ufaransa na Real Madrid, Karim Benzema amepatikana na hatia ya kula njama ya kumtusi mwanasoka mwenzake wa Ufaransa kutumia kanda ya ngono. Jaji alimpa Benzema kifungo...
  6. Ujerumani, Ufaransa zawataka raia wake kuondoka Ethiopia

    Mataifa kadhaa yametoa wito kwa Raia wake kuondoka Nchini Ethiopia kutokana na mvutano kati ya Vikosi vya Serikali na vile vya Tigray kuonekana unashika kasi. Ufaransa imewataka Raia wake kuondoka mara moja bila kuchelewa. Ujerumani nayo imetoa wito kwa Wananchi wake kuondoka Ethiopia. Marekani...
  7. Azam tv kuonyesha Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) kuanzia kesho

    Baada ya Messi kuhamia PSG inayoshiriki ligi kuu ya ufaransa (Ligue 1) hatimae kituo maarufu cha televisheni hapa nchini cha AzamTv wataanza kurusha mubashara matangazo ya ligi hiyo! ikumbukwe AzamTv huonyesha pia Bundesliga, NBC Premier League, FA Cup na Carabao cup. Mashabiki wengi wa soka...
  8. Siku kama ya leo 2, November 1755 alizaliwa Marie Antoinette Malkia wa mwisho wa Ufaransa

    Alizaliwa Vienna Austria na alikuja kuwa Malkia wa Ufaransa. Watu walipokusanyika kwa Mfalme kulalamika maisha ni magumu hawana hata mkate wa kula (mkate ni chakula kikuu sehemu nyingi za dunia). Aliwaambia kama hawana mkate waoke keki. Kauli hii iliamsha hasira zilizozaa Mapinduzi ya Ufaransa.
  9. Hii nyumba ilijengwa mwaka 1509 katika kijiji cha Argentan, Ufaransa

  10. Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akutana na Waziri wa Uchumi na biashara za kimataifa wa Ufaransa

    MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AKUTANA NA WAZIRI WA UCHUMI NA BIASHARA ZA KIMATAIFA WA UFARANSA MHE. FRANCK RIESTER IKULU DAR ES SALAAM Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo Oktoba 19,2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa...
  11. Dada wa Kikenya kampa Rais wa Ufaransa vidonge vyake bila kumung'unya maneno

    Kwanza naomba niseme wazi kabisa Mimi ni kati ya binadamu wanaochukia uonevu na unyonyaji wa binadamu mmoja dhidi ya mwingine. Ile hali ya kuhisi kwamba wewe ni bora na mtu wa maana kuliko wengine (Grandiosity and Megalomania) huwa inanifanya nichafukwe na nyongo sana. Mambo maovu kama ukoloni...
  12. Mchora katuni Mtanzania, Mohammed Jumanne (Meddy) ashinda Ufaransa

    Mchoro wa katuni ulioandaliwa na msanii ndugu Mohammed Jumanne almaarufu Meddy kutoka Tanzania imechaguliwa kuwa Nembo ya Ushirikiano mpya kati ya Afrika na Ufaransa (New Africa-France Summit) uliofanyika jana Oktoba 08, 2021 nchini Ufaransa Meddy ni mchoraji katuni wa kujitegemea hapa nchini...
  13. W

    Maneno "kigaidi" na "ugaidi" yalitokea wakati wa Mapinduzi ya Ufaransa mwishoni mwa karne ya 18.

    Ugaidi, kwa maana yake pana ni matumizi haramu ya vurugu za kimakusudi kufikia malengo ya kisiasa, haswa dhidi ya raia serikali iliyopo madarakani. Mbinu hii ya ugaidi Inatumika haswa kuleta vurugu wakati wa amani. Maneno "kigaidi" na "ugaidi" yalitokea wakati wa Mapinduzi ya Ufaransa mwishoni...
  14. TANZIA Mtanzania afariki Ufaransa, msaada unahitajika ili ndugu wapate taarifa

  15. Ufaransa imeonesha unafiki mkubwa dhidi ya Werrason & Wenge MM

    Leo nipo upande wa Congo. Nawasalimu kwa jina la Bolingo. Nimesikitishwa mno kusitishwa kwa Show ya mwanamuziki Werrason akiwa na kundi lake la Wenge Maison Mere. Show ilikuwa ifanyike tarehe 25/09/2021 kwenye ukumbi wa Zenith, Paris. Wakati wote wa maandalizi kundi linalojiita Combattants...
  16. #COVID19 Ufaransa: Watumishi 3,000 wa Afya wasimamishwa kazi kwa kutopata chanjo

    About 3,000 health workers in France have been suspended because they have not been vaccinated against Covid-19. A new rule, which came into force on Wednesday, made vaccination mandatory for the country's 2.7 million health, care home and fire service staff. But French Health Minister Olivier...
  17. N

    Uto kumtambulisha Prince Dube, Tshabalala na Jopo la makocha wa Ufaransa

    Mnaombwa wote wana utopolo msikose jumapili kutakuwa na suprise kubwa sana anashuka prince Dube, Siphiwe Tshabalala legendary wa south africa na jopo la makocha kutoka team ya Auxerre ya ufaransa Wote hao wameomba kujiunga na team hiyo baada ya kufurahishwa na ujio wa msemaji mpya ambaye...
  18. Kwa mara ya kwanza nimetuma pesa Ufaransa

    Kama mada isemavyo hapo juu, ni kama mwenzi mmoja sasa tangu nikutane na mwana unajimu kutoka Ufaransa nilikuwa nasoma utabiri wa maisha yangu kama 90% kwa njia ya barua pepe nimejifunza mambo mengi ya kiroho ambayo yanahusu 90% ya maisha yangu hadi pale niliposhawishika kununua . e-book...
  19. H

    Anayejua Channel au Kisimbuzi kinachoonesha ligi ya Ufaransa

    Naulizia kwa yeyote anaejua ni kisimbuzi gani kinaonesha ligi ya ufaransa naomba anisaidie please pamoja na details za hicho kisimbuzi including malipo yake ya bundle na gharama ya kisimbuzi plus installation charges.
  20. #COVID19 Vizuizi vinaanza kesho Ufaransa kwa wasiochanjwa COVID-19

    Wenzetu Ufaransa wanaanza rasmi kuwabana wananchi wale ambao wamekataa kuchanjwa chanjo za Uviko19. Restriction hizo ni pamoja na kuzuiwa kuingia kula kwenye migahawa, kupanda usafiri wa kwenda na kurudi kazini, kuingia kwenye ofisi yoyote kupata huduma ikiwa ni pamoja na benk, hospitali nk...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…