Kylian Mbappe ndiye mshambuliaji aliyechaguliwa kuwa mbadala wa Hugo Lloris ambaye alistaafu kuchezea timu ya taifa Januari 2023, mwezi mmoja baada ya Ufaransa kupoteza Kombe la Dunia kwa Argentina.
Mbappe ataanza kazi yake ya unahodha katika kikosi kwa mara ya kwanza itakuwa Ijumaa, Machi 24...