Hello JF,
Kama wengine walivyoshtuka Ufisadi uliotajwa na CAG, mimi pia nimeshangaa. Ningependa kumshauri Rais na washauri. wake kusimamia Mali za Watanzania vyema kila Mtanzania ale keki ya taiifa.
Ningependa kujua utaratibu ni upi wa kuidhinisha pesa maanake kiwango cha ufisadi ni kikubwa...