ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Mbinga, John Ndimbo amewaonya wabadhirifu wa fedha za miradi ya umma, kuacha uovu huo, kwani unaliangamiza taifa na kuumiza wananchi wa maeneo zilikoelekezwa kutumika.
Aidha, amemtaka kila mwananchi kutenda haki kwa upendo katika eneo lake, iwe kazini au nyumbani...