ugonjwa

  1. Siku ya Figo Duniani: 7% ya Watanzania wanaathiriwa na Ugonjwa wa Figo

    Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, 7% ya Watanzania wanaathiriwa na Ugonjwa wa Figo na idadi ya Wagonjwa inaongezeka Inashauriwa kuzingatia Lishe Bora, kula Matunda/Mbogamboga, kupunguza kiasi cha Chumvi pamoja na Matumizi ya Pombe na Tumbaku Mtindo wa Maisha na Vyakula tunavyokula vinaweza...
  2. Tatizo la Vidonda ya tumbo

    Vidonda vya tumbo ni michubuko inayotokea kwenye kuta za mfumo wa chakula, hasa kwenye sehemu ya tumbo au pia sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo. Ukubwa wa vidonda hivi hutofautiana, kuanzia millimita chache hadi sentimita kadhaa. Dalili za ugonjwa huu mara nyingi hutegemea umri pamoja na eneo...
  3. Njombe: Zaidi ya 30% ya Wakazi wa Vijijini wana Ugonjwa wa Usubi

    Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Njombe Dk. Isaya Mwasubila amesema Tafiti zimebaini Maambukizi makubwa katika maeneo 4 ambayo ni Itipula ina 30%, Igola 11.22%, Mji Mwema 5.68% na Mamongolo 4%. Kutokana na hilo, Wizara ya Afya imeanza kampeni ya kutoa Dawa ili Kuwakinga Wananchi ambao...
  4. U

    Chanjo ya ugonjwa huu wa vifaranga ni ipi?

    Wanajf siku chache zilizopita nilikuja hapa jukwaani na kuwaomba ushauri kuhusu ugonjwa huu wa vifaranga ambavyo vinaharisha halafu kinyesi kinaganda sehemu yao ya haja kubwa, mlichonishauri nimekifanya yaani kuwapa dawa mlizosema! Kinachonisikistisha pamoja na hayo yote ndani ya siku hizo...
  5. Ugonjwa sugu Tanzania

    Ivi kuna hospitali ya majonjwa yenye usugu wa dawa hapa bongo
  6. U

    Huu ni ugonjwa gani wa vifaranga vya kuku?

    Wanajf ninaomba msaada kuhusu ugonjwa huu wa vifaranga vya kuku! Kwenye sehemu ya haja kubwa anatoa kinyesi laini mithili ya mapovu! Mwishowe mapovu hayo hukauka na kuwa magumu mwishowe vifaranga hudondoka na kuiaga dunia! Mwenye uelewa anisaidie, huo ni ugonjwa gani, unatibiwaje! MSAADA WA...
  7. Matajiri punguzeni Tambo mnatuua kisaikolojia vijana

    Elon Musk Jana amenipa hasira Sana ,yani kumbe sio wakina Diamond tu ,mo nawengine wengi kumbe mpaka majuu aisee punguzeni dozi hii matajiri mtatuua na mawazo
  8. Fahamu kuhusu ugonjwa wa kupoteza ufahamu au kusahau (Dementia)

    Ugonjwa wa kupoteza fahamu (Dementia) ni nini? Neno ‘Dementia’ (ugonjwa wa kupoteza ufahamu) linaelezea dalili mbalimbali kama vile upotezaji wa kumbukumbu, matatizo ya kufikiria au kuongea, na mabadiliko katika hisia na tabia. Ugonjwa wa kupoteza fahamu (Dementia) husababishwa na magonjwa ya...
  9. Katavi: Ugonjwa wa Surua umeua Watoto 12 Wilaya ya Mlele

    Jumla ya watoto 12 wamefariki kwa ugonjwa wa Surua, katika wilaya ya Mlele tangu Desemba 2022, mkuu wa wilaya Majid Mwanga ameiambia BBC. Aliongeza kuwa watoto 847 wameambukizwa ugonjwa wa surua wilayani humo kati ya Desemba na Februari. Wahudumu wa afya kufikia sasa wamewachanja watoto 16,480...
  10. Obsessive Compulsive Disorder: Ugonjwa wa Akili unaomfanya mtu, kujihami, kuzingatia au kuhakiki mambo/vitu mara kwa mara

    Obsessive Compulsive Disorder (OCD) ni Ugonjwa unaomfanya Mtu kuwa na Hofu au Wasiwasi kila mara pamoja na kupatwa na Huzuni kwa muda mrefu. Mtu mwenye tatizo hili huwa na tabia za kurudiarudia vitu. Dalili za Mtu mwenye OCD ni kuwa na mawazo ya kuogopa, kuhofia au kuhisi una ugonjwa fulani...
  11. Tanzania ugonjwa ni mtaji wa kuomba inatia huruma sana

    Yaani inasikitisha sana sana kwa baadhi ya wananchi kufanya ugonjwa ni mtaji wa kuomba na kupata ridhiki ... Yaani unakuta mtu ana kidonda au mguu kivimba sijui au tumbo limevimba basi ndio inakuwa mtaji wake tena kuingia barabarani na kuomba hii sio sawa kabisa
  12. Maradhi ya kisonono au gonorrhea

    Kisonono (gonorrhea) ni nini? Kisonono ni ugonjwa kati ya magonjwa ya zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao hukuwa na kuzaliana kwa haraka katika sehemu zenye unyevunyevu na joto mwilini kama kwenye shingo ya kizazi kwa wanawake (cervix), mirija ya...
  13. Watu 1002 wafariki kwa Ugonjwa wa Kipindupindu Nchini Malawi

    Wizara ya Afya ya #Malawi imesema wanakabiliwa na uhaba wa chanjo na kuwa idadi ya watu kwa jumla walioambukizwa Kipindupindu tangu Mwaka 2022 mpaka Januari 24, 2023 ni 30,600. Novemba 2022 Nchi hiyo ilipokea dozi milioni tatu za chanjo ya Kipindupindu kutoka Umoja wa Mataifa (UN) lakini idadi...
  14. WHO yaitangaza Uganda kuwa haina tena ugonjwa wa Ebola

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limefikia maamuzi hayo ikiwa ni baada ya Siku 113 tangu Ugonjwa huo ulipoingia nchini humo na kusambaa katika maeneo ya jiji la Kampala huku ukisababisha vifo 55. Katika kukabiliana na maambukizi, Rais Museveni aliziweka kwenye vizuizi Wilaya mbili za Mubende na...
  15. Kutunza vitu vya zamani au chakavu ndani ni Ugonjwa wa Akili?

    Kitaalamu tatizo hili hufahamika kama Ugonjwa wa Kuhodhi (Hoarding Disorder) ambao ni hali ya #AfyayaAkili ya kuhitaji sana kuhifadhi idadi kubwa ya vitu hata visivyo na thamani yoyote na kupata shida wakati wa kuviondoa. Mtu mwenye Ugonjwa huu hutunza vitu kama Magazeti ya zamani, Bidhaa za...
  16. Nawahi kuamka nikiwa sina uchovu sehemu zenye joto ila naamka kwa kujivuta vuta sehemu zenye baridi, huu ni ugonjwa?

    Nimeanza kuona kama ni ugonjwa fulani hivi, nipo mikoa yenye baridi kwa asili huwa nikiamka naamka kwa kujikokota sana na hata ratiba za mazoezi muda mwingi napuuzia; inabidi nivute vute muda sitoki kitandani mpaka nikikaribia kwenda kwenye shughuli zangu. Mikoa yenye joto ikifika tu hata saa...
  17. Kama una ugonjwa unaokupa tabu maishani na unarithishwa fikiria kuhusu kuasili

    Nimetoka kucheki documentary ya magonjwa yanayorithika nimeona nije kuweka maoni, Magonjwa ya kuruthi: kifafa cha kurithi. sickle cell. CCHS ; tunavyopumua huwa hatufikirii kupumua, wenye ygonjwa huu inabidi wafikirie ili wapumue, wanapolala inabidi watumie mashine kuwasaidia. Kansa ya mifupa...
  18. O

    Nahisi nimepatwa na ugonjwa wa akili (Bipolar disorder)

    Nahitaji nimepatwa na ugonjwa wa akili please kindly psychologists naomba msaada wenu wa haraka sana nitawalipa pesa yoyote Ile mnayohitaji tafadhalini jamani. Kuna muda napatwa na moods swing na kuna muda napata euphoria ndugu zangu kindly I need help wakuu hali si hali, please I need your...
  19. Mods futeni tena na huu uzi: Tumia dawa hii utapona ugonjwa wa sickle cell ndani ya miezi 3

    Mkipenda futeni mods! Mahitaji nunua chungu na kuku jogoo kisha mchinje huyo jogoo halafu toa vitu vyote vya ndani(utumbo, maini, firigisi, mapafu) maana ndiyo tiba na uvipike kwenye hicho chungu bila kuweka maji mpaka viungue kabisa kama mkaa kufikia hatua ya kusaga na kupata unga wake, baada...
  20. B

    Serikali, hata haya hamyaoni?

    Hivi serikali kwa kimya chetu mnadhani mmetushawishi? Hivi hata haya siyo ujanja ujanja wenu usio kubalika? 1. Malipo ya shule vyuo vikuu tunakolipa kupitia loan board 100% + interest. Kwa maana vyuo vya umma havina tofauti na vyuo binafsi. 2. Malipo ya hospitali ambapo dawa, kumwona daktari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…