Habari zenu wakubwa na wataalam wa afya. Nisaidieni hapa, niko kwenye mahusiano na binti mwenye huu ugonjwa wa thyroid na tayari uvimbe imeonekana shingoni kwa pande zote mbili, sasa nimekuwa nikimuuliza yale anayoambiwa akienda hosipitali lakini amekuwa muongomuongo, ananiambia anaambiwa...