Binafsi nilishangaa Sana kusikia Katibu Mkuu Kiongozi, na Makamu wa Rais Zanzibar wamefariki kwa changamoto ya upumuaji (Korona in advance) viongozi wa juu kabisa wa kiserikali.
Nilishangaa pia jinsi misiba ilivyoendeshwa bila tahadhari yyte. Kwa uchungu nilihoji pia usalama wa Rais, kama walio...