ugonjwa

  1. Matumizi makubwa ya Diclofenac, Diclopar na Mitishamba husababisha Ugonjwa wa Figo

    #AFYA: Wataalamu wa Afya wameonya kuhusu matumizi makubwa ya Dawa za Kuondoa Maumivu zikiwemo Diclopar na Diclofenac na kueleza kuwa yanasababisha madhara kwenye Figo ambapo mtu anayepata athari hizo ataishia kuhitaji huduma za Kusafishwa Damu (Dialysis). Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani na...
  2. Dkt Greyson: Kubet kunasababisha ugonjwa wa kisukari

  3. Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

    Ongezeko la wagonjwa wa figo nchini limeanza kujitokeza miongoni mwa vijana. Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imetangaza kuwa inapokea wagonjwa wapya wanne mpaka tisa kila wiki wenye umri kati ya miaka 24 mpaka 40. Hii imeibua wasiwasi kuhusu matumizi ya pombe kali na vinywaji vya kusisimua...
  4. Ugonjwa wa Homa ya Uti wa Mgongo waua Wanafunzi 17 nchini Nigeria

    Takriban wanafunzi 17 katika shule tano katika jimbo la Yobe kaskazini-mashariki mwa Nigeria wamefariki baada ya mlipuko wa homa ya uti wa mgongo, mamlaka imethibitisha. Miongoni mwa waliofariki ni wanafunzi wa shule za msingi na wengine katika shule za upili za bweni, kamishna wa elimu wa...
  5. U

    Huu ni ugonjwa gani kwa kuku wakubwa?

    Kichwa cha habari chajieleza!Mwenye kuujua Ninaomba anijuze ni ugonjwa gani na unatibiwaje? Nimeshatumia dawa nyingi zote nikishauriwa na "wataalamu"!! Nina imani JF ni baba wa wataalamu! Karibuni mnishauri! Nimeambatanisha na picha.
  6. C

    DOKEZO Malalamiko ya posho ya CHWs ya uhamasishaji wa kujikinga na ugonjwa wa mlipuko wa Marburg Bukoba

    BUKOBA MANISPAA KAGERA ,TANZANIA Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. : Kwanza Hongera na kazi katika harakati za kulipambania Taifa hasa kwenye secta ya AFYA hapa nchini. Sisi ni wahudumu wa afya ngazi ya jamii, kutoka MKOA KAGERA wilaya ya BUKOBA MANISPAA tulifanya...
  7. D

    Kuwashwa mwili ni tatizo jipya Dar es Salaam?

    Salaam wakuu. Siku za hivi karibuni nimeona na kushuhudia wakazi wengi hapa Dar es salaam wametokwa na vipele na kuwashwa mwili. Hasa watoto nimeona wengi pia wanawashwa na vipele mwili mzima. Hivyo nauliza, huu ni ugonjwa wa kawaida au Kuna tatizo lipo? Nauliza na nini cha kufanya ikiwa...
  8. J

    Ufahamu Ugonjwa wa Kifafa na namna bora ya Kuishi na Wagonjwa wa kifafa

    Kifafa ni hali ya mshtuko wa ghafla au matokeo yasiyo ya kawaida katika Ubongo wa Binadamu ambayo inaweza kusababisha Mtu kuzimia, kukamaa kwa misuli na mabadiliko ya hisia au fahamu Hali hii inaweza kuathiri Watu kwa njia tofauti kutegemea na eneo la Ubongo linaloathiriwa. Kufahamu zaidi...
  9. Ninahisi kupata ugonjwa wa sonona, nahitaji rafiki wa kike

    Nahitaji rafiki wa kike angalau wa kuchati nae au calls niondokane na hii hali!
  10. Kati ya Wanawake 100, Wanawake 25 wana ugonjwa wa saratani Tanzania

    Na. WAF - Dar Es Salaam Serikali imetoa rai kwa jamii kuchukua hatua za mapema kupima ugonjwa wa Saratani kwa kuwa takwimu zinaonesha kuwa kati ya wanawake 100, 25 wana Ugonjwa wa Saratani huku Asilimia 70 ya Wanawake inaonesha wana ugonjwa huo. Hayo yamesemwa leo Februari 4, 2024 na...
  11. Wanafunzi wa Shule za Mbagala Wanajiamini makusudi Ugonjwa wa Red Eyes ili watege kwenda Shuleni

    "Watoto wetu huku Mbagala kwa Makusudi kabisa wakimuona Mtu tu mwenye Ugonjwa huu wa Macho wa Red Eyes wanaenda Kumshika na hata Kugusisha mikono yao na Macho ya hao Wagonjwa kisha kujigusa katika Macho yao ili Waugue na watege kwenda Shuleni" amesema Mzazi akiongea muda si mrefu na Mtangazaji...
  12. Wazazi msifiche watoto wenyewe ulemavu, usonji na down syndrome

    Hali ya kuwaficha watoto wenye ulemavu, kama vile wale wenye ugonjwa mfanano(Down syndrome) na usonji (autism), ni suala linaloathiri haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya elimu, kucheza na kujumuika na wenzao katika jamii. Wazazi wengi wanaweza kufanya hivyo kwa sababu ya hisia za...
  13. Nasumbuliwa na tatizo la genital warts

    Nimeanza kupata dalili za genital warts sehemu za siri kwenye shina la uume kuota vinyama (visundo sundo vidogo), nimejaribu dawa lakina bado sijapata matokeo mazuri. Je, ni dawa gani inaweza nisaidia nikapona tatizo la genital warts, kwa wake ambao mshapatwa na tatzo hili mlitumia dawa gani...
  14. Pre GE2025 Albert Chalamila: Usafi wa Wanajeshi hautoathiri maandamano ya CHADEMA

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema usafi uliopangwa kufanyika hautaathiri maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Januari 24 iwapo watakuwa na kibali cha kufanya hivyo. Chalamila ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Januari 22, Jijini Dar...
  15. Namna filamu zinavyotumika kufundisha Jamii kuhusu Matatizo na Ugonjwa.

    Habarini Wanajukwaana na Watanganyika wenzangu kwa ujumla! Ni wakati mwingine kama mmoja wa mwanamaendeleo katika jamii yangu kuleta mjadala mpana kuhusu mambo kadha wa kadha yanayoikumba jamii ya Watanganyika. Ni wazi kuwa filamu ni moja ya sehemu muhimu sana ya Maisha ya jamii ya sasa, kupitia...
  16. Namibia: Serikali yaweka wazi kuwa Rais Hage amekutwa na Ugonjwa wa Saratani

    Serikali imeweka wazi taarifa za vipimo vya Afya vya Rais Hage Geingob (82) na kuueleza Umma kuwa kiongozi huyo amekutwa na Ugonjwa wa Saratani na anatarajiwa kuanza matibabu kama ambavyo Madaktari wake walivyoelekeza. Taarifa ya Serikali imesema Rais huyo amekuwa akifanya vipimo vya afya mara...
  17. UNICEF yasema Tanzania na nchi nyingine zenye Kipindupindu zisipodhibiti Ugonjwa shule zitafungwa

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limezitahadharisha Nchi za Afrika zinazokabiliwa na Kipindupindu na kueleza kuwa endapo hazitafanikiwa kudhibiti Ugonjwa huo unaweza kusababisha Shule kufungwa. Dkt. Paul Ngwakum ambaye ni Mshauri wa Afya wa Kikanda wa Shirika hilo katika...
  18. Wakazi wa Dodoma waitaka Serikali kutafuta Dawa ya Ugonjwa wa Macho Mekundu kwani wanaonekana ni Wavuta Bangi

    Yaani huu Uginjwa wa Macho Mekundu ulioingia sasa Mkoani Dodoma kutokea Dar es Salaam unatukwaza kwani kwa Macho yetu kuwa Mekundu hivi tunaonekana ni Wavuta Bangi wakati wengine hata hiyo Bangi yenyewe hatujui amesema Mkazi Mmoja wa Mkoa wa Dodoma. Chanzo: Nipashe ya Radio One Asubuhi hii...
  19. SI KWELI Ugonjwa wa Macho mekundu (Red eyes) huambukizwa kwa kutazamana na Mgonjwa

    Je, ni kweli ugonjwa wa macho mekundu (Red eyes) huambikizwa kwa kutazamana?
  20. Wizara ya Afya yatoa taarifa ya kuenea kwa ‘Red Eyes’. Yawataka Wananchi kuchukua tahadhari

    Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya gololi ya jicho yajulikanayo kitaalamu “Viral Keratoconjunctivitis” iliyoibuka nchini hivi karibuni. Hayo yamesemwa leo Januari 15, 2023 na Mkurugenzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…