Amekutana na maofisa, wafanyakazi pamoja na Mkurugenzi wao.
Amefurahishwa sana na namna JF inavyowahudumia wateja wake.
Mungu ibariki JF
======
BALOZI WA UINGEREZA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JAMIIFORUMS
Balozi wa Uingereza, Sarah Cooke leo Machi 06, 2020 ametembelea Makao Makuu ya JamiiForums...