Ilikuwa kama siku ya alhamisi hivi, mwaka juzi; rafiki yangu mmoja akanipigia simu, na kunijulisha ana ujumbe wangu, nikamuuliza ujumbe gani? akasema kuna dada fulani anakutafuta sana, anasema kwenye simu yako hakupati.
Nikamuuliza ana tatizo gani? akajibu, ''anasema ana ujauzito wako, pia yeye...