Hadi kufikia jana Alhamisi, wafanyakazi wapatato 730 katika machinjio ya jimbo la North Rhine-Westphalia (NRW) nchini Ujerumani wamethibitika kuambukizwa virusi vya Corona baada ya kupimwa
Mamlaka za huko zimeamuru kufunguwa kwa kiwanda cha kuchakata nyama cha Kundi la Toennies kwenye eneo la...
Ujerumani imekasirishwa na uamuzi wa rais wa Marekani Donald Trump wa kukata mahusiano na shirika la afya ulimwenguni WHO ikiielezea hatua hiyo kuwa na muvunja moyo na inayorudisha nyuma afya ya dunia.
"WHO inahitaji kufanyiwa mageuzi kama linataka kuleta maadiliko yoyote" aliandika Waziri wa...
Wizara ya Mambo ya kigeni ya Ujerumani leo imemwita balozi wa Urusi kujadili uwezekano wa kuiwekea Moscow vikwazo kufuatia madai ya udukuzi ya mwaka 2015 dhidi ya bunge la Ujerumani, Bundestag.
Taarifa ya wizara hiyo imesema balozi wa Urusi amearifiwa kuwaUjerumani inalenga kuuomba Umoja wa...
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, DK Abdallah Possy aitaka timu ya Simba Sc kutotumia kigezo cha Ugonjwa wa Korona kutaka ubingwa, na hivyo kuwataka waache uoga ili wamalizie ligi
a
Dawa ya Madagascar maarufu kama Covid-Organics inafanyiwa utafiti na wanasayansi wa Taasisi ya Max Planck inayojumuisha ushirikiano wa watafiti kutoka Ujerumani ,Udenmarki na kampuni ya Kimarekani iitwayo ArtemiLife. Uchunguzi huo una lengo la kubaini kama mmea wa Artemisia unaweza kutumika...
Germany plans a shakeup of its foreign aid, limiting its "partner" list to 60 nations and dropping Burundi and Myanmar. Minister Gerd Müller says knock-out criteria will be corruption, rights abuses and poor governance.
Germany is planning to heavily restructure its foreign aid agenda...
Maelfu ya waandamanaji jijini Berlin wameingia barabarani kuandamana kupinga hatua ya serikali kuwafungia ndani
Waaandamanaji hao walikuwa na mabango yalisomeka we want our life back stop humiliating us
Wastani wa waandamani elfu moja walimiminika kuandamana kupinga kuendelea kufungiwa ndani...
Munster ni mji ulioko Magharibi mwa Ujerumani, ni mji unaofahamika kwa kubeba majengo ya kihistoria una idadi kubwa ya baiskeli ambayo ni mara mbili zaidi ya ile ya wakazi
Kutokana na wingi wa baiskeli kumetengwa maeneo ya maegesho ya baiskeli katika maeneo mbalimbali. Kama haumiliki baiskeli...
Afisa wa polisi wa Ujerumani akiwa amevalia barakoa wakati akimkaribia dereva wa gari katika mpaka wa Ujerumani na Uswizi baada ya nchi hiyo kutangaza udhibiti wa mipaka kufuatia ugonjwa wa COVID-19, Machi 16, 2020. [Picha / Mawakala]
Maafisa wa forodha wa Ujerumani wanajaribu kufuatilia...
Wakati ugonjwa unaosababishwa na kirusi cha Corona ukiendelea kusambaa na kuua watu wengi duniani, nchini Ujerumani idadi ya watu walokufa ni ndogo kulinganisha na nchi zingine barani Ulaya na duniani kwa ujumla
Kwa mujibu wa taasisi ya Robert Koch hadi kufikia Ijumaa asubuhi watu 13,957...
Idadi ya vifo vinavyotokana na #Covid19 imeendelea kuongezeka huko Ulaya, kwa sasa Italia imetangaza kuwa na vifo 651 kwa siku moja, idadi inayopelekea vifo ndani ya Italia kufikia 5,476
Pia Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel amejiweka karantini mwenyewe baada ya kuchangamana na daktari...
Ujerumani yazuia mkusanyiko wa watu zaidi ya wawili katika kupambana na #Covid19
Mamlaka zinasema, zuio hilo ni sahihi zaidi kuliko kuwataka watu wabaki nyumbani
Hadi sasa #Covid19 imeua watu 13,500 na watu 313,000 wameambukizwa ugonjwa huo
Ujerumani yazuia mkusanyiko wa watu zaidi ya wawili...
Najiuliza tu kwa kuwa hayo mataifa niliyoyataja ndio wafadhili wakuu wa vyama vya siasa nchini kuanzia CCM, Chadema hadi ACT wazalendo.
Baadhi ya vyama siyo rahisi kusimama vyenyewe bila ufadhili na hasa ukizingatia ruzuku itakata rasmi mwezi June.
Natafakari tu wakuu.
Maendeleo hayana vyama!
Mgonjwa wa kwanza wa maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona amethibitishwa nchini Ujerumani. Msemaji wa wizara ya afya mjini Munich, amesema jana jioni kwamba mgonjwa huyo ni mwanaume anayetokea eneo la Stanberg, katika jimbo la Bavaria, kiasi kilomita 30 kusini magharibi mwa Munich...
Serikali ya Ujerumani hapo jana umetia saini mpango wa kuwasajiri wakazi wasio katika Umoja wa Ulaya kwa lengo la kuziba pengo la wataalam katika sekta ya ajira.
Hatua hiyo inatekelezwa baada ya mkutano wa kilele uliowakutanisha wawakilishi wa makampuni na vyama vya wafanyakazi. Rasimu ya...
Ujerumani yaziajiri kampuni za Rafael pamoja na Atos ili kuunda "Uwanja wa Vita wa Kioo"
Kampuni ya uzalishaji wa mifumo ya kijeshi ya Rafael (Rafael Advanced Defense Systems) ya Israel imeshirikiana na kampuni ya Atos (Atos Information Technology) kwenye mradi unaohusu uundwaji wa "uwanja wa...
Imekuwa ni sherehe kubwa kwenye imani hii ya freemasons baada ya kurejesha vitabu vilivyoibiwa wakati wa utawala wa Nazi na inakadiriwa kuwa zaidi ya miaka 80 iliyopita.
Vitabu hivyo inasemekana vina maelezo kuntu ya matambiko "rituals" ya ibada za ki-freemasons.
Habari!
Tayari baadhi ya timu zimekwisha kupangwa katika makundi kwa ajili ya mashindano ya 'UEFA EURO 2020', droo iliyofanyika mjini Bucharest nchini Romania ingawa bado haijakamilika huku Kundi 'F' likitajwa kama "Kundi la Kifo" litakaloyakutanisha mataifa matatu 'vigogo' wa soka barani Ulaya...
Kiwango cha Bei ya Watumiaji (CPI) kimeongezeka kwa asilimia 1.1 mnamo Novemba nchini Ujerumani.
Kulingana na data ya Takwimu ya Shirikisho la Ujerumani (Destatis), mfumko wa bei nchini umeongezeka kwa asilimia 1.1 mnamo Novemba ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana mwezi Oktoba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.