Serikali ya Ujerumani imesaini Mkataba na Serikali ya Tanzania ambapo nchi hiyo itatoa kiasi cha Shilingi bilioni 68 ili kuimarisha uhifadhi katika hifadhi za taifa nchini.
Tanzania imepokea msaada wa Euro milioni 25 sawa na shilingi bilioni 67.82 kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki yake ya Maendeleo ya KfW, kwa ajili ya mradi wa Uhifadhi endelevu wa Maliasili na Mifumo ya Ikolojia nchini.
Mkataba wa msaada huo umesainiwa jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu...
Wakati Ujerumani ikijiandaa na Uchaguzi wa Bunge unaotarajiwa kufanyika Septemba 26, ripoti mpya ya Taasisi isiyo ya Kiserikali nchini humo ya Avaaz imeonesha kuongezeka kwa matukio ya upotoshaji wa taarifa.
Ripoti ya Taasisi hiyo imemtaja mgombea wa Chama cha Green, Annalena Baerbock kuwa...
Maisha yana namna nyingi za kutufundisha kushikilia tulichokuwa nacho kwa wakati huo.
Baada ya Kundi la Wanamgambo wa Taliban kuchukua utawala wa Afghanistan, aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano wa taifa hilo, Syed Ahmed Shah Sadat ameonekana akitembeza Piza nchini Ujerumani.
Gazeti la nchini...
Sote tunaelewa kuwa mkutano wa Berlin wa mwaka 1984 ndio ulioigawa Afrika kuwa katika mipaka tuliyo nayo leo. Mkutano huo uliitishwa na Otto von Bismarck ili kuigawa Afrika miongoni mwa mataifa ya Ulaya ambayo tayari yalikuwa yana infleunce Afrika kwa nia ya kuondoa conflicts. Ujerumani ilikuwa...
"Nchi yetu imeshuka kiuchumi tangu lilipoanza janga la #Corona. Tulikuwa tunaingiza Trilion 6 na zaidi kwenye utalii ila kwa sasa mapato yameshuka mpaka trilion 2" Mbunge wa Ilala Mussa Azan Zungu.
"Ujerumani yenyewe imeweka solidarity fund hii ni kwa ajili ya wale wenye uwezo kutoa ili...
Serikali za Nigeria na Ujerumani zimekubaliana muda wa mwisho wa kurejesha vinyago vya kuchingwa vilivyoibiwa kutoka nchini Nigeria.
Waziri wa habari na utamaduni wa Nigeria ameyasema hayo katika mkutano wa waandishi wa habari mjini Lagos, uliolenga kuwafahamisha Wanigeria ni wapi zipofikia...
Hapa nimejifunza kuwa majanga ya asili hayana mwenyewe,uwe makini kwenye miundombinu au uwe mzembe lazima likukute tu.
Nchi makini kimpango na kimiundombinu inapigwa na mafuriko je sisi ni kina nani?
Hayo mafuriko yangetokea Tanzania saivi mitandao ishajaa lawama kwa serikali.
Ronaldo amecheza mechi 4 dhidi ya Ujerumani. Mara zote hizo hajawahi kufunga goli! Je leo atauvunja mwiko huo na kuzifumania nyavu? Ngoja tuone, yetu macho!
Mzuka wanajamvi!
Tahadhari kama hujui kiingereza vizuri kabisa usiendelee chini kusoma. Nimeamua kutumia taaluma yangu kwenye huu Uchambuzi.
Omnipresent N'Golo Kante delivers Munich masterclass In 26 days’ time, N’Golo Kante could hold every major honour in the club and inhternational game...
Kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel amekuwa chancellor wa Ujerumani toka 2005
Jakaya Kikwete kamkuta kamuacha
John Pombe Magufuli kamkuta kamuacha
Samia Suluhu Hassan kamkuta
Huko duniani kafanya kazi na:-
Marais 4 wa Marekani,
Mawaziri Wakuu 2 wa Canada,
Mawaziri Wakuu 3 wa Japan,
Marais 4 wa...
Wanasiasa wa Upinzani Nchini humo wameikosoa kitendo cha Serikali kuingia makubaliano na Ujerumani kuhusu mauaji ya kimbari wakati wa Ukoloni, ambapo Taifa hilo liliomba msamaha na kuahidi Dola za Marekani Bilioni 1.3
Wameishutumu Serikali kwa kuwaweka kando wao pamoja na Jamii zilizoathiriwa...
Ujerumani imekiri rasmi kufanya mauaji ya kimbari enzi za Ukoloni wa Namibia. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Heiko Maas ameomba radhi kwa Taifa pamoja na walioathiriwa na matukio hayo.
Watawala wa Ujerumani waliua maelfu ya watu kutoka Jamii za Herero na Nama mwanzoni mwa Karne ya 20...
Mapadre wa kikatoliki Ujerumani wanaokaidi maagizo ya kanisa na kubariki mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja.
Baraka hizi hutolewea chini ya kampeni inayosema''mapenzi yanashinda''CHANZO CHA PICHA,EPA-EFE
Kanisa katoliki nchini Ujerumani limeendelea kuonyesha kukaidi maagizo ya makao makuu ya...
Akizungumza leo na Waandishi wa Habari katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti liliyopo wilaya ya Serengeti mkoani Mara Waziri wa Maliasili na utalii,,Dkt.Damas Ndumbaro akiwa na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania amesema miradi mbalimbalii inayofadhiliwa na Ujerumani iliyopo ndani na nje ya...
Binafsi nimeshaanza kuuona mwanga kupitia mboni za macho ya Rais Mama Samia. Ninamuona Rais Samia akizifuata nyao za Angel Makel wa Ujerumani.
Kama Rais mwanamke ni vizuri covid 19 ikipungua aombe kwenda kumtembelea chancellor wa Ujerumani Mama Angel Makel kwa uzoefu na pengine kubadilishana...
Takwimu rasmi kuhusu uhalifu unaotokana na siasa nchini Ujerumani zinaonesha kuwa ghasia na uhalifu wa kibaguzi vimeongezeka nchini humu. Waziri wa Mambo ya ndani wa Ujerumani. Horst Seehofer leo amewasilisha takwimu za uhalifu uliotokana na siasa uliofanyika mwaka 2020.
Seehofer ameelezea...
Serikali ya Ujerumani imesema kuwa inasitisha matumizi ya chanjo ya corona ya Oxford-AstraZeneca kwa watu wenye umri ulio chini ya miaka 60, kwasababu wanahofia watu kuganda damu baada ya kupata chanjo hiyo.
Tayari watu milioni 2.7 wamepata dozi ya chanjo hiyo katika taifa hilo, na watu...
Mambo vp jamiiforums.
Nini kiliua safari za moja kwa moja (Direct Flight) za kuja Tanzania kwa mashirika ya ndege ya Ulaya kama Scandinavian Airlines System (SAS) pamoja na Lufthansa ya Ujerumani? Mbona mkongwe mwenzao KLM bado anakujaga?
==========
==========
Jana nikiwa nimepaki gari yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.