Ukraine imetuma ombirasmi kwa serikali ya Ujerumani kwa ajili ya msaada wa "silaha za kujihami", kwa mujibu wa ripoti ya gazeti.
Katika barua iliyonukuliwa na Gazeti la Ujerumani la Süddeutsche Zeitung, ubalozi wa Ukraine umeiomba Berlin kutoa jibu la haraka, kutokana na hali tete ya kiusalama...
Urusi imesema leo kuwa itajibu kwa njia sawa kama Ujerumani itaumaliza mzozo kuhusu vyombo vyao vya habari, lakini itauongeza mvutano huo hata zaidi kama Berlin itaamua kufanya hivyo.
Urusi ilisema jana kuwa inazifunga shughuli za shirika la habari la Ujerumani - DW mjini Moscow na kuwapokonya...
Kadinali mmoja wa Ujerumani ametoa rai kwa Kanisa Katoliki kuondoa kigezo cha useja kwa mapadri wa Kanisa hilo.
Katika mahojiano na gazeti la Ujerumani la Sueddeutsche Zeitung, askofu mkuu Reinhard Marx amesema mapadri wa Katoliki wangeruhusiwa kuoa ikiwa wanapenda kufanya hivyo.
Pia alitaja...
Idadi hiyo ya maambukizi imetajwa kuwa kubwa zaidi kurekodiwa tangu kuanza Mlipuko wa COVID-19, pia Vifo vipya 239 vimerekodiwa kwa mujibu wa Takwimu za Taasisi ya Robert Tech (RKI).
Jumla ya Visa ni 8,186,850 huku Vifo kutokana na Corona vikifikia 116,081. Waziri wa Afya, Karl Lauterbach...
Ninaandika insha kuhusu mkoloni Herrmann von Wissmann wa Ujerumani. Alikuwa meja na mwanajeshi wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani 1888-1895. Kuna wajerumani wachache wanaosema kwamba alifanya vitu vizuri na alikuwa rafiki wa watanzania. Hawadhani kwamba alikuwa mkoloni mkatili na alifanya...
Hello everyone,
currently I am writing a thesis about the german colonial ruler Herrmann von Wissmann who was active in "German-East-Africa" from 1988-1996. In the thesis I am approaching to falsify arguments from german right-wing extremist groups that are trying to enforce their historically...
===
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Regina Hess, ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa juhudi inazochukua kupambana na ugonjwa wa Uviko-19 ambazo zimezaa matunda kufuatia uwepo wa visa vichache vya ugonjwa huo vilivyorekodiwa wimbi lililopita.
Mhe. Hess amesema Serikali ya Ujerumani...
Olaf Scholz
Bunge la Ujerumani limepiga Kura na kumpitisha Olaf Scholz wa Social Democrat Party kuwa Kansela mpya wa Nchi hiyo baada ya Angela Merkel ambaye ameitumikia kwa miaka 16.
Scholz (63) ambaye alihudumu kama Makamu Kansela na Waziri wa Fedha katika Serikali iliyopita ataongoza...
Habari Wakuu. Kwa wale wenye bidhaa au huduma ambazo wanataka kuzitangaza Ujerumani, Uswizi au Austria tuwasiliane. Ninatoa huduma hiyo katika nchi hizi ambapo lugha ya Kijerumani inatumika. Matangazo ya biashara yatakuwa katika lugha ya Kijerumani.
Nimefanya miaka mingi kwenye biashara ya...
Wengi mtakuwa mmeona picha na video za David McAllister (pichani) ambaye ni Mbunge wa Bunge la Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge hilo, akielezea kukerwa kwake na hali ya upinzani nchini Tanzania, mathalani kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...
David James McAllister, aliyezaliwa January 12 mwaka 1971, ni mtu wa kutiliwa mashaka makubwa anayehudumu katika Bunge la Ulaya (European Parliament) kutokea Ujerumani.
McAllsiter ambaye ana doa kubwa la kuwa mbaguzi wa rangi ana mtetezi mkubwa wa ndoa za jinsi moja (Ushoga) ameonekana kwenye...
Chemba ndogo ya bunge au "Lower House" ya Ujerumani imepitisha kwa pamoja uamuzi wa kumfanya bwana Olaf Scholz kuwa Kansela mpya wa Ujerumani.
Vyama vya SPD cha Scholz, Green na FDP kwa pamoja leo asubuhi hii vimemuidhinisha bwana Olaf Scholz kuwa kansela mpya na kuondpoa uhafidhina wa chama...
Mataifa kadhaa yametoa wito kwa Raia wake kuondoka Nchini Ethiopia kutokana na mvutano kati ya Vikosi vya Serikali na vile vya Tigray kuonekana unashika kasi.
Ufaransa imewataka Raia wake kuondoka mara moja bila kuchelewa. Ujerumani nayo imetoa wito kwa Wananchi wake kuondoka Ethiopia. Marekani...
Ujerumani ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza kuchanja raia wake wote na busta juu.
Inakuwaje tena inaongoza kwa maambukizi ya virusi vya corona hadi kufikia watu elfu 50 kwa siku?
Ujerumani hii leo imetangaza idadi ya juu kabisa ya maambukizi ya virusi vya corona wakati ikipambana na wimbi la nne la maambukizi lililoibuka tangu mwishoni mwa mwezi Oktoba.
Taasisi ya kudhibiti magonjwa ya kuambukiza nchini Ujerumani ya Robert Koch imesema leo kwamba imerekodi visa vipya...
Discrediting Evidence in a Criminal Trial
Discrediting evidence can be the best line of defense.
By Deborah C. England
Types of Evidence
In general, three types of evidence will typically be offered at trial: testimonial evidence (statements of witnesses on the stand); physical evidence (such...
Idadi ya kila siku ya maambukizo mapya ya virusi vya corona nchini Ujerumani imefika kileleni. Taasisi ya kudhibiti magonjwa ya kuambukiza, Robert Koch, imerikodi maambukizi mapya 33,949 ndani ya siku moja. Hayo ni maambukizo 172 zaidi ya yaliyorekodiwa mwezi Desemba 2020.
Hata hivyo...
Ujerumani imeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 71, sawa na takribani Sh190.5 bilioni kwa ajili ya kutekeleza miradi kadhaa ikiwemo maji, uendelezaji wa maliasili na utalii, afya ya mama na mtoto pamoja na mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia.
Taarifa iliyotolewa na kitengo cha...
Naibu Balozi wa Germany nchini Tanzania KATHRIN STEINBRENNER akamsogelea Freeman Mbowe na kumueleza "never, never, never Give up!" Freeman akasema "I will never give up".
Ikapigwa ngeli ya kutosha hapo. MaCCM wanalalamika koridoni, wanasema Germans wanasapoti ugaidi wa FREEMAN.
Karamba Diaby alishinda jimbo la Halle (Saale) kwenye uchaguzi mkuu nchini Ujerumani tarehe 26 Septemba.
Dk Karamba alizaliwa Senegal akafika Ujerumani akiwa mwanafunzi mnamo mwaka 1986. Baada ya kuhitimu shahada ya uzamivu ya kemia alianza kujihusisha na siasa akajiunga na Chama cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.