ujerumani

  1. GENTAMYCINE

    TMA mna lengo gani na Watanzania mpaka kuificha habari hii muhimu iliyotangazwa na DW ya Ujerumani?

    Sasa ni rasmi kuwa kuanzia sasa Dunia (hasa hasa huu Ukanda wa Afrika Mashariki Tanzania ikiwemo) inaenda kuwa na ukame mfululizo wa miaka minne (4). Ninachojua tu GENTAMYCINE ni kwamba Mzungu huwa hakosei hasa pale akipima kitu chake kwa kutumia mitambo yake na kufanya utafiti wa kina. Tayari...
  2. Shujaa Mwendazake

    Ujerumani inaizunguka Marekani kwa kuzungumza na China

    Ziara ya hivi karibuni ya Olaf Scholz nchini China ni ujumbe kwamba Washington haiwezi kulazimisha sera ya nje ya Berlin. Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anatazamiwa kuzuru China wiki hii. Ni alama ya safari yake ya kwanza kabisa katika nchi ya Asia, huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya...
  3. Shujaa Mwendazake

    Ujerumani yatoa kauli ya mwisho kwa Serbia

    Germany tells Serbia to choose between Russia and EU – Reuters Belgrade itakabiliwa na "matokeo" ikiwa itashirikiana na Moscow, mwakilishi wa Ujerumani aliambia shirika la habari Serbia lazima iamue kuungana na Urusi au EU, afisa wa Ujerumani aliambia Reuters Jumanne. Wakati Berlin imeionya...
  4. Shujaa Mwendazake

    Poland inaorodhesha mahitaji ya fidia ya WWII kutoka Ujerumani

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Poland imetoa orodha ya fidia ambazo taifa hilo linatafuta kutoka kwa Ujerumani kwa hasara inayoonekana na isiyoonekana iliyopata wakati wa Vita vya Kidunia vya pili. Yaliyomo katika agizo la ulipaji fidia la Poland lililotumwa Berlin mapema mwezi huu yaliwekwa wazi...
  5. Shujaa Mwendazake

    Berlin na Moscow sasa ni wapinzani - Rais wa Ujerumani

    Frank-Walter Steinmeier alielezea kampeni ya kijeshi ya Urusi dhidi ya Ukraine kama tukio la maji Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier ametangaza kwamba Moscow na Berlin sasa zinasimama dhidi ya kila mmoja. Alitaja operesheni ya kijeshi ya Urusi nchini Ukraine kama sababu ya kutathminiwa...
  6. Suzy Elias

    Ujerumani: Hatutatuma tena silaha Ukraine

    Counselor wa Ujerumani bwana Scholz amesema Taifa lake litajitenga na kutuma silaha huko Ukraine kwa sababu 20-30% ya Wajerumani wanapinga hilo na hawataki vilevile Urusi iwekewe vikwazo. Scholz pia anataka kuendeleza mahusiano mema ya kibiashara na mshirika wa karibu na Urusi, China.
  7. JanguKamaJangu

    Ujerumani mbioni kuhalalisha matumizi ya bangi kwa starehe

    Hatua hiyo inaelekea kukamilika kama iivyoahidiwa na Serikali ya Kansela, Chancellor Olaf Scholz na ikiwa itakamilika itakuwa Nchi ya pili katika Umoja wa Ulaya kuhalalisha matumizi hayo baada ya Malta. Lengo linatajwa kuwa ni kwa ajili ya burudani kwa watu wazima ambapo matumizi...
  8. N

    Hawa wakubwa wanachanganya sana; wamekutana Ujerumani jana kuzungumzia kuijenga upya Ukraine. US$200 bl yapendekezwa!

    Mkutano uliitishwa na Chancellor wa Ujerumani na kuhudhuriwa na wajumbe wa NATO wote (source: StarTV habari, BBC na AlJazeera). Swali langu ni kuwa kwani vita imeisha au hii ina maana gani? Au ndo kweli kama wanavyosema wengine kuwa walikuwa kwenye majaribio yao ya silaha na sasa wameshapata...
  9. Friedrich Nietzsche

    Takwimu hizi zinamaana gani kwa sera zetu za kijeshi. Tumekua kama Ujerumani?

  10. BARD AI

    Kila mchezaji wa timu ya Taifa Ujerumani kulipwa Tsh. Milioni 909.5 wakishinda Kombe la Dunia

    Chama cha Soka (DFB) kimetoa ahadi hiyo leo ikiwa ni takriban siku 55 zimesalia kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia huko Qatar. Kwa mujibu wa DFB wachezaji wa Timu ya Taifa wakifanikiwa Kufuzu kwa hatua ya makundi, kila mchezaji atapewa Tsh. Milioni 113 na wakifanikiw kuingia katika nane bora...
  11. JumaKilumbi

    Ndoto ya Ujerumani kuitawala Ulaya imetimia?

    Na JumaKilumbi, Septemba 22, 2022. Ujerumani ni moja ya mataifa yanayofanania na harakati za ‘hustler’ yameanza tokea chini kabisa kwenye hadhi ya udhalili na ufakiri mpaka kufikia utajiri na ufadhili. Harakati zake hazikuwahi kuwa nyepesi, Hali bora ya maisha ya wananchi wake haikushuka kama...
  12. MK254

    Ujerumani yataifisha vinu vya mafuta vya Urusi

    Hamna namna....imebidi The German government has taken control of three oil refineries operating in Germany and owned by Russian oil giant Rosneft in an effort to forestall potential damage to its economy from the European Union's embargo on Russian oil. The embargo is set to go into effect on...
  13. SAYVILLE

    Tufumue mfumo wetu wa soka kwa kuingia mkataba na Ujerumani

    Tanzania tumekuwa tunahangaika kutafuta dawa ya matatizo yetu ya mpira. Uzuri mmoja katika soka letu tuna desturi nzuri ya timu za Simba na Yanga ambapo ni mtaji mzuri sana. Kwenye timu ya taifa au mashindano ya kimataifa ya vilabu tumeendelea kuwa dhaifu ukiacha mafanikio ya mara kwa mara ya...
  14. Nyambiza jr

    Tanganyika/Tanzania iliachwa yatima tangu Ujerumani iliposhindwa vita ya WWII

    Habarini wana GreatThinkers nimeona niwaletee hii baada ya kuona na kufuatilia mwenendo wa nchi yetu tangu ipate Uhuru. Mungu ametubariki nchi nzuri yenye kila aina ya resources na wakoloni kuvutiwa sana na nchi yetu walianza Waarabu kwa kufanya biashara ya utumwa na biashara zao nyingine baada...
  15. crankshaft

    Kwanini Ufaransa, Canada, Ujerumani zipo NATO?

    Mataifa haya makubwa yana uwezo wa kujitegemea wenyewe. Kwa nini yasingeamua kuwa neutral kijeshi na kuamua kujiunga na NATO ambapo kwa namna moja ama nyingine ni kama kuwa chawa wa marekani?? ikizingatiwa kuwa ufaransa iliwahi kujitoa,ilikuwa na ulazima gani wa kurudi mara ya pili...
  16. Suzy Elias

    Kwa hali inavyoendelea ni vigumu mno kwa Ujerumani kuendelea kuiwekea vikwazo Urusi

    Ujerumani ndiyo itakuwa nchi ya kwanza kuomba poo kwa Urusi kwa namna hali ya mfumuko wa bei unavyo hatarisha uchumi wa nchi yao. Kwa mfano kuanzia leo mabango yote ya matangazo yatawashwa mwisho saa nne za usiku huku gharama za nishati ya gesi na mafuta zikipanda maradufu hali inayopelekea...
  17. S

    Ujerumani na Poland zaanza kutumia kuni kama chanzo cha nishati

    Aisee kumbe Dunia yaenda kasi hivi kwenye mhimili wake...Kweli nchi za Ulaya ikiwemo Germany (Ujerumani) zimefikia hatua ya kutumia kuni kama chanzo cha nishati?! Yaani wanapasua magogo ya kuni na kuziwasha/choma kama bibi yangu anavyofanya kule Lupembe, Njombe vijijini! Aisee ni jambo la...
  18. Newzealand360

    Nchi ya ujerumani ilipaswa kutofungamana na upande wowote kwenye kitu chochote

    Kihistoria naliona taifa la ujerumani kama victim wa mahusiano na mashirikiano kwenye Jumuiya za kimataifa. Vita zote matokeo yake yameidhabu ujerumani. Naona vita ya Ukraine vile vile amebebwa tu. Vita ya pili na kunyang'anywa kwake makoloni kama sehemu ya adhabu sioni koloni la mjerumani...
  19. MakinikiA

    Ujerumani wanazama kwenye kina kirefu kwa kumfurahisha USA

    German economy forecast to shrink The energy crisis and the conflict in Ukraine are expected to take a toll on the country’s GDP The German economy is expected to lose more than €260 billion ($265 billion) in added value by 2030 due to the conflict in Ukraine and high energy prices, Reuters...
  20. Roving Journalist

    Ujerumani yaisaidia Tanzania Euro mil 10 sawa na TSH Bil 23.7 kwa ajili ya Mradi wa kukabiliana na migongano kati ya wanyamapori na binadamu

    Serikali ya Tanzania na Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani zimetiliana saini mkataba wa msaada wenye thamani ya Euro milioni 10 sawa na shilingi bilioni 23.7 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa kukabiliana na migongano kati ya wanyamapori na binadamu, Mradi wa kuwezesha upatikanaji...
Back
Top Bottom