Kiongozi wa Ujerumani mama Angela Markel amepinga uamuzi wa Twitter kumfungia Donald Trump kwa kusema utaratibu huo haukubaliki.
Markel amesema vyombo vya ulinzi na usalama ndivyo vilitakiwa kuona kama Trump anahatarisha amani au lah na sio menejimenti ya Twitter.
Twitter kwenye utetezi wake...
Watu 698 wamekufa kutokana na ugonjwa wa COVID-19 kwa muda wa saa 24 zilizopita nchini Ujerumani, hii ikiwa ni kulingana na taasisi ya Robert Koch inayoshughulikia magonjwa ya kuambukiza nchini humu.
Idadi hiyo ni ya pili kwa ukubwa kurekodiwa kwa siku moja tangu mripuko wa maradhi hayo...
Mahajub Adam Mohamed ambaye pia alifahamika kwa jina la Bayume Mohmed Husen alizaliwa Dar es Salaam mwaka 1904 kipindi hiko Tanganyika ikiwa ni koloni la Ujerumani
Bayume alipigana vita ya Kwanza ya Dunia mwaka 1914 akiwa na miaka kumi. Kipindi hicho wanajeshi watoto walitumika kutoa ishara...
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema hii leo kwamba sserikali kuu na zile za majimbo wamekubaliana kuhusu rasimu ya mapendekezo ya kuweka hatua kali za kujaribu kudhibiti wimbi la maambukizi ya virusi vya Corona nchini humo.
Hatua hizo ni pamoja na kufungwa kwa maduka mengi kuanzia siku...
Barabara hiyo ya Wissmannstraße inatarajiwa kubadilishwa jina mwaka ujao
Madiwani katika mji mkuu wa Ujerumani , Berlin wamepiga kura ya kuondoa jina la barabara moja linalompatia heshima gavana mmoja wa nyakati za ukoloni katika eneo la Afrika mashariki aliyeshutumiwa kwa kuagiza mauaji na...
UHUSIANO WA CHADEMA, TUNDU LISSU NA UBELGIJI: KWA NINI TUNDU LISSU ALIKIMBILIA UBALOZI WA UJERUMANI?
Leo 20:30hrs 14/11/2020
Ilani ya CHADEMA ikinadiwa na mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu, walizunguka Tanzania nzima wakipiga mbiu kuwa watatumia rasilimali za madini kama dhamana kwa ajili ya...
Wakuu,
Hili ni bandiko la swali ili kupata uelewa mpana kuhusiana na taswira mpya wanasiasa wa Tanzania na washirika wao wanavyoonesha katika siku za hivi karibuni.
Je, kuna uhusiano gani wa ziada nje ya utaratibu wa kawaida kwa nchi tajwa hapo juu na shirika mojawapo la haki za binadamu na...
LISSU AMEKIMBIA AU ANAENDELEA KUFANYA SIASA?
Na Elius Ndabila
Aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wakili Tundu ANTIPAS MUGWHAI LISU baada ya kushindwa vibaya Uchaguzi alitangaza maandamano yasiyo na ukomo. Maandamano hayo alisema yataanza Jumatatu...
Tundu Lissu akihojiwa na redio Ujerumani DW anasema amepata simu za kutishiwa amani na ameamua kujificha kwenye makazi ya Balozi wa Ujerumani
Anasema maisha yake yako hatarini na anajipanga kuondoka na kurudi Ubeligiji
Tundu ni mwanasheria na very treak man tujihadhari naye sana
=========...
Miaka ya 1980-90 mwishoni Mpira nzuri na wakuvutia ulikuwa ukichezwa nchini Italia. Ligi ya Italia Serie A likuwa ndio Bora kabisa duniani. Wachezaji wote wazuri na Bora toka mataifa mengine ya ulaya na America ya kusini pamoja na Africa walipenda kucheza Mpira nchini italia. Ligi yao ilisheheni...
Niaje.
Noamben kujua kuna tatizo gani kwa hawa wanaorusha habari za bbc Swahili na Sauti ya Ujerumani siwapat kabisa redion wamefungiwa au?
Halafu pia naomba kujuzwa hawa BBC Swahili na vituo vingine vya habari vyanzo vyao vya mapato ni vipi maana nimezoe kuona huku kwetu radio station...
Waziri wa Afya wa Ujerumani, Jens Spahn amethibitishwa kukutwa na #CoronaVirus na ana dalili kama za mafua
Wizara ya Afya imesema waziri huyo amejitenga lakini watumishi wengine wa wizara hiyo hawatajitenga. Wote waliochangamana naye wameshataarifiwa
Spahn ni mmoja kati ya wanasiasa wa wakubwa...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya bara la Afrika?
Je, ushahidi huu ni udhibitisho mwingine tena wa ule...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu watanzania;
Ujerumani iliwahi kuwaua binadamu zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye uchumi mkubwa zaidi barani Ulaya (European...
Luteni Kanali Vladimir Putin: Afisa muandamizi wa KGB Ujerumani Mashariki na mfadhili wa makundi ya kigaidi Middle East (PFLP, Hezbollah, Hamas)
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the...
Ujerumani imesema inaionya Marekani iache kuwapangia nishati ya kutumia kwani kila nchi ina uhuru wa kuamua itumie nishati gani.
Ujerumani inashirikiana na Urusi kujenga bomba la gesi, Nord 2 kutoka Urusi hadi Ujerumani lakini Marekani ametishia kuliwekea vikwazo hilo bomba lisikamilie au...
Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa, Mhandisi Francis Mihayo amevitaka Vituo vya Utangazaji (Radio, Televisheni, Blogs na Online Tv) kuzingatia Kanuni mpya za Maudhui Mtandaoni 2020 na Kanuni Mpya za Redio na Televisheni 2020.
Mihayo ameyasema hayo wakati wa kikao kati...
Mkuu wa zamani wa Kanisa Katoliki, Papa Benedict XVI, anaripotiwa kuumwa sana baada ya kumtembelea kaka yake aliyekuwa mgonjwa nchini Ujerumani mwezi Juni na sasa hali yake ni dhaifu sana.
Gazeti la Passauer Neue Presse la nchini Ujerumani limeripoti kwamba Papa Benedict mwenye umri wa miaka...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti ndugu zangu watanzania;
Kwanini ENGINEERS wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni nini hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.