Habari wanajamvi, nimewaletea mada hii kuhusu baadhi ya movie za ulaya na asia.
Kuna hii movie inaitwa soz, nijikite wakati wale wapelelezi wawili wanamfatilia profesa. Walibain kuna mtu anamwinda professa pia wakaamua wamkamate ila cha ajabu wakati mpelelezi mmoja anapigana na huyu jamaa...