ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uchunguzi wangu unaonyesha wanaume wengi hufa mapema kwa sababu hawakupendwa na wake zao

    UCHUNGUZI WANGU UNAONYESHA WANAUME WENGI HUFA MAPEMA KWA SABABU HAWAKUPENDWA NA WAKE ZAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu wengi hujiuliza Kwa nini Wanaume hutangulia Kufa Kabla ya Wake zao. Imefikia hatua jamii imeshakuwa na mtazamo huo kuwa Mwanaume lazima atangulie Kufa Jambo ambalo...
  2. Sometimes akili nyingi ndio chanzo cha kufeli kimaisha, ukiona imeshindikana kufanikiwa kimaisha jaribu ujinga

    Mtu mwenye akili timamu huwezi kumuambia ili atajirike inabidi akauze pipi kwa mtaji alionao au mayai ya kuchemsha kama kianzio kwa sababu anajua fika mtaji mdogo utampa faida ndogo ataona ni upotevu wa muda na nguvu kwa sababu hesabu anazijua. Sometimes ujinga ni mtaji. Lakini mtu asiye na...
  3. Sio ujinga kutumia sabuni ya unga na kipande kwa pamoja wakati wa kufua nguo?

    Huwa naona watu wanatumia sabuni za aina mbili katika kufua, mtu analoweka nguo kwa sabuni ya unga kisha baadaye anatumia sabuni ya kipande wakati anazifua! Sasa hii maana yake huwa ni nini? Kwamba sabuni ya unga haitoshi kutakatisha nguo wakati wa kufua? Sijawahi kuolewa mantiki ya hili jambo.
  4. Mbabe aache Ujinga wa kuishi kwenye Kivuli cha Ronaldo Christian. Ni Utoto

    Huyu dogo kama fala.... Sijui hawamwambii? Kuwa sasa amekua aache ujinga. https://www.instagram.com/reel/DAFMY5BsQTm/?igsh=NnhwZGpqdmRtM3Q3
  5. K

    Siku tukiweka pembeni ujinga wa kulindana

    SIKU TUKIWEKA PEMBENI UJINGA WA KULINDANA Tukalimana kwa mujibu wa ilani, katiba, kanuni, miongozo na taratibu, na tukaazimia kutenda haki bila kuwaonea mafukara, tukausaka usawa — siku hiyo itabarikiwa na kuifanya nchi ineeemeke kwa haki. Nilisikika huko ndotoni nikitema cheche, nikikemea...
  6. T

    Ujinga wa 'Inverted Wingers'!

    Habari wandugu. Kuna trend kwenye mpira wa kisasa kwa maoni yangu hazina faida badala yake zinaharibu natural flow ya mpira. 1. Team kucheza na inverted wingers! Ilianza kama mzaha na Wakina Zidane, Henry, Messi, Ronaldo na Salah lakini Sasa imekuwa serious Kila timu inatafuta winga wa mguu wa...
  7. Kuuliza sio ujinga: Kuweka picha kwenye tangazo bila jina la mhusika, inamaanisha Nini au unatuma ujumbe gani

    JF Ninaomba kueleweshwa
  8. H

    Ni ajabu kwa Watanzania kuchambua na kufuatilia mgogoro wa Israel na Palestina badala ya nchi yao

    Ni ujinga mkubwa sana kwa watanzani kushadadia vuta ya israel na palestina nakuacha kuzungumzia matatizo yanayoikabili nchi yao. Huo ni ukichaa huwezi kuyajua ya israel na palestina yakwako yakakushinda ni ushabiki wa kijinga. Chambueni yenu kwaajili ya maendeleo ya nchi yenu.
  9. G

    Wakati tunaendelea na uchambuzi wa vita mashariki ya kati na mashariki ya mbali, tusisahau vita yetu ya ujinga na maradhi tangu 60s

    Naomba nipongeze wachambuzi wote wa vita vya mashariki ya kati na mbali Ila Naomba kukumbusha sisi wote ni watanzania au EA Kwa wengine. Ila tusisahau kuchambua vita yetu ya nyumbani jamani ya ujinga na maradhi tangu miaka ya sitini🤔🤔😄😄
  10. M

    Wachambuzi wa vita ya Middle East mnanishangaza sana!

    Ni suala la ajabu sana kwa mtanzania anayeishi Tanzania na HALI hii ya maishà, eti naye anafanya propaganda ya vita vya mashariki ya kati. Kama kweli una akili si ufanye propaganda ya kuondoka umasikini unao kukabili. Ukiona habari hata hujaihakikisha unawahi kupost, wakati huu wa vita...
  11. E

    Israel anajivunia akili na technologies anazouzia nchi nyingine. Ni ajabu kusema Israel haina nguvu bila Marekani

    Wayahudu ndio brain kubwa zinazofanya mambo makubwa huko US , Russia, Ukraine,Iran na nchi nyingine Hivyo sioni ajabu kwa US kumpa silaha Israel ,na ni lazima Israel ilindwe kwa manufaa ya wengi
  12. Mungu anaongea na watu mara nyingi. Wengi hawaelewi kwa sababu ya ujinga wao wa mambo ya kiroho

    Mungu ni roho, Mungu anaongea kiroho Haongei kama sisi wanadamu, ana namna zake ambazo ni muhimu uzifahamu KUNA NJII KUU 3 ZA MUNGU KUONGEA NA WEWE 1. KUPITIA NDOTO/MAONO 2. KUPITIA NENO LAKE. Biblia Takatifu 3. KUPITIA WATUMISHI WAKE(MANABII, WALIMU N.K LEO TUONE NJIA YA NDOTO Ndoto...
  13. Kama Mwl. Nyerere angekuwa hai angemwambia Cyril Ramaphosa acha ujinga, mwache Zuma

    Viongozi wanaoheshimika wamekwisha Afrika. ANC kitasambaratika kwasababu ya kukamiana wenyewe kwa wenyewe na kutengeneza a vicious cycle. Ramaphosa na mbeki wanamsulubu legendary mwenzao Zuma, dhambi hii itaimaliza South Africa na hasa chama tawala ANC. Kama Mwl Nyerere (RIP) angekuwepo bila...
  14. Kuna watu ni ma"pro" kwenye kuendekeza ujinga! Pumbavu wale

    Wakuu nina imani mnaendelea kupambana. Nimeshangaa sana kukutana na watanzania wachovu kufikiria kama wale. Wale wazee ni watu wa pwani, wamefikishana mahakamani wanagombea mpaka. Eti wamedhulumiana futi tatu kila mmoja anasema ya kwake. Pamoja na zile futi tatu hazina uwezo wa kuhimili ujenzi...
  15. T

    Ujinga wetu ni wa Kiutamaduni na Kimfumo. Mfumo wa nchi una wajibu wa kutengeneza uelekeo wa fikra za watu wake

    Mfumo wa Jimbo una jukumu la kuunda mwelekeo wa fikra wa watu wake Kwanza nakubaliana na mtoa hoja wa Jamii forum kwamba "uzezeta wetu, ujinga wetu, umbumbumbu wetu ni wa Kiutamaduni, ila ningependa niongezee kwamba ni systematic pia, sio by chance!!!!" Kwa nini nasema ni wajibu wa system ya...
  16. S

    Kuna miaka itafika, kutakuwa na vyuo vya watu kusomea ujinga ili wafanikiwe (foolish skill and management)

    Kwa hali ninavyona mimi! Elimu yetu afrika iko nyuma sana na ulimwengu unavyokwenda kwa kasi! Elimu yetu inakwenda kuwa siyo kitu cha kujivunia tena kuwa nacho maana haitakuwa na msaada kiuchumi! Elimu yetu itakwenda kuongeza utapeli mwingi kwa watu Elimu yetu inakwenda kuwafungia watu...
  17. Tuache kuaminishana ujinga. Tanzania haiwezi kuendelea kamwe

    Tuache kuamishana ujinga ukweli ni kwamba Tanzania haiwezi kuendelea kamwe. Watu wajinga wajinga wenye tuakilli tudogo wanatwaa madaraka akishaanza kulindwa siku mbili tatu na polisi na wanajeshi anaona kamaliza kila kitu. Hawa watu wenye tuakili tudogo ambao hata elimu zao tu hazieleweki eti...
  18. Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

    Anafunguka mwanaharakati..... "Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria Natoa...
  19. Battle ya Sativa vs ZCO Faustine Mafwele bado mbichi

    Nitaweka mfulizo wa posts za Sativa kutoka kwenye ukurasa wake wa Twitter akimshutumu ZCO Faustine Mafwele kuwa ndiye kinara wa utekaji na uuaji unaotekelezwa na taasisi za Serikali dhidi ya wakosoaji/ wanaharakati wa siasa. 1. Namna alivyomtambua ZCO MAFWELE Siku ya kwanza nimeongea story...
  20. L

    Azam wana timu nzuri, wana wachezaji wazuri na jana kaondolewa kwenye michuano

    Sawa Azam walishika nafasi ya pili sisi tukaumia sana lakini tukumbuke sisi tulijiumiza wenyewe, sisi hatukuwa watu wa kushika nafasi ya pili, hata sasa hivi tunakwenda vizuri lakini mbeleni huko tutakorofisha tena mtani abebe ndoo na Injinia kashasema Simba haimnyimi usingizi, anajua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…