AHMED ALLY RUDI SHULE UKAFUTE UJINGA
Anasema wamebakiza mechi 3 wakati bado mechi 4.
Ligi yetu timu ziko 16, inamaana kila timu inatakiwa icheze jumla ya mechi 30. Ukiangalia kwenye msimamo wa ligi Simba ameshacheza mechi 26, inamaana amebakiza mechi 4 na sio 3 kama anavyosema msemaji wa Simba...