ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Muziki wa Warekani Weusi hasa hiphop ni sumu, Wazazi na walezi tujitahidi kuwaepusha watoto na huu ujinga

    Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana. 1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za kutoboa kwa shortcuts) ina thamani kuzidi elimu ya shuleni, Wengi wameon shule ni upuuzi na kujikita...
  2. Makonda: Kuna UJINGA unaendelea wa kumtofautisha Hayati Magufuli na Rais Samia

    Makonda katika sherehe za kuipokea ndege mpya ya ATCL (BOEING 737-9 MAX) jijini Dar; amekemea tabia inayoonekana kuanza kukua na kukomaa kwa baadhi ya viongozi wa Serikali kwa ngazi mbalimbali ya kujaribu kutenganisha mafanikio yanayoendelea kutokea chini ya Rais Samia na kipindi cha awamu ya...
  3. Kuuliza si ujinga, kuna uhusiano wowote kati ya urais na udaktari?

    Wadau labda sifahamu ni sifa miongoni mwetu nchi za kiafrika au Tanzania tu? Nimeona marais wetu especially kizazi kipya wanapewa au kutunukiwa sifa ya Udaktari. Ni kwamba ukiwa Daktari unaweza kuwa rais au udaktari ni chaka la Urais au tumedharau cheo cha udaktari na mpaka kila mtu...
  4. N

    CCM inatumia ujinga wa watu hasa vijijini kujipatia kura

    Naam ujinga wa Watanzania na hasa walio vijijini na ambao hawana fursa ya mtandao ndio mtaji mkubwa wa CCM. Watu wa vijijini wengi na baadhi ya walio mijini ambao hawana mtandao hawapati taarifa sahihi kwa wakati na wakati mwingine hupata taarifa za uongo au kilaghai zilizochujwa na vyombo...
  5. L

    Ni ujinga na ulofa kuwashindanisha Chama na Pacome

    Naona leo baada ya mnyama kushinda na Chama kuonyesha kiwango cha hali ya juu, mitandao ya kijamii imekuwa ikihoji nani mkali baina ya Chama vs Pacome. Hii inanikumbusha miaka ile ya 1990 ambapo mashabiki wa Simba na Yanga walikuwa wanabishana nani mkali kati ya Athuman Abdallah China wa Yanga...
  6. Sasa ni rasmi ukiwa Waziri Tanzania usipokuwa Bilionea umejitakia tu Mwenyewe kwa Ujinga wako

    Kuwa na kiasi cha Pesa cha Kuanzia Shilingi Bilioni Moja katika Akaunti zao ni jambo la kawaida mno kama ilivyo katika Kushindana Kwao kuitafuta Shilingi Trilioni ili wawe na uhakika wa Maisha yao ya Kiujumla na Fedha ya uhakika ya kuwarejesha tena Bungeni kwa Kushinda katika Majimbo yao kila...
  7. Simba acheni ujinga wenu wa kujificha kwenye kichaka cha refa Kayoko, nyie ndio timu iliyofaidika na marefa kuliko yeyote kwenye ligi

    Ni aibu na ajabu Kuona mashabiki na viongozi wa Simba eti wanamlaumu Kayoko kawabeba Azam!!? Ni kichekesho Cha mwaka hiki sijawahi ona wapumbavu kama hawa watu! Simba ndiyo timu iliyochukua point nyingi za kubebwa kwenye ligi kuu kutoka kwa MAREFA kina Tatu Malogo, rejea mechi ya Prison, KMC...
  8. Sio njaa wala ukame vitakavyo tumaliza Waafrika bali ni ujinga

    Sio njaa wala ukame vitakavyo tumaliza waafrika bali ni ujinga👆 Maghayo Demi Nelson Jacob Kagame
  9. Ujinga, maradhi, umaskini, imani za kishirikina na imani za kuamini dini za wakoloni ndio maadui wa Tanzania

    Hawa ndio maadui wa Taifa letu: 1. Ujinga 2. Maradhi 3. Umaskini 4. Imani za kishirikina yaani ( kuamini uchawi , waganga wa kienyeji na Maustaz wasoma Nyota na kutoa majini ) 5. Imani za Dini tulizolotewa na wakoloni ambazo ni ukristo na uislamu. Hawa watano ndio maadui wa kweli wa...
  10. Sasa adui wa Taifa la Tanzania si ujinga bali ni upumbavu

    UPUMBAVU ni hali ya mtu au watu waliopata elimu lakini wameshindwa kuitumia kujikomboa wao wenyewe au kuikomboa jamii yao katika adha , dhiki, shida au aina yoyote ya mkwamo. MPUMBAVU, ni mtu alitebahatika kupata elimu lakini kwa makusudi kabisa au kwa kutokujua hawezi kuitumia elimu yake...
  11. Kama kuvamia Tanzania, adui haitaji kutumia nguvu ya Jeshi bali dini, rushwa na ujinga

    Tanzania ina madhaifu makuu matatu ambayo yameshaonekana mpaka sasa DINI, RUSHWA na UJINGA (NAIVETY). SOMO LA KWANZA: UFALME WA UJERUMANI (UJINGA or NAIVETY) Usidanganyike, huhitaji kutumia nguvu kubwa kuvamia taifa la watu ambao wamehalilisha rushwa kama sehemu ya utamaduni wa maisha yao...
  12. Kuuliza si ujinga, Tanzania tuna Amiri Jeshi wakuu wangapi? Je Chalamira ana mamlaka Kwa Majeshi ya ulinzi na usalama?

    Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi? Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa...
  13. KERO Stendi kuu ya mabasi ya Moshi (Kilimanjaro) imejaa ujinga, upuuzi, uchafu na ushamba uliopitiliza

    Nikiwa katika pitapita zangu za kusafiri mwishoni mwa mwaka huu wa 2023 nikajikuta mikoa ya kaskazini, nikatua Stendi kuu ya mabasi ya mikoani pale Moshi mjini na hapo nikakutana na mambo ya ajabu, yaani uchafu, ushamba na ujinga wa kiwango cha juu kupitiliza tena mamlaka za serikali...
  14. Foleni za Huduma NMB ni ujinga mtupu

    Yaani kila Bank ya NMB Tanzania unayoingia kuna foleni kubwa na Wahudumu wame-relax Tu hapa. Leo Niko hapa Mlandizi NMB, nimesimama queue zaidi ya dakika 56 sijapata Huduma bado. Kuna Binti WA kichina kacharuka hapa ndio kapewa Huduma. Juzi nilikua Tanga, foleni kubwa mhudumu mmoja, Jana...
  15. Wanawake mlikofikia tunawaombeni mtupumzishe kidogo. Hii ni fashoni au ujinga?

    Naomba nisizungumze mengi...
  16. Ujinga tulioufanya mimi na rafiki wa Ma Mdogo wangu unanitesa sana

    Serious Issue Wiki kama mbili hivi zilizoisha nilienda nyumbani kutembelea wazee, kama mjuavyo mapokeo ya huko Nanjilinji huwa ni yenye furaha na vifijo, ilikuwa vivyo hivyo kwangu mie Siku ya pili tokea mapokeo yangu, kulikuwa na sherehe ya birthday kwa rafiki wa Ma Mdogo wangu, basi bhana...
  17. Kiburi cha Hamas na Ujinga wa wapalestina vinaelekea kuwaangamiza kabisa huko Gaza

    Kinachoendelea Gaza kwa sasa ni matokeo ya level ya juu zaidi ya ujinga wa wapalestina na kiburi cha Hamas. Wapalestina wanaendelea kufa pasipo ulazima na eneo la Gaza kwa sehemu kubwa linakwenda kuwa chini ya udhibiti wa mamlaka ya Israel. Kwa sasa Israel imesema wazi haya, haijutii chochote...
  18. S

    Ni lini serikali itaacha uzembe huu? Hii ni selfie wala siyo uokoaji

    Mwaka 1996 MV Bukoba ilizama baada ya kuelea kwa masaa 7. Ndipo waokoaji feki wakaja na wazo la kuitoboa meli, maji yakaingia na watu zaidi ya 800 wakafariki. Uzembe wa serikali ya CCM. 2011 meli ya Spice Island ilizama kwenye mkondo wa Nungwi lkn mifumo ya taarifa za usalama wa vyombo vya...
  19. T

    Hii Kesha,'s saloon Sinza ichunguzwe na wanawake acheni ujinga wa kutengeneza shepu

    Wakati Mkuu wa Mkoa Dar es salaam akiendelea kupambana na makahaba na madanguro Dar aangalie na hili suala la ubakaji unaoendelea katika saloon ya Kesha's iliyopo Sinza. Ni fedheha na aibu kubwa kwa kinachoendelea ndani ya saloon hiyo kikihusisha udhalilishaji wa wazi wa mwanamke. Kwenu...
  20. Ujinga wa wanaokula Pilipili!

    Baadhi hula kila chakula kwa pilipili, hawa watu wanakosa mengi sana kwenye chakula, hawajui hata ladha ya chakula ni ipi wanajua ladha ya pilipili tu, unakuta mtu msosi mpya wa nguvu anajaza pilipili sasa ladha ya msosi utaijulia wa wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…