Raisi wa Ujerumani anakuja Tanzania, Ujerumani ilianzisha nchi yetu kama tuijuavyo leo hii, ukiondoa Zanzibar, walichagua mipaka vizuri na kupata vitu vingi vya kipekee kama Mlima Kilimanjaro ambao 100% uko ndani ya mipaka yetu, Maziwa Mito na Bahari, tuna fukwe za Bahari ya zaidi ya km 1000...