ujumbe

  1. Ushauri muhimu kwa Diamond Platnumz

    Kwako Diamond... Mimi shabiki yako kindakindaki nimekuwa nikizipenda kazi zako toka kamwambie, ila now days unaimba utopolo sikupangii cha kuimba ila naamini muziki mzuri ndio umefanya upo hapo ulipo. Huu wimbo ulioutoa jana ni utopolo mtupu wimbo mzima umejaa gigi gagaa kga kge gagaa gagaa...
  2. Waziri Ummy Mwalimu: Matumizi holela ya P2 yanaweza kusababisha ugumba na saratani

    Kupitia ukaunti yake rasmi, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amenena haya kuhusu watu wanaofanya mzaha wa matumizi ya vidonge vya kuzuia mimba aina ya P2. Inaweza kuonekana ni utani lakini huu ndio ukweli hasa kwa baadhi ya watoto wetu wa kike walio shuleni. P2 ni dawa ya kuzuia mimba...
  3. U

    Paul Kagame atuma ujumbe mzito kwa majirani zake

    Hamjamboni nyote? Tafadhali pitia ujumbe wa PK hapo chini Photo: President Paul Kagame === President Kagame: In the near future, Rwanda's relations with Burundi will get back normal. It's still work in progress, and both sides are committed to see it through. President Kagame: on the...
  4. Vibonzo na ujumbe mkubwa ndani yake

    ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ
  5. Bosi GSM atangaza kujiuzulu uenyekiti na ujumbe wa Taifa Stars

    Mmiliki wa Kampuni za GSM, Ghalib Said Mohamed ametangaza kujiuzulu nafasi ya kuwa Mwenyekiti na Mjumbe wa Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars. Hayo yamesemwa na Afisa Biashara Mkuu wa GSM, Alan Chonjo ambaye amezungumza na wanaandishi wa Habari leo Jumatatu Februari 7, 2022. Ameeleza kuwa Ghalib...
  6. Facebook kutoa taarifa endapo Mtu aki screenshot ujumbe kwenye messenger

    Mtandao wa Facebook ulio chini ya Meta umeboresha katika sehemu ya mazungumzo yake ya messenger. Ikumbuwe Messenger pia imeunganishwa na Facebook hivyo Mtu anaweza kuchati Messenger kwa kutumia Facebook au Messenger yenyewe. Back to topic, Facebook wamefanya maboresho kwa jumbe za Messanger...
  7. Hii nukuu imebeba ujumbe gani?

    Hii nukuu ilipatwa kusemwa na mmoja wapo aliyepata kuwa rais was USA miaka ya 1947. Je alikuwa anamanisha Nini? If you can't convince them, confuse them. _ Harry S Truman
  8. B

    Ujumbe mahsusi kwa Chawa

    Chawa ni wafuasi ng'ombe wa watu wazito wazito wenye kutanguliza maslahi ya matumbo mbele. Mpanda ngazi hushuka. Baadhi ya watu hao hukumbuka shuka wakati kunakuwa kumekwisha kucha: "Ama kwa hakika misimamo yenu katika neema inakwaza mno jitihada zenu kujaribu kujivua magamba kwenye kipindi...
  9. Asante Samia kwa ujumbe. Sasa tumeelewa bila watu fluani CCM haipo

    Hili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe? Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna rangi utaacha kuona.
  10. Baby mama wa Rayvanny Fahyvanny amechapisha ujumbe unaoashiria kuwa anaumwa

    Baby mama wa Rayvanny Fahyvanny ameacha maswali miongoni mwa shabiki zake kwenye mitandao tofauti ya kijamii. Hii ni baada ya kusema kuwa anateseka kwenye chapisho lake la hivi punde ambalo limesambaa mitandaoni. Kulingana na chapisho hilo ambalo Fayhma alisambaza kupitia akaunti yake ya...
  11. Ujumbe wa Masoud kipanya na Aliyosema leo Samia

    Kuna uhusiano wa alichofanya Samia na huu ujumbe wa Masoud?
  12. Baada ya Ushindi wa 'Nibebe Nibebe' wa Jana 'Kwa Mkapa' Mchambuzi Mahiri wa EFM & TvE Oscar Oscar ana Ujumbe wenu huu mzuri

    "Hatimaye tumeshuhudia Ushindi wa Mchongo kwa mara ya kwanza tangu tusherekee Christmas" Oscar Oscar. Tafadhali namuombea Ulinzi mkubwa.
  13. Ujumbe wa kufungia mwaka 2021 na kuufungua mwaka 2022

    UJUMBE WA KUFUNGIA 2021 NA KUFUNGUA MWAKA 2022; MHESHIMU MUNGU KWA MALI ZAKO. Anaandika Robert Heriel. Mungu humdharau mwenye Dharau, humheshimu mwenye kumuheshimu. Tunapoelekea kuufunga mwaka 2021 na kuulaki Kwa furaha mwaka 2022 ujumbe huu utakuwa muhimu katika maisha yako. Ujumbe huu...
  14. Hizi nukuu za Steve Jobs zimebeba ujumbe gani?

    Huyu jamaa alikuwa na maana gani kwenye nukui zake hizi? "Stay hungry, stay foolish" "If today were the last day of my life, would I want to do what I'm about to do today?
  15. Ujumbe huu unamhusu Rais Samia juu ya waliovunjiwa vibanda vya biashara

    Salama wandugu, Wikiend hii nikiwa nimeamka mapema nikiwa nacheki TBC kufuatiria ziara ya Rais wa nchi Mara kidogo nasikia hodi wife akatoka kidogo akaingia na mwanamke akiwa analia kisa mama huyo alikuwa akiuza mihogo huko kariakoo eneo ambalo hawakujua Kama wanatakiwa kaondoka Mgambo wa...
  16. Kitabu alichoonyesha Freeman Mbowe Mahakamani kina ujumbe gani?

    Wakuu kwanza hongereni kwa neema ya mvua kubwa popote mlipo nchini Tanzania, wacha inyeshe ili tuone panapovuja. Leo kama ilivyo kawaida ya siku za wiki, habari kubwa ni ile ile ya siku zote ya Mh Mbowe kufikishwa Mahakamani na kuteka vyombo vyote vya habari vya dunia, sasa jambo kubwa leo ni...
  17. T

    Reggae, ujumbe na swali kwa mabeberu watibuaji wa amani duniani.

    Kuhusu mwimbo huu kiufupi. Elimu hata kuhesabu kuligunduliwa na Mwafrika mweusi, hata chuo kikuu cha kwanza duniani kilikuwa Mali, na Wayahudi wa kweli walioandika Biblia hasa agano la kale walikuwa Waafrika weusi kule Mashariki ya kati baada ya utumwa Misri. Kwa hiyo Waafrika na watu weusi...
  18. Ethiopia: Facebook yafuta ujumbe wa Waziri Mkuu uliowataka wananchi "kuwazika" TPLF

    Mtandao wa Kijamii wa Facebook umefuta Ujumbe wa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed uliowahimiza Wananchi kujipanga na kuandamana kwa njia isiyovunja Sheria wakiwa na silaha ili kuzuia Waasi wa TPLF Facebook imesema imeondoa Ujumbe huo kwasababu unakiuka Sera yake kuhusu kuchochea ghasia. TPLF...
  19. Ujumbe wa bingwa Kipchoge kwa dunia, akutana na Rais Samia

    Marathoner Eliud Kipchoge (left), President Uhuru Kenyatta (center) and his Tanzanian counterpart Suluhu Hassan at Glasgow Conference in Scotland on Tuesday, November 2, 2021. PSCU Legendary marathoner, Eliud Kipchoge, has offered potential solutions to world leaders on how to go about climate...
  20. Ujumbe katika picha kutoka sanaa ya uchoraji

    Wasanii wa uchoraji duniani kote wamekuwa wakitumia sanaa kufikisha jumbe kwa namna fikirishi, mfano kwa hapa kwetu ni zile maarufu za Masoud Kipanya. Zinazoakisi mwenendo wa maisha yetu ya kila siku. Hebu tupia picha uliyoiona ni fikirishi itufikirishe pia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ