Kila mtu atakuambia ufikirie nje ya box ili ujinasue na mtego uliokushikilia ila ni ngumu kuwa na mawazo thabiti kama ukame unakuandama, maana saikolojia yako imekuwa disturbed.
Ni ngumu kujitoa katika ufukara na madeni ya mitaani kama ulilazimika kimataduni au kulazimishwa na wazazi kupata...