Kila raisi akipata fursa kuzungumza kwenye baraza la Umoja wa mataifa husema yale yaliyojificha moyoni.Hivyo ndivyo alivyofanya raisi wa Poland Andrzej Duda jana tarehe 19 ilipofika zamu yake.
Katika hotuba yake hiyo aliendelea kutetea uamuzi wa nchi yake kutoruhusu nafaka zote za Ukraine...
Wanapiga popote, hizi drones zimekua shida....
A Ukrainian uncrewed surface vessel (USV) hit a Samum-class missile carrier hovercraft on Thursday, 14 September.
Source: Ukrainska Pravda’s sources in the Security Service of Ukraine (SSU)
Details: The sources said the SSU's SeaBaby USV hit the...
Hakuna kinaachwa, iwe nyambizi, meli za kijeshi au hata za doria, yaani matumizi ya drones ni raha sana, madogo wamekaa kwenye maofisini kazi yao kubonyeza bonyeza tu, wanacheza kama video games na kuchagua wapi pa kupiga.....
Ukraine's military said on Thursday it had damaged two Russian...
Haya madubwana yamepigwa kizembe sana, aisei Urusi ilijiingiza kwenye aibu.
Ukraine's attack on the ships of the Russian Black Sea Fleet in occupied Sevastopol can be considered a great success: a large landing ship was hit for the third time, and a submarine was hit for the first time.
It...
Historia itaandikwa na kusomwa miaka 100 jinsi Urusi ilijitia aibu kwenye huu ugomvi, wanajeshi wa Urusi wamejichokea baada ya kufa zaidi ya laki mbili kwenye kainchi kadogo hapo pembeni, wanapambania ardhi ambayo wenyewe hawana haja nayo......
Walikua wamejichukulia vinu vya gesi, vimewatoka...
Yaani hii aibu kwa Urusi, jeshi la kainchi kadogo hapo pembeni linaitesa Urusi hadi raha.
=======
Deputy Defence Minister Hanna Maliar has said that the Armed Forces of Ukraine regained part of Opytne in Donetsk Oblast.
Maliarʼs briefing on 11 September on the air of the national joint 24/7...
Akizungumza na kipindi cha BBC cha jumapili generali Mark Milley amejisifu jinsi alivyotabiri mwendo wa vita hapo awali kuhusu kushindwa kwa Ukraine na kwamba imekwenda vile vile.
Amesema kwa sasa nchi hiyo imebakiwa na siku 30 ikizidi ni 45 kuweza kupenya ngome za Urusi jambo ambalo amesema si...
Sasa hivi madogo wanao endesha hizi drones wanachagua pakupiga ndani ya Urusi bila shida yoyote.....
A RUSSIAN plant that makes crucial parts for missiles has gone up in flames after being blasted by kamikaze drones.
Dramatic footage shows a huge inferno raging at the Kremniy EL after the...
Mnamo mwaka 1976, Mwanamuziki maarufu nchini Kongo Franco Luambo Makiadi aliachia kibao chake "Kamikaze".
Kupitia kibao hicho, Franco ameeleza namna alivyovurugwa kimapenzi na binti mrembo "Kamikaze" aliyemsaliti kisha kwenda kuolewa na mwanaume mwingine.
Alichukulia kitendo hicho kama uasi wa...
Mwendo wa mpwito mpwito...
Ukrainian troops continued their offensive actions near the city of Bakhmut and in the western part of Zaporizhzhia Oblast on 7 September and they had gains on both frontlines.
Source: Institute for the Study of War (ISW)
Details: Geolocation footage published on 7...
Hali ya maisha katika nchi za nato na wengine sio nzuri kabisa.
Maisha yamekuwa ghali kinoma
Makato ya serekali yamepanda vyakula vimepanda bei na mambo mengine mengi.
Lakini kila kukicha Kama hapa Canada [emoji1063] serekali wanatenga bajeti ya mabilioni ya pesa sio Canada pekee hata usa watu...
Mzuka Wanajamvi!
Watu kama hawa Kanye West wanaweza kuwa na hulka ya diplomasia na ushawishi wa kuzaliwa.
Tuliona jinsi Denis Rodman alivyokaribishwa na kim North Korea na kiaina kulegeza kwa mbali uhusiano na Marekani.
Kanye West anaweza kuwapatanisha Putin na Zelensky wakakaabmeza moja na...
Urusi inavyotapatapa mpaka sasa inahamisha watu kutoka mataifa tofauti kwenda kufia Ukraine maana wanajeshi wake wamefyekwa kama senene...
A human trafficking ring that coerced Cubans to fight for Russia in Ukraine has been uncovered, the Caribbean island's government says.
The Cuban...
Hawa majenerali wanasakwa kote, manyumbani hadi ofisini, yaani wawe waangalifu na muda wote kugeuza geuza kichwa huku na kule, maisha ya wasiwasi kama digidigi.
Huyu kapokezwa simu ya mkononi ikamlipukia, maisha ya hovyo sana, walivamia nchi ya watu wakadhani wao wataendelea kuishi kama...
Watu wanafia kwenye nchi ya watu, ukiwauliza wanachopigania, hawana cha kujibu.....
PHOTO: DKULKO/TELEGRAM
Yevgeny Pisarenko, the commander of Akhmat, a Chechen armed formation that is fighting on the Russian side, has been killed in combat in Donbas.
Source: Russian Kremlin-aligned media...
Kaamua kujitoa mhanga maana watakachomfanyia hawa mafia wa Urusi, tayari amekamatwa....
PHOTO FROM OVD-INFO TELEGRAM CHANNEL
A woman was detained on Red Square in Moscow for joining a rally while wrapped in a Ukrainian flag.
Source: Russian human rights media project OVD-Info with...
Mtanzania Novatus Miroshi ametua Ukraine katika Klabu ya Shakhtar kwa mkopo kutokea zulte waregem ya ubelgiji.
Hii itampa fursa ya kukipiga UEFA ambapo wamepangwa na barca, porto na royal antwerp ya ubelgiji.
Kongole kwa mtanzania mwenzetu afu jamaa umri bado unadai.
My take: Baada ya mambo kuwa magumu kwenye vita vyake na Ukraine, kupoteza silaha nyingi,Urusi yaanza kuhamisha silaha toka maeneo mengine kupeleka frontline dhidi ya Ukraine.Njia rahisi ya kumaliza vita,ni Putin kuondoka Ukraine,ikiwemo Crimea 🤔
....
Russia has taken away anti-aircraft missile...
Hiyo kama kutoka Dar hadi Tabora.
Kadiri siku zinakwenda ndivyo Ukraine wanaongeza jeuri ya kufanya makuu, Mrusi hajui atoke vipi....
The Ministry of Strategic Industries reported on the successful use of long-range weapons of Ukrainian production: it hit a target from 700 kilometres away...
Viwanda vya drones Ukraine vinazalisha kwa wingi, maelfu na kwa sasa Ukraine hawapotezi muda, wanazituma Urusi na kupiga popote na kote, anga za Urusi zimekua balaa, milipuko mikoa sita kwa mpigo.
Russia said that Ukraine launched drones against targets in six Russian regions, including an...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.