Kama kawa.. vilianzia Crimea, vitaishia Crimea
========
Ukraine’s Defence Intelligence has stated that units of the Special Operations Forces landed on the territory of the occupied Crimean peninsula and attacked the Russians, and after completing the mission, they retreated.
Ukraine’s...
Wana JF, nilikuwa nawaza hivi kwanini House Speaker wa Merikani kang'olewa kwenye kiti?
Wapo badhi ya watu wanasema ni kutokana na kusaliti wana Republican wa chama chake na kuwa mtiifu kwa Rais aliyopo kutoka chama cha Democrats mpaka asione utitiri wa misaada ya mabiliion ya Dolla zinazotumwa...
Jamaa wanajipigia viwanda, kila siku wanabishana baina yao kipi wapige leo....
Strike drones attacked the Russian Smolensk Aviation Plant, where Kh-59 missiles are produced, on 1 October, with three of the four drones hitting the target.
Source: press service for Defence Intelligence of...
Mytake:Hichi kitendo cha Ukraine kusafirisha ngano bila kuogopa vitisho vya Urusi ina maana sasa rasmi Putin anapuuzwa hata na marafiki zake wa karibu kama China 🤔
.....
https://m.jpost.com/international/article-761179
Mifumo ya Urusi imeshindwa kuzuia mvua ya mabomu ya drones.....miji inapigwa kizembe sana.
SCREENSHOT
Drones attacked the Russian cities of Smolensk and Sochi on the morning of 1 October. Explosions can be heard on videos shared on social media.
Source: Ostorozhno, Novosti (Careful, News)...
Kamanda alishindwa kutoroka walipozidiwa....
SCREENSHOT FROM VIDEO MADE BY AZOV
Soldiers from the 1st and 2nd battalions of the Azov 12th Special Forces Brigade of the National Guard of Ukraine have captured four servicemen of the Russian Army during the storming of Russian positions: among...
Mwanzo Urusi ilipokua na mihemko ya kuivamia Ukraine ilitoa masharti mengi sana na vijisababu vya kila aina, ila mziki ulibadilishwa, msafara ukapigwa na wabeba javelin, leo hii Ukraine ndio wanafukuzia Warusi, sasa Urusi imeanza kupunguza na masharti na kubaki na moja tu, kwamba Ukraine...
Warusi wanandelea kukipata pata ndani ya nchi yao....
Seven settlements in Kursk Oblast, Russia, have been left without electricity following an alleged attack by a Ukrainian drone.
Source: Roman Starovoyt, Governor of Kursk Oblast, on Telegram
Quote from Starovoyt: "This morning a Ukrainian...
Kama muvi vile, jamaa wamelipuliwa kizembe sana
Ukraine’s Defence Forces targeted the temporary command post of the Russians in Kherson Oblast, following a tip-off from the Security Service of Ukraine.
Source: Ukrainska Pravda source in the Security Service of Ukraine (SSU)
Details: The video...
Urusi ilikua imebakiwa na kizuizi cha usafirishaji wa ngano ya Ukraine, baada ya kushindwa mbinu zingine zote, sasa haina kingine kilichosalia......labda wabonyeze manyuklia sasa na wao wafutike kwenye uso wa dunia...
Second Ukrainian wheat cargo arrives in Istanbul
A second cargo ship...
Hapo juzi waziri wa mambo ya nje wa Urusi ,Lavrov akiwa New York alikumbusha kwa masikitiko mengi kuwa Marekani wakisaidiwa na Uiengereza sasa hivi wako vitani rasmi na taifa lake la Urusi.
Kauli yake hiyo inazidi kuungwa mkono na misimamo ya Marekni pamoja na matamshi yao ambapo Rais Biden...
Dah! Sasa ikiwa usalama wa taifa (FSB) hawapo salama nani mwingine yuko salama....kama mashairi vile
====
A Ukrainian drone hit an FSB building in the city centre of Kursk, Russia, on the morning of 24 September, a source from Ukraine’s Defence Intelligence claims.
Source: source of Ukrainska...
Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote...
Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel booking system, obtaining information on 664 million flights over the last 16 years. They also obtained...
Kwamba drones zinaingia na kutoka zitakvyo, asema suluhu itafutwe itakayogharimu hela nyingi sana maana ni fedheha....
Self-proclaimed President of Belarus Alexander Lukashenko is "thinking about how to counter" attacks on Russian territory, but it’s going to require "hundreds of millions of...
Katika mahubiri yaliyofanyika huko Mwanza, mchungaji Moses Kulola alitoa unabii juu ya vita ya Urusi ambao chanzo chake ni Nato na akasema kutakuwa na Vita kubwa chini ya Urusi.
Na pia akasema Urusi imeandikwa ndani ya Biblia, na kiuhalisia biblia ni kitabu kilichojaa matukio mengi yanayotokea...
Wamefaulu kufyatua ngome zilizokuwepo na sasa wanapambana kubomoa ya mwisho ambayo Warusi walikua wamejichimbia.
Ukrainian armoured vehicles are already operating beyond the last line of Russian defensive fortifications, which Ukrainian forces are currently breaking through in the west of...
Sasa rasmi ukraine yaanza kuchokwa. Poland kasitisha misaada ya silaha kwa ukraine.
Naona joto limeanza kupanda muda wowote Ukraine atafosiwa akae mezani na Mrusi vita iishe.
Urusi apewe pongezi kwa kuweza kumudu kupigana na mataifa 31 ya NATO pale ukraine!
NB: Kuna uwezekano hifadhi ya...
Hamna kinachosazwa, vinalipuliwa vyote...
The Armed Forces of Ukraine have confirmed that they successfully attacked the command post of the Russian Black Sea Fleet near Sevastopol on the morning of 20 September.
Source: Directorate of Strategic Communications of the Armed Forces of Ukraine...
Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka katika bandari ya Mombasa ili kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki, asema Rais Ruto baada ya mazungumzo na Rais Zelensky.
Haya yametokea wakati Ruto akiwa kwenye ziara nchini Marekani, ambapo alimpongeza Rais Zelensky kwa kuendelea kupambana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.