Kufuatia shambulia kubwa kwenye ukumbi wa starehe jijini Moscow ambapo kundi la ISIS lilijitaja kupitia vyombo vya magharibi kuwa ndilo lililohusika.Urusi imeonekana kutoshawishika na uozo wa taarifa hizo.
Watu kadhaa walikamatwa mara tu baada ya shambulio hilo kutokea ambapo watu zaidi ya 130...
Aise Urusi wana shida, huku wanapigwa na magaidi wa Kiislamu, kule wanapigwa na Ukraine.....
Kunao mnasema hao magaidi walitumwa na Ukraine, haya sasa Ukraine watakua waneongeza pigo lingine, Urusi ashikwe hadi wapi ndio afanye kweli, huyu ndiye supapawa mlitegemea awaokoe kutoka kwa Marekani...
Makombora zaidi ya 20 yamepiga mji wa Lviv na Stryi na kulipuwa uwanja wa ndege za kivita na kulipua air defence Kambi za mafunzo , maghala ya silaha na visima vya mafuta kwa Sasa mji unawaka moto ili kuweza kuwachoma wanamgambo wa Ukraine walijificha kwenye mapango
[🖼 Telegram channel...
Russia imerusha makombora kuelekea Ukraine yaliyopitia ndani ya Anga la Poland masaa machache yaliyopita na kusababisha Poland kurusha ndege zake F 16 lakini zilisha chelewa na kusababisha mzozo juu ya Air defense zao zilizokua zikikoroma kwenye usingizi mzito
Russian missiles are flying...
Katibju mkuu wa umoja wa mataifa, Antonio Guterres kwa mara nyengine amewaambia viongozi wa jumuiya ya Ulaya wazitumie sheria za kimataifa kwa hali ya usawa. Yale wanayoona ni sawa au kuyapinga kwa Ukraine na sehemu tofauti iwe hivyo hivyo kwa Gaza.
==========
BRUSSELS (AP) — European Union...
MKUU WA KANISA Katoliki duniani, Papa Fransisco, katika mahojiano na chombo cha habari cha Uswisi, RSI, amesema Ukraine inapaswa kuwa na ujasiri wa bendera nyeupe, ambayo ni alama ya kukubali yaishe kwa kupisha mazungumzo ya amani.
_______________
Pope Francis: Ukraine should have the courage...
Ukraine Jumapili ilipinga wito wa Papa Francis wa kujadili kusitisha vita na Russia, huku Rais Volodymyr Zelenskiy akisema Papa alikuwa akifanya “upatanishi kwa mbali” na waziri wake wa mambo ya nje akisema Kyiv haitasalimu amri.
Francis alisema kuwa wakati mambo yanaelekea kubaya kwa pande...
Katika hali inayoonyesha kwamba vita nchini Ukraine bado vitaendelea kupiganwa na kwamba fikra ya taifa la Russia kwamba inaweza ikakalia tu ardhi ya Ukraine kwa raha inaonekana ni jambo ambalo kamwe halitawezekana.
Ufaransa inapanga kuwa na baadhi ya watengenezaji wake wa silaha wanaozalisha...
$60 billion Ukraine
$14 billion for Israel
$9 billion Gaza + West bank
$4.83 billion Taiwan
---
Senate gives $60 billion for Ukraine, $14 billion for Israel, $9 billion in humanitarian assistance for Gaza and nearly $5 billion for the Indo-Pacific.
Meanwhile Biden is putting veterans behind...
Tamko kwamba Marekani haina tena pesa kuisaidia Ukraine limekuwa ni la wazi na hata taifa hilo limesema jukumu la kuendelea kuisaidia Ukraine kupigana na Urusi imewaachia wenzake 50 wafanye hivyo.
Pamoja na tamko hilo kutokana na uchofu katika vita hivyo, Marekani pia imesema haina mpango wa...
Ukraine inadai kutungua ndege ya kisasa ya Urusi A-50 AWACS. Kazi kubwa ya ndege ilikua ni kuelekeza makombora ya S-400 kuweza kutungua ndege Vita za ukraine zikiwa umbali mrefu zaidi.
Urusi inadai inaweza kuona kombora likiwa umbali wa zaidi ya kilometa 1000 na ndege umbali zaidi ya km 400...
Merry Christmas wakristo wote.
Ni furaha iliyoje kwa wa-ukraine kusherekea sikukuu ya krismas tofauti na utaratibu wa awali waliokuwa wanatumia kutoka kanisa la Orthodox huko Russia yaani tarehe 07/01 kila mwaka.
Many Ukrainian Orthodox Christians are celebrating Christmas on 25 December for...
Baada ya nchi za Malawi, Cameroon, Nigeria na Zambia kupinga waraka wa Papa Francis unaoelekeza kanisa katholiki kubariki ama kuwapa baraka watu wanaojihusishwa na mapenzi ya jinsia moja ama mashoga, sasa nchi za Ulaya Mashariki kama Ukraine na Poland wameupinga huo waraka.
Nchi hizo za Ulaya...
Jeshi la Ukraine linasema kuwa lilidungua ndege tatu za kivita za Urusi kusini mwa nchi hiyo siku ya Ijumaa.
Ndege tatu za kivita aina ya Su-34 zilidunguliwa katika eneo la Kherson, jeshi la wanahewa la Ukraine lilitangaza.
Rais Volodymr Zelensky aliwashukuru wanajeshi walioangusha ndege hizo...
Ukraine inahitaji vijana kama 450,000 hadi 500,000 toka nje ya nchi kwa ajili ya kupambana na Urusi.
Sasa huu mchongo ukitiki wana wenye connection tushituane wajameni.
======
Ukraine could begin recruiting refugees living in Europe in a bid to boost its battle-stricken armed forces.
Rustem...
Moja ya maeneo tata ya siasa za kimataifa ni kuwa nchi kubwa na zenye uwezo zaidi wa kijeshi zimeshindwa vita katika nchi ndogo katika miaka 50 iliyopita, kuanzia vita ya Vietnam mpaka ya hivi sasa ya Ukraine.
Hapa “kushindwa,” maana ni kushindwa kijeshi, kulazimishwa kuondoka (kama ilivyotokea...
Putin amekuwa na desturi ya kufanya mkutano wa mwisho wa mwaka wa Waandishi wa Habari, hata hivyo mwaka 2022 alishindwa kufanya mkutano huo kwakuwa vita ya Ukraine ilikuwa imemkalia vibaya.
Mwaka huu 2023, amerejesha tena utamaduni huo na ktk mkutano wake ameahidi kuendelea na vita hiyo ili...
Japo mashabiki wa Urusi mlikimbilia kwa Wapalestina ambao huwa mnalazimisha undugu nao ila mara moja moja huwa naendelea kuwakumbushia masaibu ya supapawa wenu Mrusi mliyemtegemea ila akawaangusha....
Hata hivyo na huko Gaza mlikokimbilia nawafuata tu, hamna kupumzika labda mbinguni kwa mabikira...
Habari wana jukwaa hili la kimataifa.Ni moja ya platform nzuri sana hapa JF.
Hii thread ipo katika mfumo wa swali, swali ambalo litazua mjadala ndani yake kila mmoja anaweza kueleza vile anavyoweza ili kulijibu hilo swali.
Mods naomba huu uzi usiunganishwe na nyuzi zingine kwa maana hazifanani...
Habari wakuu zangu,
Kuna msemo unasema "Jela hakuna mateso ila wanao leta mateso jela ni wajelajela wenyewe."
Hivyo hivyo duniani ni mahala salama, pana maji, vyakula ardhi nzuri, na vyote Mungu alitoa bure. Yaani ule bure, unywe bure, ujenge popote bure, uwinde bure, uvue samaki was baharini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.