Russia imeshambulia kwa Kombora la Iskender ghala lilokuwa linatumika kama maficho ya Wanamgambo Ukraine na Magaidi 40 wa NATO waliokua wakitoa mafunzo huko Kharkov..
🚨🇷🇺🇺🇦A successful Russian Iskander-M strike on a warehouse in Kharkov just killed 100 Ukrainian militants of which 40 were...
BREAKING NEWS
Putin amesema NATO inafanya makosa makubwa kushambulia ndani ya Russia, Jibu la Russia itakua na sehemu mbili kuanzisha Vita vya tatu vya Dunia na kuiangamiza NATO au kuwatwanga Nyuklia.
NATO is making big mistake to strike inside Russia, we will destroy NATO either by fighting...
Hizi nchi za NATO tangu vita imeanza wamekua wakitoa silaha na fedha kwaajili ya Ukraine kupambana na Russia 🇷🇺. Leo wametangaza kupeleka ndege vita za kisasa F 16 lakini tuelewe kuwa Ukraine anazo mig ambazo ni Su version ya mrusi na Russia amekua akizilipua na kupiga miundo mbinu ya Ukraine...
Okhmatdyt hospital iliyoko Kiev, ni moja ya hospitali kubwa Ulaya maalumu kwa ajili ya watoto wanaougua kansa.
Waliolengwa ni magaidi ya Ukraine waliokuwa wamejificha kwenye hospitali hiyo.
Ifike wakati Zelensky akubali kushindwa tu.
Before
After
Zelensky talks about Ukraine CAPITULATION! Says there are too many wounded and dead; doesn't therefore want war for years
JUNE 28, 2024
Volodymyr Zelensky, former President of Ukraine whose term of Office expired on May 21, went on TV yesterday and made clear Ukraine has too many wounded and...
Wanaukumbi.
🇰🇵 🇷🇺 Korea Kaskazini kutuma wanajeshi Ukraine kupigana pamoja na Urusi.
Mkataba wa ulinzi uliotiwa saini kati ya Urusi na Korea Kaskazini mnamo Juni 19, 2024, unajumuisha kifungu cha usaidizi wa kijeshi wa pande zote katika tukio la vita. Muda mfupi baada ya mkataba huo kutiwa...
Korea kusini ilianza kuahidi kutoa silaha na ushirikiano na Ukraine Juzi Rais Putin kaenda Korea Kaskazoni nakuahidi ushirikiano wa Kijeshi baina yao yaani Nchi moja ikishambuliwa nyingine inaingilia. Korea kusini ambayo ndio ilianza imetoa mlio wa uchungu na wivu na kulaani maafikiano hayo ya...
Hapo jana Benjamin Netanyahu,waziri mkuu wa Israel amemlalamikia raisi Biden wa Marekani kwamba amezuia shehena ya silaha tangu mwezi Mei na hiyo ndiyo sababu ya kudorora kuipiga Rafah ili kufikia malengo.
Kwenye video fupi ya malalamiko hayo Netanyahu amejipa moyo kwamba katika ziara ya karibu...
Kaka Serhiy na dada Tania walikatisha kufanya harusi yao ufukweni mwa bahari wakihofia hali mbaya ya hewa.Hata walipoingia kwenye ukumbi walikoalkwa wageni kushuhudia harusi yao bado waligundua hali isiyo rafiki kwa furaha yao.Viti zaidi ya nusu vilikuwa ni vitupu ikiwa na maana waliohudhuria ni...
"In the West, the prevailing narrative is that Russia initiated the war with its special military operation and is therefore the aggressor, so it is allowed to attack the Russian territory using Western weaponry.
It is argued that Ukraine is merely defending itself, and is justified in doing...
Leo ni siku ya tatu na ya mwisho ya mkutano wa mataifa yanayounda G7; ambao umewakilishwa na maraisi wa USA, U.K, France, Germany, Italy, Japan na Canada na mawaziri wa fedha kutoka nchi hizo.
Ajenda kuu ilikuwa China.
Maeneo ambayo yamejadiliwa kuhusu China:
1. CHINA INAHATARISHA VIWANDA NA...
Naam wakuu, wakati kile kifurushi Cha Dola billions 61 kutoka marekani kwa ajili ya msaada wa kijeshi kwa Ukraine bado hakijafikisha hata miezi 2.,mataifa Saba yenye nguvu ya kiuchumi duniani yaani G7,yamepitisha kifurushi kingine kwa ajili ya Ukraine, ikumbukwe kwamba kifurushi hiki...
Wapalestine watakwisha hivihivi tunajionea
Juzi kati walitaka kupata taifa la kuwasaidia, lakini mara tu ya kutaka kuanza mpango huo, nchi hiyo ikajikuta inapoteza Rais na waziri wa mambo ya nje kiutatautata tu na mambo yakaishia hapo
Ukraine inao NATO, vilevile Russia ina China, SA, Korea...
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini.
Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani (NATO) kama ikitokea vita kuu ya 3 (WWIII). Wametuchagulia upande kwenye vita baridi na moto kati ya...
Shambulio la ndege zisizo na rubani za Ukraine lilianzisha moto katika kiwanda cha kusafisha mafuta kusini mwa Urusi, na kulazimisha kusitisha operesheni, mamlaka ya kikanda ilisema mapema Alhamisi, na kuongeza kuwa hakukuwa na majeruhi.
Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema ndege 13 zisizo na...
Sasa mambo ni njenje,hakuna Siri Tena.
Mashoga wa Ukraine wapanga kufanya gwaride mwezi juni 2024 .
Serikali ya kiev yabariki Tena jambo hilo kama ilivyobariki miaka ya nyuma.
Amini usiamnini huenda kinachowapata Ukraine Sasa hivi ni adhabu toka kwa Mungu,si bure.
Gwaride ni sawa na...
Majigambo, kelele na fujo za kuzisifia Tank za Abrams katika Luninge, magazeti, radio na mitandao mbalimbali na kutuaminisha sisis wasomaji wa dunia nzima kuwa Ukraine inakwenda kushinda vita.
Ndugu zangu, Marekani na wenzake west wanakelele sana mara leopard na ..........na....
Kuna wengi...
Ukraine kwenye hili mumeenda mbali hata mimi shabiki wenu kindaki ndaki nimeingiwa na wasiwasi.
Kupiga radar inayotumika na Urusi kujilinda dhidi ya mashambulizi ya nyuklia mtakua mumevuka mpaka, hivi Urusi mbona imekua legelege kiasi hiki, hawa ndio walitegemeaa na waarabu siku zone...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.