ukraine

  1. Li ngunda ngali

    Ukiona BBC hawatoi tena habari za vita vya Urusi na Ukraine tambua Ukraine anachezea kichapo

    Juzi juzi hapa mara baada ya jeshi la Ukraine kuivamia Russia hakika habari motomoto za jeshi la Ukraine kusonga mbele zilikuwa zikiandikwa kwa mbwembwe na karibu vyombo vyote vya habari vya Ulaya. Lakini kwa ukimya huo lazima Ukraine atakuwa anachezea kichapo.
  2. HIMARS

    Tetesi: Beralus kuivamia Ukraine

    Habari za hivi punde kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Ukraine ni kuwa Belarus imepeleka jeshi kubwa mpakani na Ukraine kwa lengo la Kuivamia Ukraine kwa madai kiwa Ukraine inajiandaa kuivamia Belarus Poland imesema itaingilia kati kama Belarus ataivamia Ukraine Je huu ndo mwanzo wa WW3?
  3. Mrengwa wa kulia

    USA kupeleka kikosi Ukraine Kujifunza vita

    Mzuka umepanda. Sio mbaya kujifunza kwa aliye Fanikiwa. USA 🇺🇸 wamepeleka kikosi hiko ili kupata uzoefu wa kupambana na drone na Electorinical war fare. Zama za kupigana vita Ofisini zimesha wadia The U.S. Army has formed a new unit to learn from Ukraine's experience with drones and...
  4. Webabu

    Ujerumani yafuta ahadi ya kuisaidia Ukraine kutokana na mbinyo wa kiuchumi nyumbani.

    Jeuri ya serikali ya Ujerumani kutaka kuendelea kwa vita baina ya Ukraine na Urusi zimekufa baada ya nchi hiyo kuamua kusitisha misaada yote ya kijeshi iliyokuwa imeahidi kutokana na bajeti za kiuchumi nyumbani kukataa. Germany freezes Ukraine military aid as budget crisis hits at home
  5. I

    Ukraine yaharibu daraja muhimu ndani ya Russia.

    Ukraine imeharibu daraja muhimu kimkakati juu ya mto Seym, wakati inaendelea na uvamizi wake katika eneo la Kursk nchini Urusi. Maafisa wa Urusi wamenukuliwa wakisema operesheni hiyo karibu na mji wa Glushkovo imekata sehemu ya wilaya ya eneo hilo. Daraja hilo lilitumiwa na Kremlin kusambaza...
  6. M

    Tanzania Tuko Busy na vita ya ukraine, yanga, simba, kuwahoji viongozi faida ya madini, bandari, wala hatutaki tunawasifu na kuwachekea,

    Hawa Akina Lissu, na wenzake na wapinzani wengine wote tuwaunge mkono, Tusikubali wanyanyaswe, tupaze sauti ya haki Kwa watu wetu, Tubadilike tuwe kizazi cha kuhoji mara Kwa mara, tuhoji mapato yatokanayo na rasilimali zetu yanafanya nini miaka yote ya uhuru, Tuhoji mapato viwanja vya ndege...
  7. W

    Tetesi: Upo iwezekano kundi la waasi huko Urus kuungana na Jesho la Ukraine

    Habari ndiyo hiyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Putin ameshakalia kuti kavu. Yajayo yanafurahisha.
  8. Komeo Lachuma

    Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

    Hii hali inamsikitisha sana Putin. Ni suala ambalo he never expected kabisa. Hii vita ilipaswa kuwa operation ya siku 2 tatu ikizidi week. Sasa ni mwaka wa pili. Na hawa Ukraine wameanza kuingia ndani ya Russia. Wanasonga mbele. Nini tatizo? Putin kweli wa kusaidiwa na vinchi vidogo vidogo...
  9. Obugwa Izoba

    Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. Ukraine anaendelea kumuandama Urusi

    Ukraine imepeleka misaada kwa wananchi wa Russia waliotelekezwa. Hakika Rissia naye kaonja joto la jiwe. Kazi haijawa nyepesi kama alivyodhani. Kuna siku ataamua kubwaga manyanga tu. Putin hana uzoefu na vita ana ubabe wa kwenye media tu sasa vi Ukraine vinamshika sharubu Military aid...
  10. Yoda

    Napata harufu ya matumizi ya Nyuklia Ukraine baada ya Kursk kuanguka

    Wengi watakumbuka katika vita vya uvamizi vinavyoendelea huko Ukraine wakati vinaanza ilikuwa Ukraine akijibu mashambulizi kwa kushambulia eneo lolote ndani ya Russia au maeneo ya Ukraine yaliyotekwa na Urusi kama vile Crimea basi jeshi Urusi litajibu maradufu kwa kuvurumisha mvua ya makombora...
  11. C

    Ukraine ni watu na nusu, nguvu hiyo waitumie kiboresha uchumi wao pia

    Mimi sio muumini wa vita ya uvamizi,lakini nipende kukiri kuwa Syria iliishi kinyonge mno kuliko Ukraine inavyojipambanua katika vita hii kati ya Russia na Ukrain. Kila nikiwa katika kazi zangu za kila siku nikikumbuka vibaka wa kariakoo wanavyochomwa moto wa petroli na kusahau kuwa kumbe...
  12. G

    Urusi kuvamia na kuteka Ukraine sio habari ila Ukraine kuvamia kilomita 1,000 ndani Urusi na kuteka ni habari kubwa Sana ya kusisimua

    Tangu mwanzo wa vita wengi walitarajia Urusi kuvamia Ukraine na kuteka yote NDANI Ya muda mfupi Sana Na pengine kumfurusha Zelensky Kama sio kumuangamiza kabisa Lakini Cha ajabu huu ni mwaka wa pili Urusi inapambana na Ukraine Huu ni ushindi mkubwa kwa ukraine Lakini Cha ajabu Leo wamevamia...
  13. Yoda

    Moto wazuka katika kinu cha Nuclear cha Ukraine

    Ni mojawapo ya vinu vikubwa vya nyuklia Ulaya kilichokuwepo Ukraine kwa ajili ya kuzalisha umeme, kilichukuliwa na Urusi katika uvamizi wa Ukraine na sasa kipo chini ya himaya ya Urusi. Urusi ina historia mbaya zaidi ya ajali ya nuclear duniani iliyotokea Chernobyl mwaka 1986,
  14. I

    Urusi yahaha kukabiliana na uvamizi wa Ukraine

    Katika hali inayoonyesha kugeuziwa kibao, Russia sasa inahaha kupambana na uvamizi uliofanywa na majeshi ya Ukraine katika ardhi yake. Jeshi la Urusi limesema "linaendelea kurudisha nyuma" uvamizi wa Ukraine wa kuvuka mpaka katika eneo la Kursk magharibi - shambulio la kushtukiza sasa katika...
  15. M

    Ukraine yateka vitongoji vya Urusi kwenye jimbo la Kursk

    Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa ghafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi. Mapigano yanaendelea huku taarifa...
  16. Frank Wanjiru

    Ukraine yaenda Mali kupambana na Russia

    Jeshi la Ukraine lipo nchini Mali likijiunga na waasi wa Tuareg wanaopambana na jeshi la Mali pamoja na Russia wakisaidiwa na mercenaries wake. Hii imefichuka baada ya Serikali ya Mali kutangaza kuwa imevunja uhusiano wa kidiplomatic na Ukraine baada ya Ukraine kuwapatia taarifa za kijasusi...
  17. green rajab

    Putin: Tutamjaza Iran kama US inavyompa silaha Ukraine

    || RUSSIA 🇷🇺 || USA 🇺🇲 || 🔴President Putin to Joe Biden: "We will arm your enemies just like you arm the enemies of Russia.”•
  18. daraja la kigamboni

    Kabla ya vita vya Israel vs Palestina, Russia vs Ukraine hili jukwaa mijadala ilikuwa inahusu nini?

    Ukisoma nyuzi za humu unaweza kuogopa. Utajua world war 3 ipo karibu siku mbili nyingi, Palestina/Israel itakuwa umeangamizwa ndani siku tatu zijazo. Hivi Ukraine ime survive vipi hadi leo, je watu wanaendelea na maisha kama kawaida?
  19. Frank Wanjiru

    Ukraine yasema imeizamisha Submarine ya Urusi Crime

    Ukraine imethibitisha kuzamisha Submarine ya Russia itwayo The Rostov-on-Don ilyokuwa huko Crimean Peninsula, shambulio hilo pia limehusisha kuharibu mifumo 4 ya ulinzi ya S-400 iliyopo Cremea.
  20. Narumu kwetu

    Hatimae F16 zimetua Ukraine

    F-16 fighter jets land in Ukraine to bolster defence against Russia The F-16s have been on Ukraine’s wish list for a long time because of their destructive power and global availability. Four F-16 aircraft during the Radom 2023 International Airshow at the airport in Radom, Poland [File: Radek...
Back
Top Bottom