Hali tete, wazalendo wanakuja kwa kishindo, wanafumua kila kitu, Urusi waliteka mji na kupachika viongozi, hali imebadilika, ngome zote walizokua wamewekeza zinafumuliwa, walifukia mabomu kote ila yanalipuliwa yote, Ukraine wanakuja kama vichaa, wana mzuka wa balaa, wanasimika bendera zao kote...