Hiki ndio kinawasumbua kumbe na ndio kimesababisha Putin aamue tu bora jeshi lake liishe lote tu.
Hapa kiaina kuna kaukweli maana Urusi imepoteza hadhi yote mpaka hapo, na ikishindwa kabisa na kujiondokea Ukraine, basi haitokua Urusi tena, kwanza kabisa wamepoteza wateja wakubwa wa silaha...
Hii picha inaonyesha uharibifu wa drones ndani ya Moscow, kwa kifupi Warusi wanaishi kwa hofu ya kuangza macho angani muda wote, yaani mjini kati, tena mji mkuu....
Putin alisema Urusi ikiguswa ndani atafanya makuu hata kama itabidi kubonyeza manyuklia....
The damaged facade of an office...
Vita vya kisasa vimebadilika sana, yaani drone inatumika kuondoa mfumo wa gharama hadi inafikirisha sana.....
Waafrika haya mambo ya drones sijui tumejiandaaje.
Footage shared on social media Thursday shows Ukraine's military destroying a deadly Russian rocket system that is capable of...
Ukraine wanaendelea kupata ujasiri wa kutuma mizinga Urusi ndani ndani.....
An intense explosion has occurred in the city of Taganrog in the Russian Rostov Oblast on the afternoon of 28 July. The Ministry of Defence of the Russian Federation claims that a Ukrainian missile has been shot down...
Sio kawaida kwa huyu jamaa kukiri kipigo, ukiona mpaka anaisema ujue mle kwenye medani ni kichinjio cha wanajeshi wake...
Putin says Ukrainian attacks have intensified in recent days
Russian president Vladimir Putin said on Thursday that Ukrainian attacks had intensified in recent days...
Ifahamike Urusi walikua wamejichimbia kwa kila namna ikiwemo kutegeshea mabomu mengi sana ardhini, hivyo kupasua ngome mpaka kuwafukuzia na kukomboa maeneo kwa kweli ni shughuli, ila uzuri Ukraine wanapigania ardhi yao, hivyo wana kila sababu za kuendelea kushambulia, je Warusi wanafia nini...
Urusi ilishindwa kutumia fursa yake vizuri pale mwanzo mwanzo ilipoanza kuiparamia Kyiv, wakati huo bado ilikua inaoopwa na kuonwa kama supapawa, leo hii imejikuta inapambana kujitetea badala ya kushambulia, wanajeshi wanakufa na kufukuziwa huku wakirudi nyuma, Ukraine inazidi kujiboresha...
Hii ni picha ya kueleza utegemezi wa nchi za kiafrika kwa Ukraine na Urusi kwenye mahitaji ya Ngano.
Ukraine nchi yenye watu milioni 30 inalisha Afrika nzima bara lwnye watu Bilioni 1 na ushee.
Putin amekua akichora mistari na kusogesha magoli ya mikwara, juzi alisema Ukraine wakipewa cluster bombs hapo mstari utakua umevukwa na atafanya kitu, haya sasa wamepewa na zinatembeza kichapo ile mbaya, sijui atachora mstari upi mwingine.
US-supplied cluster munitions have been deployed in...
Twende tu hivi hivi.
China’s consulate building in Odesa has been damaged in a Russian missile and drone attack, a Ukrainian official said.
The damage appeared to be minor, regional governor Oleh Kiper said as he posted a photograph showing the building with broken windows.
Russia, which is...
Urusi juzi ilitangaza kupiga meli zinazoenda Ukraine, haya na Ukraine wamejibu, watapiga meli za mizigo zinazopita baharini kwenda Urusi.
KYIV, July 20 (Reuters) - Ukraine's Defence Ministry said on Thursday it would consider all ships travelling to Russian ports and Ukrainian ports on the...
Kamanda wa vikosi vya ardhini wa Ukraine Colonel General Olesksandr Syrskyi amekiri kupokea shehena ya mabomu haramu yanayoripuka kwa kuchawanyika na kwamba wataanza kuyatumia siku za hivi karibuni.
Wakati huo huo waandishi wa habari wameiona mizinga aina ya American M777 howitzers karibu na...
Hii daraja muhimu sana kwa Urusi, ndio limeunganisha Urusi na Crimea.....
Urusi iligharamikia sana kutengeneza na kurekebisha hili daraja, yaani kulipiga ni kama umepiga moyo wa Putin...
Kyiv’s navy and Ukraine’s security service (SBU) carried out a “special operation” using seaborne drones, an...
Raisi wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol ameondoka nchini Ukraine kurudi Seul baada ya kufanya ziara ya kustukiza akitokea Vilnius nchini Lithuania.
Raisi huyo wa Korea Kaskazini alikuwa alihudhuria kikao cha NATO kilichokutana kujadili masuala mbaimbali likiwemo suala lla misaada zaidi kwa Ukraine...
Malalamiko kuwa vita vya kukomboa majimbo ya Ukraine sasa yako wazi kutoka kila upande.Kutoka kwa raisi wa Ukraine,makamanda wake ,askari wa kawaida na hata kutoka nchi za NATO ambazo zilichangia silaha nyingi kufanikisha hatua hiyo.
Kama alivyotabiri generali mstaafu wa Marekani bado kuna...
Haya makombora ya "Storm Shadow" ni habari nyingine.
A high-ranking Russian general has been killed in Ukraine’s Zaporizhzhia in an airstrike carried out using British-supplied Storm Shadow missiles, according to multiple reports from both sides.
Lieutenant General Oleg Tsokov was among the...
Kitendo cha Viongozi wa NATO kudai Ukraine inapaswa kujiunga na Muungano wa Kijeshi wa Umoja huo siku zijazo bila kutaja muda, kimemfanya Rais Volodymyr Zelenskyy kukosoa mchakato huo dhidi ya Taifa lake.
Tamko hilo la NATO limetolewa wakati wa kikao cha siku mbili cha viongozi hao wakidai hadi...
Ili Ukraine ijiunge na NATO inabidi vita kati yake na Urusi ikome. Na kwa Tafisiri ya UKraine ambayo NATO wataitumia kuamua kama vita imekoma ni kuona Crimea na majimbo mawili ya DONBASS yamerejea kwenye himaya ya Ukraine!! Kwa kuwa hili halitatokea milele, kwa hiyo Ukraine haitajiunga na NATO...
Ukraine 'inastahili' uanachama wa NATO, Erdogan wa Uturuki anasema Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan pia alitoa wito wa kurejeshwa kwa mazungumzo ya amani akisema, 'amani ya haki haileti hasara.
Uturuki inaunga mkono matakwa ya uanachama wa NATO wa Ukraine, Rais wa Uturuki Recep Tayyip...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.