ukraine

  1. M

    KAMIKAZE DRONES za Urusi ni mwiba mkali kwa Ukraine: Ni za bei rahisi lakini zinaangamiza mamilion, ukitaka kuidungua utumie missile ya mamilioni!!

    Majeshi ya Ukraine yanashindwa yaamueje kushughulika na kamikazer drones za Urusi. Ni drones za gharama chee (dola 20,000 za marekani kwa kila moja). Ina uwezo wa kuangamiza vifaru, magari ya kivita, na vifaa vingine vya kijeshi, kubomoa majumba makubwa nk. Ukkraine wanaweza kuzidungua lakini...
  2. Jackal

    Vikosi Vya Anga Vya Ukraine Vimeweza Kudungua Makombora Zaidi Ya 100 Ya Cruise/Hypersonic Ya Urusi

    https://gagadget.com/en/war/271396-ballistic-iskanders-hypersonic-kinzhals-and-strategic-kh-101-kh-555-ukrainian-air-force-destroys-157-missiles-in-a-mo/
  3. Webabu

    Kamanda mkuu wa Ukraine akasirishwa na ahadi hewa za NATO huku askari wake wakiangamia

    Kamanda mkuu wa majeshi ya Ukraine generali Valery Zaluzhny amesema nchi yake ina makubaliano maalum na Pentagon na kwamba wana mawasiliano ya masaa 24 juu ya namna vita vinavyoendelea,hata hivyo amekasirishwa sana na ahadi hewa za Marekani na washirika wa NATO. kilichomkera zaidi na kutoa...
  4. I

    Wakimbizi wa Ukraine wapo kambi gani hapa nchini?

    Leo hii wakati Ofisa mwandamizi wa serikali akipokea msaada wa chakula kutoka WFP, amesema Tanzania imepokea wakimbizi kutoka Ukraine. Naomba kufahamishwa wamewekwa katika kambi gani na kama kuna kambi mpya imeanzishwa ipo mkoa gani. Na je huduma wanayopewa wakimbizi hawa ni sawa na ile...
  5. MWANDAMBO

    Msingi wa kuliunga Mkono Taifa la Ukraine 🇺🇦 dhidi ya Urusi (Russia).

    1. Kuruhusu Taifa la Urusi (Russia) kushinda vita dhidi ya Taifa la Ukraine, ni kuweka msingi mpya wa mwelekeo hatari kwa usalama na utawi wa dunia (World order) kwamba, ni halali kwa Taifa moja lenye nguvu kulivamia Taifa Huru (sovereign) Jingine na kuuwa watu na maisha yakaendelea! Uwezekano...
  6. Webabu

    Marekani yaongeza vifaru vya Bradley Ukraine baada vya mwanzo kupigwa vibaya.

    Baada ya idadi kubwa ya vifaru vya Ukraine kuripuliwa miongoni mwao vikiwemo idadi kubwa ya Bradley kutoka Marekani sasa riaisi Biden ameamua kumuongezea Zelensky vifaru vingine katika vita vya kutaka kurudisha maeneo yaliyomegwa na Urusi.
  7. Zacht

    Baadhi ya Brigades za Ukraine hazijulikani zilipo

    Ukraine na washirika wake(west) walitumia miezi kadhaa kutoa mafunzo na siraha kwa kuandaa brigeds tisa mpya pamoja na brigedi za ziada ambazo zingefanya kazi kama reserve Mahususi kwa ajili ya kufanya counteroffensive ili kuyarudisha nyuma majeshi ya Russia Lakini hadi sasa kwa mujibu wa...
  8. Jackal

    Makombora Ya Ulinzi Wa Anga Yanayorushwa kwa Mabega ya Ukraine "Manpads" Yaipuki Mifumo Ya Urusi"S-300/S-400" Kwenye Uwanja Wa Vita!

    Makombora Ya Ulinzi Wa Anga Yanayorushwa kwa Mabega ya Ukraine "Manpads" Yaipuki Mifumo Ya Urusi"S-300/S-400" Kwenye Uwanja Wa Vita.Yadungua ndege , helicopters na makombora mengi zaidi. https://eurasiantimes.com/new-ukraines-cheap-missile-outperforms-worlds-best-s-400/?amp
  9. Kaselele

    Weledi wa vita vya Urusi na Ukraine naomba mnieleweshe

    Ninavojuwa kabla ya kundi la Wegner kuanzisha uasi walikuwa ndio wahusika wakuu wa vita katika jimbo la Bakhmut na ndio ambao walikuwa wanalishikilia jimbo hilo. Sasa najiuliza: je, waliamua kuondoka kwenye jimbo hilo na kuliacha kwa wenyewe Ukraine? Au ni mchezo wa kuigiza tu ambao ulikuwa na...
  10. MK254

    Ukraine wafaulu kukomboa eneo lililokaliwa na Urusi tangu 2014 - counteroffensive update

    Huku Putin akijambishwa na kakundi kake ka Wagner ambako kalimzingua hadi ikabidi kabembelezwe, Ukraine wanaendeleza kicha cha kurejesha ardhi yao, hili eneo lilikaliwa tangu 2014, liko mikononi mwa Ukraine sasa. Ukraine has liberated an area that had been occupied since 2014 as the country...
  11. Zacht

    Video: Wanajeshi wa Ukraine waliopo Frontline wakutana na mashambulizi mkali

  12. Webabu

    Kuzimwa uasi wa Wagner ndio kushindwa kwa Ukraine

    Ule msafara wa waasi wa Wagner kuelekea Moscow kweli ulitisha japoj wengi wetu tunaofuatilia vyema vita hivi tulijuwa hautofika mwisho wa safari.Namna ambavyo ungezimwa ndio tulitofautiana,ni kwa kupigana au kwa njia ipi. Ukraine na NATO walishangilia sana na kuanza kuongeza petroli kwenye...
  13. R

    Putin katika hatari ya kupoteza utawala wake wa mabavu. Masaa 24 yajayo ni muhimu sana

    Rais wa Urusi anakabiliwa na tishio kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa utawala wake katika miaka 23 yote aliyokuwa akiongoza taifa lenye nguvu ya nyuklia. Ni jambo la kushangaza kuona jinsi alivyoweza kuendeleza udhibiti kamili kwa muda wote huo; sehemu muhimu ya kuonesha utawala wake wa kiimla...
  14. M

    Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

    Wapiganaji wa Wagner waelekea Moscow kuuondoa utawala wa kijeshi unaoongozwa na SERGEI SHOIGRU. Kiongozi wa Wagner anadai kwamba majeshi ya urusi yamekuwa yakishambulia kambi zao nchini UKRAINE. Huu Uzi nitatoa update ya kila kinachoendelea. ===== Update: Maafisa wa Ukraine wasema watatumia...
  15. K

    Hongera Putin kwa kujiondoa Ukraine

    Kwa wale wazoefu wa hizi mambo kama kina Mshana Jr watakuwa wamenielewa
  16. kavulata

    Vita ya Ukraine imetuonyesha kuwa hata Wazungu ni wajinga sana

    Kimsingi waafrika walikuwa wanawaona Wazungu kama watu wenye akili nyingi ma matajiri sana kuliko wao, lakini vita ya Ukraine imekanusha ujinga huu wa fikra hizi za inferiority/udhaifu dhidi ya Wazungu. Mpango wa Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya ulipangwa na Marekani kupitia Uingereza...
  17. MK254

    Ukraine wapiga daraja la Crimea kwa mzinga wa Storm Shadow

    Juzi Urusi waliomba Crimea isipigwe kwa "storm shadow", Ukraine leo wamepiga daraja kwa mzinga huo huo............... AUkrainian missile strike hit the bridge connecting Russian-held parts of the southern Kherson region with the annexed Crimea peninsula, officials said on Thursday. The attack...
  18. L

    Ziara ya ujumbe wa viongozi wa Afrika nchini Ukraine na Urusi yaonesha kuwa na Mafanikio

    Ujumbe wa nchi za Afrika ulioongozwa na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ulifanya ziara nchini Ukraine na Russia, na kukutana na viongozi wa pande hizo mbili ukitafuta njia za kutatua mgogoro huo ambao umekuwa na madhara kwa nchi mbalimbali za Afrika. Ujumbe huo ni moja ya juhudi za jumuiya...
  19. Stephano Mgendanyi

    Serikali Iwaangalie Watoto Waliositisha Masomo kwa Sababu ya Vita Ukraine

    MBUNGE JANEJELLY NTATE - SERIKALI IWAANGALIE WATOTO WALIOSITISHA MASOMO KWA SABABU YA VITA UKRAINE 🇺🇦 "Waziri wa Fedha umekubali kupunguza mipaka ya Utawala wako, kukubali Idara ya Mipango irudi kuwa tume ya Mipango. Rasilimali watu iliyopo pale walikuwa hawatumiki ipasavyo sasa hawa Wataalam...
  20. A

    Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Sudan wahamishiwa vyuo vikuu vya Tanzania. Hongera kwa Serikali ya Tanzania

    Hongera kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hasa Rais wetu mpendwa kwa kupokea Wanafunzi wa Udaktari toka nchini Sudan. Ikumbukwe nchi ya Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyenye. Mungu akawape utulivu, wepesi na waendelee vema na masomo yao katika Chuo cha Kikuu cha tiba...
Back
Top Bottom