ukraine

  1. MK254

    Ukraine wafaulu kukomboa eneo la Piatykhatky - mapambano balaa

    Supapawa aendela kushindwa kuzuia mawimbi na mapigo ya wanajeshi wa Ukraine, aachia eneo la Piatykhatky..... Ukraine has captured the village of Piatykhatky on the western edge of the Zaporizhzhia front, according to a Russia-appointed official and sources, the first village recaptured by...
  2. 5523

    Ukraine yafanikiwa kurejesha maeneo muhimu tokea April 2022 Urusi wayanyakue

    Ni mafanikio makubwa miamba hii ya Ukrain ambayo kabla Urusi walipovamiwa Jeshi la Ukraine lilipewa masaa kusarenda waweke silaha chini.,
  3. Mnada wa Mhunze

    Poland imewazuia walinzi wa Ramaphosa kwenda Ukraine

    Mzozo wa kidiplomasia umeibuka baina ya nchi ya Poland na Afrika Kusini kwa kile kinachodaiwa ubaguzi wa rangi na mkuu wa kitengo cha ulinzi wa Rais Ramaphosa. Kundi la walinzi zaidi ya 100 wa Rais Ramaphosa wakiwa kwenye ndege ya shirika la SAA wamezuliwa isivyotarajiwa na Mamlaka za Poland...
  4. MK254

    Ukraine waanza kutengeneza silaha za masafa marefu

    Mrusi kalianzisha, mwenzake anamaliza... ========== Ukraine is investing in a project to develop its own long-range missile. Oleksii Reznikov, Minister of Defense of Ukraine, stated about it. He explained that Ukraine has good prospects for the production of its own long-range missiles with...
  5. MK254

    Putin abadili gia, asema atakubali yaishe kama Magahribi wataacha kuwapa Ukraine silaha

    Mwanzo alisema atamshughulkia atakayeisadia Ukraine kwa silaha, sasa hali imekua hovyo abadili gia na kusema atakubali yaishe kama Magharibi wataacha kuwapa Ukraine silaha zinazomchakaza....
  6. M

    Meja Jenerali wa Kirusi auawa huko Ukraine

    Meja General wa Kirusi kauawa huko Zaporizhzhia baada ya sehemu alipokuwa kupigwa Mzinga. =========== Russian media reported on Monday that a Ukrainian missile strike on the southern Zaporizhzhia front killed an experienced Russian general. “As a result of an enemy missile attack, the Chief...
  7. MK254

    Ukraine wakomboa eneo la nne sasa, twende kazi counter-offensive updates

    Ni mambo mpwito mpwito kwa kwenda mbele.... Ukraine claims to have retaken another southeastern village from Russian forces as its counteroffensive gains momentum. Soldiers held up the Ukrainian flag in Storozheve in the Donetsk region in unverified video footage posted online and the defence...
  8. 5

    Matokeo ya counteroffensive Ukraine yarejesha Kijiji Mashariki Donetsk

    Aljazeera 11 Jun 2023 Ukraine has said its troops recaptured three villages from Russian forces in its southeast, the first liberated settlements it reported since launching a counteroffensive. Soldiers hoisted the Ukrainian flag at a bombed-out building in an unverified video published on...
  9. S

    Video iliyochukuliwa na Camera ya Bradley fighting vehicle la Ukraine yaonesha namna msafara wa vifaru vya Leopard ulishambuliwa na Urusi

    Video iliyorikodiwa na camera ya mojawapo ya magarivita ya Marekani (Bradley fighting vehicles, yaliyoshambuliwa na Urusi) imeonesha namna msafara wa vifaru vya Ujerumani (Leopard tanks) na magarivitaya hayo ya Marekani (Bradley fighting vehicles) vilivyopigwa 'mtungo' na majeshi ya Urusi kisha...
  10. MK254

    Ukraine wakomboa eneno la kwanza, kazi iendelee, counter-offensive update

    Vijana wazalendo wanaendelea kurejesha ardhi ya mababu zao, vilianzia Crimea vitaishia Crimea... 3:57pm: Ukraine announces retaking village in southeast Kyiv announced on Sunday that Ukrainian forces have retaken a village in the war-torn country's south, the first reported gain of its...
  11. Jacob kalokola

    Nina mashaka na Rais wa Ukraine ni mamluki upande wa Urusi

    Nina mashaka sana na huyu rais wa Ukraine kuwa anaweza kuwa anatumika na Urusi hili kuidhoofisha ulaya kiuchumi na teknologia ya silaha zao. Mfano Himars zimeundwa 2012, uwezo wa Patriots, uwezo wa Leopard tanks n.k. Matangazo ktk media za west zikisifia dhana hizi za kivita, lakini uharisia...
  12. MK254

    Ukraine wafaulu kupasua na kufumua ngome ya kwanza ya Urusi

    Hayawi hayawi huwa, wazalendo wapasua ngome ya kwanza, Warusi washindwa kuhimili mapigo....twende kazi ========= Ukraine has broken through Russia’s first line of defence in several places, 48 hours after launching its long-awaited counter-offensive, the Ministry of Defence has said...
  13. Mathanzua

    Robert Francis Kennedy Jr reveals terrible truth about Ukraine that the Pentagon concealed from Americans

    RFK Jr.,the person who America needs for President reveals terrible truth about Ukraine that the Pentagon concealed from Americans June 9, 2023 “What we’re doing in Ukraine now is just a massive assault on Ukrainians. We have trapped Ukraine in a proxy war against [Russia] and they are being...
  14. MK254

    Ukraine waendelea kushambulia Urusi ndani kwa drones

    Warusi wanaendelea kukosa amani ndani kwao... Three people were lightly wounded after a drone crashed into a residential building in southwestern Russia near Ukraine, a regional governor said, exposing the latest vulnerabilities in the country's air defense systems as President Vladimir Putin's...
  15. Jackal

    Baada ya UN kushindwa kuchukua hatua dhidi ya Urusi hivi ndivyo mambo yalivyo huko Kyv, Ukraine

    USELESS: Kyiv residents left a message for the UN by tagging the organisation's vehicles that have been parked in the centre of Kyiv.
  16. Mathanzua

    Organ Harvesting and Trafficking in Ukraine: A Call for International Action

    Organ Harvesting and Trafficking in Ukraine: A Call for International Action June 7, 2023 Russian Foreign Ministry Spokeswoman Maria Zakharova has raised concerns about the alarming prevalence of organ harvesting in Ukraine’s combat zones. She has called for immediate international attention...
  17. Richard

    Ushauri kwa serikali: Iandae mikakati ya kudhibiti soko la silaha na uingizaji silaha baada ya mgogoro wa Ukraine

    Mgogoro wa Russia na Ukraine umepita mwaka mmoja sasa na huenda usiishe hivi karibuni. Nchini Ukraine hivi sasa wapo watu ambao wafanya kitu chaitwa mavuno yaani kuokota silaha kwa ajili ya kuzifanyia matengenezo, kuzisafisha kwa ajli ya kuziuza baadae. Mara nyingi silaha hizi kupitia wauzaji...
  18. M

    Urusi iligoma kutishiwa nyau na Ukraine ikaamua kumshambulia

    Iko hivi, ili kumwogopesha urusi asiendelee kutumia makombora yake ya hypersonic missiles kushambulia sehemu nyeti za ukraine, wakaamua kuzua uongo kuwa Patriot air defense imedungua makombora sita ya "hypersonic missiles) ya urusi. Lengo ni kumtisha urusi asiendelee kuyatumia. Urusi ikaamua...
  19. MK254

    Mkuu wa Wagner asema Urusi iache propaganda za kusema imeua maelfu ya wanajeshi wa Ukraine

    Huyu mzee hehehe eti ndiye tegemezi la Warusi na anavyofyatuka.... asema hizo ni ndoto za mchana Russia's claims that its military had inflicted massive casualties on advancing Ukrainian troops are "wild fantasies", the boss of Russian mercenary group Wagner said Tuesday. Moscow's defence...
  20. MK254

    Kiongozi wa Wagner apatwa na hasira baada ya Ukraine kuendelea kurejesha ardhi ya Bakhmut

    Ikumbukwe Warusi walikufa zaidi ya 60,000 huku wengi wakiwa wapiganaji wa Wagner kipindi walikua wanajaribu kuteka mji wa Bakhmut, kiongozi huyu alijitangazia ushindi na kuondoka na kuacha wanajeshi wa Urusi wakijipambania, sasa amehamaki sana baada ya taarifa kumfikia kwamba maeneo mengi...
Back
Top Bottom