Sera hii inaeleza namna ambavyo serikari ya chadema itarudisha madaraka Kwa wanainchi, Kwa kuunda mfumo wa majimbo.
Lakini nimepitia ilani ya CCM ya uchaguzi 2020(kuzipa nguvu serikari za mitaa) Kwa kuteua wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi, na watendaji.
Vyama vyote viwili vinashabiiana...