Tumia fursa hii kueleza lililoko moyoni mwako, iwe ni kwenye wigo wa siasa, michezo, dini, mapenzi na lolote lile. Nafasi ni yako.
Usimkashifu rais ni hatari kwa uhuru wako kitaa. Ukitaka kupendwa nyumbani, usikosoe, sifia kila kitu, hata ukiona buibui kachafua nyumba kwa utandu wake, weee...