Tusidanganyane, Hakuna mchezaji mzuri sana ambae hakuonwa na timu kubwa za Ulaya, Afrika Kaskazini au Afrika Kusini. Ukiona mchezaji anakubali kuja kucheza kwenye ligi yenye viwanja vibovu kama Mkwakwani, Mabatini, Manungu, Kambarage au Lake Tanganyika ujue kuwa huyo ni mchezaji wa kawaida sana...