Bei za vyakula zikipanda kama nyakati hizi maskini ndio wanaoteseka zaidi,inabidi wabadili ratiba za milo na kiasi . Ugali ukibaki hautupwi, unaliwa asubuhi na chai.
Maskini ndio wanaoteseka na huduma mbovu za Afya, wanasongamana hospitali, wanachelewa kupata huduma au wanaweza wasipate huduma...