Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ametoa wito wa utulivu nchini humo kufuatia kushambuliwa kwa helikopta ya Umoja wa Mataifa siku ya Ijumaa.
Kulingana na jeshi la Umoja wa Mataifa la kulinda amani Sudan Kusini (UNMISS) watu kadhaa wanahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa baada ya helikopta ya Umoja...
Katika hali ya kushangaza, Marekani iliungana na Urusi wakati wa upigaji kura katika baraza kuu la umoja wa mataifa kuhusu maazimio ya kuleta amani nchini Ukraine.
Katika kura hizo zilizopigwa mnamo tarehe 24 Februari 2025, kwanza Marekani , Urusi pamoja na nchi nyingine kama Korea Kaskazini...
Baada ya Viongozi wa Africa kufanya vikao vyao vya kunywa kahawa Dar es Salaam na Zimbabwe huku wakipiga picha kwa mbwembwe bila kuupatia suluhisho la kudumu Mgogoro wa Congo naona wazungu wameamua kuwaonesha Waafrika kwa nini wanawaitaga Nyani.
Baada ya jana Wizara ya Fedha ya Marekani...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inawasilisha muswada kwa baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa kutaka uchunguzi ufanywe katika kile inachokiita ni ukiukaji mkubwa wa haki katika mji wa Goma.
Balozi wa Congo katika baraza hilo Paul Empole Losoko Efambe aliwaambia waandishi habari...
Rais wa Marekani, Donald Trump, Jumanne alitia saini amri ya kujiondoa kwa Washington kutoka mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo Baraza lake la Haki za Binadamu (UNHRC), huku akianzisha mapitio mapana ya ufadhili wa Marekani kwa taasisi hiyo ya kimataifa
Amri hiyo ilitangaza...
Kiongozi wa Umoja wa Mataifa Jean Pierre Lacroix, kitengo cha mambo ya usalama, ametangazia kamati ya Umoja huo kwamba kundi la M23 linaukaribia mji wa Bukavu, ambao ni makao makuu ya jimbo la Kivu kusini.
Mji huu hauna ulinzi na upinzani mkali kama ilivyokuwa kwa Goma. M23 ilikuwa umbali wa...
▪️Ampongeza Rais Samia kwa kwa maono ya kukuza sekta ya Madini
▪️Avutiwa na aonesha utayari wa kusaidia VISION 2030
Naibu katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN)
Mhe Amina Mohamed ameipongeza serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mkakati wa kufanya...
Napenda Kuuliza Tumezoea kuona Taasisi kubwa Duniani zikiwa na uongozi kamili kuanzia Ngazi ya juu hadi ngazi ya Mwisho leo napenda kuuliza je Ni nani Mwenyekiti wa Umoja wa Mataifa
Maana Tumekuwa tukisikia cheo kimoja cha katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ?
WAZIRI KOMBO APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thatib Kombo amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bi. Susan Namondo katika Ofisi Ndogo...
Kwenye charter ya umoja wa mataifa maarfu kama UN Charter Ibara ya 27 (3) imeweka wazi kwamba maamuzi ya Baraza Kuu la Usalama yatapitishwa kwa Kura ya Pamoja kutoka kwa wanachama wa kudumu wa Baraza Hilo ambao ni USA, Russia, China, UK na Ufaransa. Ukisoma kifungu hicho vizuri, linataka maamuzi...
Msafara wa magari 109 ya Shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi, ulivamiwa, madereva walitishiwa bunduki washuke, misaada yote imeibiwa, magari 97 hayaonekani.
Baadhi ya magari yalibeba ngano iliyotakiwa kupelekwa kwenye viwanda vya ngano vya umoja wa matafa Gaza, viwanda hivi...
Matukio ya hivi karibuni huko Gaza na Lebanon ambayo yameonwa na wadau wengi kuwa ni ukiukwaji mkubwa wa Israel wa haki za binadamu na kuvunja kanuni za Umoja wa Mataifa, yamefanya baadhi ya nchi kuanza mkakati wa kuandaa pendekezo la kuwaondolea Israel uanachama wa Umoja wa Mataifa.
Nini...
Iran imepelekea ombi mbele ya Baraza la Usalama la umoja wa mataifa likitaka kulijadili Israel kutokana na mashambulizi yake ndani ya eneo la Iran. Ombi Hilo limeungwa mkono na Urusi, China na Algeria.
Iran inadai Israel imetenda kosa Chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 1945...
Siku ya Umoja wa Mataifa huadhimishwa Oktoba 24 kila mwaka ikiwa ni lengo la kukuza Amani, Usalama, Ushirikiano kati ya Nchi na Nchi na Maendeleo ya Haki za Binadamu duniani kote.
Hati rasmi ya siku hii ilitiwa saini mwaka 1945 lakini siku hii ilianza kuadhimishwa mwaka 1948 na baadaye, mwaka...
Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo.
Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana.
Tafadhali naomba wale wazee wa miaka...
Wadau hamjamboni nyote?
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau ameicharikia UN na kuitaka iondoe mara moja majeshi yake Lebanon akiashiria yamekuwa kikwazo kwenye operesheni za kijeshi dhidi ya magaidi hao.
Netanyahu amemueleza Antonio Guterres Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa katika ujumbe wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Israel imempiga marufuku personal non grata Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa Antonio guterres kwa kushindwa kulaani shambulizi la makombora ya masafa marefu ya Iran dhidi ya Israel.
Israel pia inamtuhumu kuwa na sera zenye uelekeo wa kutetea na kuunga...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres analaani Hamas kwa kutoruhusu Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu kuwatembelea mateka huko Gaza.
"Ningependa kulaani ukweli kwamba Shirika la Msalaba Mwekundu haliruhusiwi hata kuwatembelea mateka hao," Guterres anasema, katika hotuba yake...
Wadau hamjamboni nyote?
Huku dalili zikiwa dhahiri kuwa muda wowote IDF wataanzisha operesheni ya ardhini Kusini mwa Lebanon Waziri Mkuu wa nchi hiyo amesema kuwa sasa wapo tayari kupeleka Jeshi kulinda amani kwenye mpaka wake uliopo Kusini badala ya Jeshi la Hezbollah
Taarifa kamili hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.