Anachokisahau tu ni kwamba Rais aliyemaliza muda wake ni Mafia hasa na karibia 95% ya System ya Kenya Iko Himayani Kwake.
Rais Ruto aangalie sana yasiye Kujitokeza yale ya tarehe 17 Machi, 2021 kwa Majirani zake.
Anaanza kunipa Wasiwasi mkubwa.
Mwanasiasa wa Kenya Mutahi Ngugi amemshambulia vikali Kikwete kwa unafiki, amedai Kikwete anaenda Kenya kila mara kuwahubiria kuhusu demokrasia huku nchi yake ikiongozwa na katiba ya kidikteta.
Kinachosikitisha ni kwamba kila anayepanda jukwaa kuelezea kinachoitwa umaskini wa Mkoa wa Kagera anakuja na ngonjera za wingi wa maprofesa na ma-PhD holders kutoka mkoani mwetu. Lawama zote zinarundikwa kwa watu hao na Wanakagera kwa jumla.
Huo ndio ukasuku na unafiki wa watawala wetu ambao...
Kama haumpendi mtu kwa nini kujibaraguza kuhudhuria mazishi yake kama akifariki tena wengine mpaka wanatoa hotuba kwenye mazishi lakini you don’t mean it, Rais wa Urusi Putin ameonyesha njia baada ya kifo cha Rais wa mwisho wa USSR kwenye mazishi yake Gorbachev haendi, Putin siyo fun wa...
Hili jambo la Maofisini kuwa tabia za ajabu ajabu zinanikera sana, kuna ofisi yaani kufanya kazi inakuwa ni ngumu na changamoto kwa sababu ya chuki na fitina za hapa na pale.
Na kitu kibaya utashangaa hata boss anaekuzidi mshahara na cheo anakujengea chuki kubwa dhidi yako.
Huku Maofisini...
Tulidumu karibu miaka 10, nia yangu ilikiwa ni kumuoa ila baada ya kukamilisha mipango niliyojiwekea, ilipobaki miezi michache tuoane akanikalisha chini akaniambia kuwa hawezi kuendelea kuwa na mimi.
Ikabidi niheshimu mawazo yake japo roho iliniuma mpaka kufikia hatua nikawa napata maumivu...
Peace be with you all,
Weekend ya majuzi nilikua kiwanja flani ndani ya kitovu cha mji wa utalii Tanzania, nikiwa peke yangu katika kujipumzisha mwisho wa week. Ndani ya lounge ya hotel hii kilitokea kihoja kilichowastaajabisha wengi pale hotelini ila mimi sikushangaa maana nawajua wanamake na...
TUCTA ! TUCTA! TUCTA!
Shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini Tanzania nimewaita mara tatu! Hivi kwanini ninyi ni wanafiki kiasi hiki? Kwanini yaani!
Wanabodi,
Kama mtakumbuka mara ya mwisho mishahara kupandishwa angalau kwa kiasi kikubwa ni wakati wa JK Kikwete! Mara baada ya Raisi...
Nachukia sana Unafiki na Upuuzi. Yaani Mtu huyo Saa 2 Asubuhi unaona Picha yake akiwa amejiachia kabisa bila Barakoa lakini ukija Kuiangalia tena Picha yake ya Saa 7 mchana unamkuta kavaa Barakoa tena inayotaka hata Kufunika Kichwa chake chote.
Nawaulizeni nyie Viongozi Wanafiki hivi COVID-19...
Nimesoma mahali kwamba sijui hiyo inayoitwa gesi ya Rostamu kuzuiwa kuwekeza nchini Kenya, kwangu mimi huu ni usanii na naweza hata kwenda mbali kusema kwamba labda ni Uongo mkubwa na kuna vitu hawasemi.
Raisi Samia na raisi wa Kenya wanaelewana sana na hata walikuwa pamoja juzi kati Arusha na...
Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) umekuwa na tabia za Kipuuzi na Kishamba mno hasa za kupenda Kujitokeza kutolea Ufafanuzi wa Hukumu na Sheria za TFF na Kamati za Maadili hasa pale ikiwa inaihusu Klabu ya Yanga.
Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) kama kweli una...
Nawakumbusha tu zoezi hili lilikuwa ni ajira za muda mfupi ila madudu yaliyofanyika katika kuwaondoa wasimizi wa maudhui limekuwa jambo la kawaida pamoja na vijana kupaza sauti si kiongozi wa chama tawala Wala upinzani ambaye ametoka na kuliongelea hili suala as if hakuna ujinga ukiofanyika mtu...
Rais wa TFF Wallace Karia hata kama Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara aliomba 'audince' nawe ili Kukuomba Msamaha akisindikizwa na Injinia Hersi Said ulichotakiwa kufanya ni Kumkwepa 'Kidiplomasia' ila siyo kukubali Kukutana nae.
Kitendo cha Haji Manara Kukaririwa tena akijigamba kabisa kuwa...
"Napendekeza yeyote aliyeko kwenye nafasi ya kuteuliwa, akitolewa lakini akabaki kwenye utumishi wa umma, arejee pia kwenye mshahara aliokuwa analipwa kabla ya kuteuliwa, hii itawapunguzia mzigo watanzania".Waziri Nchemba.
Chanzo: ITV Tanzania
Yaani kuna muda huwa hata navidharau na hivi Vyuo...
Na kuna ncbi moja Afrika Mashariki huwa inajifanya ina 'Kiherehere' sana cha kupeleka Askari wake Congo DR na pia huwa 'Kisirisiri' inawasaidoa 'Waasi' wa 'Kihutu' kutoka nchini Burundi 'Kutesa' na 'Kuua' Wanyarwanda ( hasa Watutsi ) naionya wasithubutu kupeleka Askari wao huko kwani 'Watakufa'...
Wiki hii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee aliamua kutoa yake ya moyoni kuhusu marafiki zake kutomuunga mkono katika biashara zake.
JayDee alisema kuwa kuna baadhi ya watu ambao hawaungi mkoni biashara yake ya chakula, lakini wakishapiga ‘vyombo’ usiku wanaanza kumpigia simu mbele...
Ajabu sana aisee makanjanja na utopwinyo kumzodoa Clatous chama kwamba alikosea kuondoka Berkane kisa wameshinda confederation cup huku wakisahau jamaa jina lake lipo miongoni mwa watakaopokea medali maana mechi za shirikisho alicheza kwenye team hiyo
Makanjanja na utopwinyo yanamsifu Razak...
Kassim Hanga alikuwa shujaa mwanamapinduzi na alikuwa mmoja wa waasisi wa Smz.
Ikumbukwe kuwa bila ya SMZ kuungana na Tanganyika leo kusingukuwa na JMT.
Kwa nini alipozikwa Kassim Hanga hapajulikani mpaka leo hii ili iwe kumbukumbu kwa taifa letu?
Kwema Wakuu!
Taikon nikifa msinionee haya, nisemeni Kwa mazuri niliyofanya, alafu nitukaneni na nipeni vidonge vyangu Kwa mabaya niliyoyatenda.
Taikon Hapendi watu wanafiki wanafiki! Wachungaji na masheikhe endapo mtapewa jukumu la kutoa ibada ya mazishi yangu, ikiwa mnajua mazuri yangu...
1. Gazeti lake la Jamvi la Habari linalomilikiwa na ACT/Zitto limetoa story mara 3 kwa msisitizo kuonesha ama Nssf hakuna ufisadi na kama upo basi Dr Dau hausiki.
2.Kwa miaka yote Zitto akiwa Mwenyekiti PAC hakuwahi kusema ufisadi wowote Nssf wakati ni kichaka cha wizi kama ilivokuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.