Habari!
Kuna matukio lukuki ambayo yanaweza kutumika kama mifano ya unafiki wa baadhi ya Waislamu katika kipindi cha Ramadhani.
Mimi leo nitatoa mfano mmoja tu ambao nimeushudia leo SOKO LA STEREO Temeke.
Kuna mdada anauza uji katika soko la STEREO sasa leo kapigwa marufuku kwakuwa ni msimu wa...
Nashangazwa sana na sifa za kinafiki CCM wanazoompa Dr. Slaa leo hii wakati ni CCM hawa hawa walimuita muongo na mzushi wakati alipokuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA.
Isitoshe, ni CCM hawa hawa kupitia serikali ya Kikwete, walimpiga Dr. Slaa virungu wakati wa maandamano ya CHADEMA mkoani Arusha na...
Fadhili Mpunji
Wakati dunia inaendelea kutafakari kuhusu changamoto zinazosababishwa na mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine, kumekuwa na maswali mengi yanayoibuka, na kufanya watu watafakari udhati na kinachoitwa maadili ya nchi za magharibi (western values), na hata msimamo wa nchi...
Msitarajie watu walioshinda uchaguzi na wengine kupata vyeo serikalini kwa msaada wa mtu ambae alikuwa adui wa demokrasia, watu hao waache kumtukuza mtu wa aina hiyo, na inawezekana pia wanafanya yote haya ili na huyu aliepo sasa nae awabebe.
Waacheni wahangaike kwani wengine saa hizi wangekuwa...
Jana nimesikia Premier league wakisema mechi za Jumamosi mpaka jumatatu kutakuwa na ungwaji mkono wa Ukraine mechi zote na ma captain wote watatakiwa kuvaa kitambaa cha captain rangi ya Ukraine na matangazo yote ya ndani na internation Tv rights kwa maana nyingine hata sisi wa Africa DSTV ni...
Marekani ni mnunuaji mkubwa sana wa mafuta yasiyosafishwa toka Urusi!! Hilo ni eneo nyeti sana kwake kiuchuni. Jana katika hotuba yake muhimu kwa Taifa, mataifa ya ulaya yalitegemea Biden kutangaza kususia ununuaji wa mafuta toka Urusi, na kwa mshangao wao hakugusia kabisa jambo hilo. Hata...
yes yes yes hongera dikteta Kagame atleast unajali ....kuna ncgi ya kusadikika hadi leo haijui idadi ya raia wake waliokwama huko ni full u]unafiki tu, raia wa Rwanda wanafunzi waliokwama ni 85 , 79 wako poland na Blearus , 6 wako njiani wako in contact na balozi za Rwanda..kuan nchi ya...
Kwa mnaoijua vyema Katiba ya nchi naombeni mnionyeshe Kipengele kisemacho Rais akitoka Safari tu basi akitua Dar es Salaam ni lazima apokelewe na Umati mkubwa wa Watu wakiongozwa na Viongozi Waandamizi.
Na wale mnaoijua vyema Katiba ya Tanzania niwekeeni Kipengele kuwa Rais akiwa anarejea...
hajismanara Jana nilipoona hii taarifa usiku ilinistua sana na kunifadhaisha mno, huwa najisikia shida nikiona mtu nimjuae akiingia ktk matatizo yoyote yale no matter what.
Binadamu hatupaswi kufurahia pale mwenzetu anapopata mitihani au vitu kama hv, ingawa baadhi yetu tumekuwa na desturi ya...
Ndugu zangu, ili tufanikiwe kwenye jambo lolote kama taifa, ni lazima tuwe na ‘collective effort’ kuyaendea mafanikio hayo.
Hata tuwe na Rais mwema na muadilifu kama Malaika, hatuwezi kuwa na taifa lenye uadilifu na mafanikio ya maana ikiwa tutafikiri kuwa yeye pekee ndio mwenye jukumu la...
Dada yangu Spika Mtarajiwa (na mwana Simba SC Kindakindaki Mwenzangu) Dkt. Tulia Ackson tambua ya kwamba Umezugukwa na Wabunge na wana CCM wengi Wanafiki ambao 85% yao hawakukutaka sema tu Rais na Mwenyekiti CCM Taifa Samia anakukubali, Mwanamke mwemzako na ana imani nawe.
Kwa mshangao kabisa...
Hapa Duniani kuna Mambo Magumu sana kuyaelewa!
Miongoni mwa mambo magumu kuyaelewa ni unafiki wa binadam juu ya binadam mwenzake!
Watu wale wale wanaomzodoa Job Ndugai ni hao hao wa kwanza kushika MAIKI Kumpamba kwa sifa kedekede siku Akifa!
Utawasikia wakisema haya!
1. Inchi imepoteza...
Siasa, Dini, harakati za maisha, ni vigumu sana kuvitenganisha.
Siasa na dini, hivi ni vitu viwili tofauti lakini viko katika package moja, ni ukweluliomc mchungu siasa na dini zikitumika vibaya mpasuko mkubwa wa kitaifa utatokea, naomba niachane na hapa, naomba nizungumzie mienendo ya Siasa ya...
Sasa hivi kila kukicha hakukosi malalamiko kwamba Wabara wananyanyaswa au hawatendewi haki na Zanzibar ktk swala zima la Muungano, ukisoma hoja zao unaweza kushawishika mpaka pale unapoamua kufanya homework yako na kujielimisha kidogo tu, na hapo ndipo utakaposhangazwa na walalamishi.
Tanzania...
Hivi vile viapo wanavyoapa makanisani/misikitini huwa wanaviishi kweli?
Ni mke wa afisa mmoja wa ngazi ya juu huko serikalini, sasa jana wakati nawasiliana nae nikamtania na hamu ya kunyonya maziwa akanitumia emoji ya kucheka.
Eeh! Sijakaa sawa nikatumiwa picha za maziwa na alivyo mweupe...
Mimi si mpenzi sana wa " Nabii" , "Askofu" Josephat Mwingira kwani mambo yake mengi yana figisu nyingi.
Tuhuma alizozitoa Mwingira si ngeni kusikika, kuwa alinusurika kuuwawa na mali zake kuteketezwa.
Sisi wananchi tunashangazwa na unafiki wa wazi katika matukio hasi , ambayo yaliyiwahi kutokea...
Huko tunakoelekea mtatusababisha akina GENTAMYCINE tusiovumilia Upumbavu na Unafiki wenu tuwe tunakuja Kuwazaba ( Kuwawamba ) Vibao huko Studioni mliko kwani tumeshawachoka sasa.
Eti Kiungo Aboubakary Salum 'Sure Boy' ndiyo Kiungo bora wa Uchezeshaji kuwahi kutokea Tanzania. Hivi nyie...
Watu wengi, wakiwamo wanasiasa na wasomi, wamewajia juu CDM baada ya chama hicho kumshukia kama mwewe Zitto Kabwe baada ya yeye kumwombea msamaha Mwenyekiti wao kwa rais kwamba afutiwe kesi.
Hili kinadhihirisha kiwango cha juu cha unafiki na umalaya malaya wa kisiasa wa watanzania, wengi...
Nimeikuta mahali hii
Ndugu yangu Polepole nakukumbusha Newton Third Law of Motion. Action and reaction are equal and opposite. Ajifunze awamu ya tano ilivyoshughulika na Membe na Lissu ndivyo wanasiasa wanavyoweza kufanyiana.
Siasa sio sawa na kazi za Civil Society. In politics you deal with...
"Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilitengeneza Maadui wengi na nchi za Kimataifa kupitia Waziri Kabudi ila Serikali ya Rais wa sasa Samia imerejesha Mahusiano mema na Mataifa mbalimbali kupitia Waziri Mulamula" Mzee Bulembo Kada Mwandamizi wa CCM na aliyewahi pia kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.