Nimeona mashabiki wa simba wanalalamika sana kwamba Yanga inapendelewa kitu ambacho mashabiki wengi wa simba hawakitambui fursa inatafutwa haikufuati
Yanga kabla ya mechi ya mzunguko wa kwanza vs mamelodi tayari walishakuwa na mkakati wa baadhi ya mashabiki wachache kwenda south afrika na...
Kufuatia uongozi wa Simba kumuondoa baleke na yule mchezaji wa zambaia na kuleta watu wa ajabu ajabu basi wawaombr radhi mashabiki na pili waleze kilitokea nini kusajili watu wa ajabu na kumuacha baleke na Generally wa Zambia.
Baada ya hapo wajiuzuru kwa kushindwa kuio goza team kupata ushindi
Watanzania huwa tunapenda majibu marahisi kwenye maswali magumu.
Huwa tunapenda kusingizia haya yafuatayo kwenye umasikini wetu, hasahasa anguko na mdororo wa uchumi wa miaka ya 80's hadi 90's:
1. VITA VYA KAGERA,
2. UJAMAA,
3. HUJUMA ZA KIBEPARI,
4. ANGUKO LA UCHUMI WA DUNIA MIAKA YA 70's
5...
Nawashukuru nyote kwa salamu za kheri na upendo katika kumbukizi ya miaka mitatu toka nilipoapa kuitumikia nchi yetu katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aendelee kutuongoza na kutudumisha katika haki, amani, umoja na utulivu ili yote...
Mpaka sasa CCM imewapitia Radha tofauti tofauti za uongozi watanzania kutoka Kwa viongozi wake. Kutoka radha ya viongozi wenye maamuzi magumu, Radha ya viongozi wakali sana, Radha ya viongozi wapole na Radha nyingine tofauti tofauti.
Ni jukumu letu watanzania kuchagua Radha tuipendayo maana...
Nitaanza na swali kabla ya 'content' ya mada hii na swali langu ni: kuongoza taasisi za Umma au taasisi yoyote inahitaji uzoefu mkubwa au uwezo mkubwa wa kiuongozi?
swali la pili: Je, mtu ambaye hana uzoefu(graduate) hawezi kuongoza Taasisi Kwa mafanikio?
Lengo la mada hii ni kupata mtazamo...
Kelele na malalamiko yamekuwa mengi kwenye klabu ya Simba. Kuanzia kwenye masuala ya usajili wa wachezaji, matokeo uwanjani, malalamiko ya kuonewa ndani na nje ya uwanja, hadi utendaji wa kila siku wa klabu kote huko malalamiko yamekuwa mengi mno.
Kwa muda sasa Simba imekuwa inahangaika huku na...
Msanii Steve Nyerere amefanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu kwa kipindi cha miaka mitatu na kumpongeza kwa kufanya mambo makubwa ikiwemo kuondoa tatizo la upatikanaji wa umeme, kuleta reli ya kisasa inayowezesha wananchi kusafiri kwa muda wa saa moja kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro.
Habari Mwanajukwaa la Sports.
Nianze kwa kusema;
Moja ya kitu ambacho watanzania tunacho sana na ndio utambulisho wetu ni MAIGIZO yani tunapenda kuFake kila kitu hatutaki kua na uhalisia na hatuupendi Uhalisia.
Ndio maana hata Team zetu unakuta Msemaji ana STATUS Kuliko hata Kocha huku Mtaani...
Ikumbukwe juzi kwenye uchaguzi wa Iran, waliojitokeza kupiga kura ni wachache sana, yaani makundi ya watu wachache sana, watu wamechoka uongozi wa kikatili wa kidini, wanataka demokrasia ya kweli, hata timu yao ya taifa ilipofungwa walishabikia sana.
Wameomba Israel ianzishe vita dhidi ya...
"TUENDELEE kumuunga mkono Mwenyekiti wetu wa CCM na Rais Dkt. Samia katika kuongoza nchi yetu, amekuwa mfano kwa kuwezesha wanawake kisiasa, kiuchumi na alipewa nchi katika kipindi kigumu lakini alionesha ujasiri na uwezo wa uongozi mkubwa na kupita kwenye mapito tukiwa wamoja na kupelekea kuwa...
Mimi ni mshabiki wa Yanga ila napingana na kauli za watu wanaosema uongozi wa Simba ni mbovu hapana sio mbovi ila wanazidiwa na Yanga kwenye usajili.
Mwaka jana Simba imesajili sana ila ukweli ni kwamba wachezaji wengi waliosajili ni wakawaida na ni wachezaji wa magazeti.
Kipindi kile Yanga...
Huu ni utapeli wa wazi,wachezaji wa aina ile hata wa ndani wapo na hawezi kusajiliwa na timu zingine ndogo.
Wanaosajili Simba wanafaa wawe nyuma ya nondo sahizi kwa utapeli wa wazi.
Miaka ya hivi karibuni Tanzania imekuwa na ongezeko la watumishi wengi wa umma ambao wanaongeza elimu ili kujiweka katika nafasi nzuri za kuwa viongozi katika ngazi mbalimbali za serikali. Asilimia kubwa wakiwa ni watumishi wanaowania Masters na asilimia iliyobaki ni PhD.
Hii imepelekea mfumo...
Ngome ya vijana wa Chama cha ACT Wazalendo itafanya mkutano wake kesho wa kuchagua mtu atakayekuwa mwenyekiti kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari wagombea wanne wamejitokeza kuwania nafasi hiyo miongoni mwao akiwemo binti wa mwanasiasa mahiri na mwanadiplomasia...
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ila nyie kumtetea Mtu asiejielewa na ana makosa ya kujirudia ni kazi.
Nimeshindwa kutetea uzi wenu wanasimba Njooni Mjitetee wenyewe😂😂😂
waiten wana simba wote waje naanza na hawa 😂😂
Kalpana
Scars
OKW BOBAN SUNZU
Uongozi wa Simba ni wa hovyo maana umejaza usajili wa 10% tofauti na huu mwamb Eng. Hersi ambaye akiona Mchezaji mzuri anampandia ndege pasipo hayo ma 10%.
Babra alikuwa anawamotivate wachezaji Sana na sio hawa wazee.
Uongozi ukishajaaa wazee ni tatizo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.