Tukiwa Monduli hapa majira ya usiku tunakula nyama kama ishara yakumuenzi ndugu yetu na kaka yetu Lowasa. Wazee wa kimila kutoka ukanda huu wa kaskazini wanapiga soga na kubadilishana mawazo huku wakifukua historia ya viongozi mbalimbali waliofaha kuwa viongozi wakubwa ila wakatengwa na...
Nimejaribu kuangalia ratiba ya mechi ya Yanga dhidi ya Belouizdad, nimeshangaa kuona mechi inapigwa saa moja usiku. Hivi kweli mnataka kushinda mechi halafu mnawawekea mazingira rafiki mpinzani wako? Mamelod ni timu kubwa zaidi ya Yanga lakini huwezi kuona wanawachezesha waarabu usiku, bali...
Baada ya miaka 60+ Tumefeli kabisa kwenye swala la umeme.
Ukija kwenye maji mfano kwa Dar es Salaam kuna maeneo wana week ya pili maji hayatoki despite kulikua na mvua za vuli dawasco nao wanasema tatizo ni umeme eti ni mdogo hauwezi kupush maji-kipindi cha nyuma walikua wanasema tatizo ni...
Katibu Mwenezi, Itikadi na sisa wa CCM Paul Makonda, yupo barabarani akizungukia maeneo mbalimbali ya nchi ambako amekutana na shida lukuki.
Kuna shida zingine ni rahisi sana kutatuliwa bila kutumia nguvu wala migogoro.
Shida zingine wananchi hukutana nazo kutoka kwenye idara za serikali...
Kiungo Clatous Chama amesamehewa na Uongozi wa Simba SC na Februari 01 atajiunga na wenzie kambini kwa ajili ya michezo ya mzunguuko wa pili wa ligi pamoja na maandalizi ya mchezo wa CAFCL dhidi ya Asec Mimosas, mchezo utakaochezwa nchini Ivory Coast.
Clatous Chama atakuwepo michezo miwili ya...
KONGAMANO LA UVCCM KUELEKEA MIAKA 3 YA UONGOZI WA RAIS DOKTA SAMIA NA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wamefanya Kongamano kubwa kuelekea Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan madarakani na Miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi lililofanyika...
Mambo ni magumu sana,
Katika uongozi mambo ni tofauti sana.
Kiongozi unaongoza watu, watu wote wanakuangalia wewe.
Hivyo ndugu yangu ukitaka kupendwa na hao watu wekeza akili yako kwao.
Hata ungekuwa na utajiri kiasi gani wananchi hawawezi kukupenda kama huwatumikii.
Hiyo ndio kanuni...
Huhitajiki kua Rais ili uwe Kiongozi Bora Bali kuielewa tafasiri halisi ya Uongozi inatosha kabisa kuwekwa Moyoni mwa Wananchi.
Mpango, Majaliwa, Mko wapi?? Mbona Uthubutu alonao Makonda, ni mkubwa kuliko hata Nafasi yake?.
Ni sahihi kusema Makonda amezaliwa kua Kiongozi?.
Katibu Mwenezi...
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha katika kuhakikisha linaboresha huduma bora kwa Wananchi limeendelea kuwatambua na kuwapongeza Askari wa Jeshi hilo wanaofanya kazi vizuri zaidi ya kuhudumia wananchi Mkoani humo.
Akitoa vyeti vya Pongezi kwa Askari hao katika siku ya ‘Police Day’ leo Januari 26...
Benchika kiboko hakyanani yaana baada tu ya Wachezaji hawa kutua Dar es Salaam kimya kimya na kwenda Kwanza kutambulishwa Kwake (anakoishi) na kuambiwa na Uongozi kuwa Unawasajili ili watumike Kikosini Yeye bila ya Kuchelewa akauambia Uongozi (wa Simba SC) na Bonge la Sonyo kuwa wachague nani...
DR CONGO: Kundi la Waasi la M23 limeripotiwa kutangaza Uteuzi wa Uongozi wake katika maeneo yaliyopo chini ya udhibiti wake huko Mashariki mwa DRC, hali inayodaiwa kuzua wasiwasi kwamba linapanga kuunda Taifa huru katika eneo hilo.
Kupitia taarifa yake iliyochapishwa katika Mtandao wa X (zamani...
Wananzengo,
usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima.
Soon kunakucha.
Tujuzane endapo kuna maafa maeneo yenu. Lengo ni kupashana taarifa. Tupia picha .
Nawalinda wanangu hapa wasipigwe na...
Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mambo katika mjadala wa kitaifa unaoendelea kuhusu Miswada ya Sheria ya Tume ya Uchaguzi, Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani.
Ikumbukwe kuwa msimamo wa ACT Wazalendo ambao unatokana na azimio...
Uongozi wa Wafanyabiashara wadogo wa Kariakoo ‘Machinga’ (KAWASO) umekuwa ukifanya mambo ya uonevu na unyanyasaji kwa Machinga wa Kariakoo kila kukicha tena mchana kweupe!
We are not sure Serikali wanayajua haya au lah and they are un touchable sijui nguvu wanaitoa wapi?
Walianzisha program ya...
Siku chache baada ya Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu, CATA MINING ulioko Kijiji Katalyo Wilayani Butiama Mkoani Mara kufanya mgomo wakishinikiza kuliwa mshahara wao wa miezi miwili, uongozi wa Mgodi umetoa ufafanuzi.
Mbali na Mishahara wafanyakazi hao wanadai michango yao katika mfuko wa...
Chondechonde mkuu wa shule, kamati ya uongozi na bodi ya shule ya Sekondari Nyiendo tunawapigia magoti kwa huruma yenu mtusaidie kuhusu mambo yafuatayo.
1. Malipo ya mishahara yetu sasa tunaelekea ndani ya miezi minne hatujalipwa mishahara yetu.Sisi kama binadamu tuna wategemezi,tuna familia...
Baada ya mkutano wa Beijing, kuliibuka misemo mingi sana ya kuuaminisha ulimwengu kwamba mwanamke akiwa kiongozi mambo yatakuwa mazuri.
Ndipo tukaja na sera ya kumuwezesha mwanamke kielimu na ile ya 50 kwa 50 ktk uongozi.
Japo bado hatujafikia 50% kwa 50% lkn tumepiga hatua sana. Tuna...
Katika ngazi za Majiji Uongozi wa chini ni Mitaa ambapo tunaanza na Mwenyekiti wa Mtaa tofauti na vijijini huko Tuna (Wenyeviti wa vitongoji then kata) tukumbuke hao ndio viongozi hawajulikani ndani ya Katiba yetu
Sasa katika Moja na mbili nje ya #Boksi Kuna Mabalozi maeneo ya mijini naongelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.