upinzani

  1. THE BIG SHOW

    Kinachowafanya wapinzani wasihangaike kuonesha wanafaa kushika uongozi ni sababu Makonda anawasafishia njia

    Friends and our Enemies, kindly go and listen the beautiful song of the late Lucky Dube ''Reap just like you sow''. Move ya wapinzani kuingia barabarani na kuandamana kwa Amani huku wakipewa ulinzi na vyombo na Dola kwa kiasi kikubwa imeonekana kama ni pigo kwao na ushindi Kwa CCM kwa kuwa...
  2. THE BIG SHOW

    CCM wenye akili na vyama vya upinzani wote wamegoma kucheza ngoma ya Makonda

    Friends and our enemies, 'Anyone can become angry - that is easy.But to be angry with the right person,to the right degree,at the right time,for the right purpose,and in the right way - this is not easy.(ARISTOTLE,The Nicomachean Ethics). 'How you do anything,is how you do everything'...(Dante...
  3. mirindimo

    Nape Nnauye akiwa anasonga ugali

  4. Richard

    Anayokutana nayo Makonda ziarani mikoani ni yaleyale ambayo yangetatuliwa kupita shule ya uongozi ya Humphrey Polepole bila matumzi makubwa ya fedha

    Katibu Mwenezi, Itikadi na sisa wa CCM Paul Makonda, yupo barabarani akizungukia maeneo mbalimbali ya nchi ambako amekutana na shida lukuki. Kuna shida zingine ni rahisi sana kutatuliwa bila kutumia nguvu wala migogoro. Shida zingine wananchi hukutana nazo kutoka kwenye idara za serikali...
  5. Mganguzi

    Kizazi cha dhahabu katika siasa za upinzani Tanzania kilikuwa ni hiki hapa. Hawa wa sasa wamekata pumzi

    (1) Freeman Mbowe Yule wa mwaka 2005-2015, alikuwa mpinzani kweli kweli, chuma hasa hasa! Alikuwa mhimili sio tu kwa chadema Bali kwa vyama vyote vya upinzani. Kwa sasa amekata pumzi anapigania mkate na huruma ya watawala! (2) Maalim Seif Huyu hatuna mfano wake amekufa akiwa shujaa...
  6. Mjanja M1

    Waitara awataka Upinzani wahamie CCM

    Mbunge wa Tarime vijijini Mwita Waitara, amewataka wapinzani wahamie CCM kwa kuwa ni sehemu salama. "Niwaite na wale wote waliokwazwa ndani ya kile chama waje hapa ndiyo sehemu salama, huku unazungumza kwa uhuru walioko nje wamechelewa kuja, unamuona Profesa Kitila sasa hivi ni Waziri, Silinde...
  7. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Tuzungumze mipango ya Upinzani Tanzania kuelekea 2025

    Wanalenga nini hasa hili kundi? Kumuomdoa incumbet mamlakani? kwa hoja na mipango gani... Kupata nguvu na nafasi za kisiasa kwa kushiriki na kushinda uchaguzi? Je wanatumia mbinu na mtindo gani wa mawasilianao ya wao kwa wao na kuwasiliana na umma? Na je wanayo winning formular ya kushinda...
  8. T

    Politics is a strategic minds set- game; upinzani unatakiwa uwe na watu wenye high level ya intelligence na uzoefu wa manipulative strategies

    Yes, politics is a strategic minds set- game; playing around the mind set of the target audience. The strategy is to capitalize on the weakness (udhaifu na ujinga), njaa, shida na manyanyaso ya target audience; hata kama baadhi ya vitu hivyo ni wewe umevisababisha, once you win their mind set...
  9. MAHANJU

    Upinzani upo upo tu, CCM imejisahau sana

    Katika kipindi ambacho upinzani ungetakiwa kua na nguvu na kujiimarisha ni kipindi hiki ambacho Mafisadi waneongezeka kwa kasi kubwa baada ya Chuma cha Chato kulala. Ushahidi na Maneno ya Dkt Kigwangala kwamba kuna watu wananunua majumba ya gharama kubwa Osterbay na Dubai. Upinzani wetu...
  10. BARD AI

    Kiongozi wa Upinzani Nchini Zimbabwe ajiuzulu ndani ya Chama chake, adai kinatumika na Serikali

    Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Nelson Chamisa amejiuzulu, akisema chama chake "kimechafuliwa" na "kutekwa nyara" na serikali. "Sitakuwa na uhusiano wowote na siasa za maji taka," alisema katika taarifa ya kurasa 13 siku ya Alhamisi. Alipata takriban 44% ya kura katika uchaguzi wa rais wa...
  11. Mystery

    Pre GE2025 Hivi vile vyama 13 vya upinzani, vilivyoamua kuungana na CCM, kuwapinga Chadema, wanajisikiaje hivi sasa baada ya kuona maandamano hayo yamefanikiwa?

    Baada ya Mwenyekiti wa Chadema kuutangazia Umma kuwa chama chake kinategemea kufanya maandamano ya amani jijini Dar tarehe 24 mwezi huu, kama kawaida viliibuka baadhi ya vyama, wakiongozwa na CCM kuyapinga maandamano hayo. Kwa mujibu wa Mwenyekiti Freeman Mbowe, maandamano hayo ya amani...
  12. P

    Tanzania hakuna chama cha upinzani

    Nimefuatilia kwa muda mwenendo wa siasa za hapa nchini na kugundua kuwa nchi haina chama cha upinzani hata kimoja bali ni hivi vyama vingine ni miradi tu kama miradi mingine ya utafutaji pesa. Siku sheria itakapofuta ruzuku za vyama na kuelekeza pesa hizo kwenye miradi ya kweli ya maendeleo na...
  13. Messenger RNA

    Pre GE2025 Kwa hali inayoendelea mtaani, Makonda ndio akiba pekee ya CCM upinzani imara ukitokea

    Sio siri tena hali ya mtaani inazidi kuwa tete kwa wananchi na kama haitoshi hawaoni yeyote akiwatetea,zaidi ya kuwapendelea matajiri.Mifano wanayotoa ni:- 1. Bei za nauli zinapanda bila kujali maslahi ya wananchi kwa kisingizio cha kupanda mafuta,wanauliza mbona yakishuka bei hakuna...
  14. JanguKamaJangu

    Upinzani DRC waitisha maandamano Kupinga ushindi wa Tshisekedi

    Viongozi Watatu wa Upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wameitisha maandamano Nchi nzima mnamo Januari 20, 2024 siku ambayo Rais Félix Tshisekedi anatarajiwa kuapishwa kwa Awamu ya Pili kuwa madarakani. Tshisekedi ameshinda uchaguzi kwa 73% ya kura, kulingana na Tume ya...
  15. P

    Pre GE2025 Katibu Mkuu ADC: Tulipanga kufanya maandamano kuunga mkono miswada ipitishwe kuwa sheria lakini CHADEMA wakatuwahi

    Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa pamoja na Tume ya Uchaguzi irudi bungeni kwa mara ya pili na ya tatu ipite kuwa sheria lakini CHADEMA...
  16. Pascal Mayalla

    Pre GE2025 Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila...

    Wanabodi! Japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa na sio Chadema, ila mimi ni political advisor mzuri tuu, nimeisha wahi kuwa hired kuwa a political advisor wa taasisi mbalimbali kubwa tuu za kitaifa na kimataifa ambaye kwa sasa naendesha kipindi kiitwacho KMT kinachorushwa na Kituo cha...
  17. DR Mambo Jambo

    Kipi kinafanya Rasimu ya katiba ya warioba ikose uhalali kwa Serikali na CHADEMA na Vyama vingine vya upinzani kuipigia kelele kuhalalishwa?

    Kila siku huwa naipitia Rasimu hii nikijiuliza hasa ni kitu gani kinafanya inakosa Uthamani mbele ya Watawala na wapinzani au Ni neno Tanganyika lililosheheni kwenye katiba hiyo? Au Ni serikali Tatu zilizopo kwenye sura ya Sita na Saba ya katiba hiyo na Ibara ya 60 na kuendelea ya katiba...
  18. Mhafidhina07

    Hoja zipi zinakufanya kuchagua au kutochagua CCM, pia ni hoja ipi inakufanya uone kuwa upinzani ni mbadala wa CCM?

    Demokrasia imetutupatia machaguzi mengi ila tunahitaji kufanya au kuchukua uamuzi ambao ni busara zetu pekee zinaweza kuamua mustakabali wa jamii yetu kwa sasa na hata kwa baadae Siasa ni maamuzi ya kisera ambayo yanayojumuisha uchumi,jamii na utamaduni hivyo kwenye siasa ndio uwanja pekee...
  19. Cheology

    Tanzania upinzani unatia hasira

    Tanzania ni nchi safi sana kufanya clean politics. Wananchi wake ni wepesi kukufollow na ni wepesi kukuona mchumia turbo, mlafi na mazabizabina. Mpenda kula, mpenda biashara badala ya kutembea katika mstari wa utumishi. Ukiwa upinzani inabidi zaidi uwe mtumishi wa umma. Siasa kidooogo...
  20. mwanamwana

    Pre GE2025 Vyama vya Siasa vya upinzani vijikite kuwaandaa wagombea mapema kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ni vyema vyama vyote vya upinzani vitakavyoshiriki vikaanza maandalizi mapema kabla giza halijazama. Wote tunakumbuka uchafuzi uliofanyika katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ambapo vyama vya upinzani vilipata pigo moja...
Back
Top Bottom