upinzani

  1. Nehemia Kilave

    Nadhani kama Mbatia ,Mnyika na Lissu wataunda Chama basi hiki ndicho kitakuwa Chama halisi cha Upinzani

    Kiuhalisia ukitoa wana harakati kama kina Mdude ,Mwabugusi na wengine wachache nchi inabaki na watu wachache sana ambao ambao wazalendo wa kweli na mioyo yao kila siku hunena mema kuhusu Tanzania . Lisu , Mbatia na Mnyika ni moja ya watu makini sana na wazalendo Tatizo hawana nguvu za kichama ...
  2. R

    Uchaguzi DRC: Upinzani waandamana kupinga uchaguzi, polisi wafanikiwa kuwazima

    Polisi katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Kinshasa imewazuwia waandamanaji kukusanyika siku ya Jumatano 27/12/2023, baada ya kuandamana dhidi ya uchaguzi wa hivi karibuni katika taifa hilo tete la Afrika ya Kati. Wanasiasa wakuu wa upinzani katika nchi maskini lakini yenye...
  3. Girland

    Upinzani ndani ya Kanisa Katoliki - Maaskofu wapinga kauli ya Papa, Poland, Kenya na Malawi wapinga

    Baraza la maaskofu nchini Poland limekataa kutoa baraka kwa wapenzi wa jinsia moja. Hatua hii inaifanya Poland, Kenya na Malawi kuwa nchi zilizopinga agizo la kiongozi mkuu wa kanisa katoliki. SIJASIKIA kauli ya TEC, je, wanaunga mkono kubariki wapenzi wa jinsia moja au la? Au tuwaache kwanza...
  4. MamaSamia2025

    Soma orodha ya viongozi waliofanya vizuri 2023. Wa upinzani pia wamo

    Kwa mamlaka niliyojipa nimeona nitoe orodha yangu ya viongozi nilioona wamefanya vizuri majukumu yao kwa taifa. Hii orodha inajumuisha viongozi kutoka upinzani pia. Sijamweka Mama Samia kwasababu isingewezekana viongozi wa chini yake kufanya vizuri kama yeye mwenyewe asingekuwa anaupiga mwingi...
  5. BARD AI

    Rais wa Madagascar kuapishwa licha ya Upinzani kususia Matokeo ya Uchaguzi

    Andry Rajoelina ambaye ni Rais wa taifa hilo ataapishwa leo Desemba 16, 2023 kuendelea na nafasi hiyo baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika huku kukiwa na madai ya Upinzani juu ya kuwepo kwa Ukiukwaji wa Haki na Uwazi. Rais huyo aliyeingia Madarakani mwaka 2009 baada ya Rais...
  6. Tlaatlaah

    Ukata watesa upinzani nchini

    Pamoja na kupiga kelele kwa muda mrefu kuruhusiwa mikutano ya kisiasa nchini, hatimae pumzi ya fedha imekata upinzani, hakuna hamu tena kufanya mikutano ya kisiasa. Pesa hakuna kabisaa. Hata mikutano ambayo wameshafanya tayari tena kwa kusuasua, bado haikua na mvuto, muitikio na mahudhurio ni...
  7. Tlaatlaah

    Tuombee upinzani Tanzania umoja, maelewano, kupendana, kuheshimiana kuaminiana na kusikilizana

    Afya, ustawi na kushamiri kwa Demokrasia, Haki, Usawa na Maendeleo yoyote duniani mathalani kiuchumi, kijamii au kisiasa, huchochewa sana kwa namna moja ama nyingine, na uwepo na msukumo wa upinzani imara wenye, sauti moja , nia moja, mipango madhubuti, lengo na uelekeo mmoja. Tumuombe Mungu wa...
  8. R

    Taja jimbo unaloona linakwenda upinzani 2025 endapo Tume ya Uchaguzi itakuwa ya haki

    Natafakari upya kuhusu wabunge mzigo kwa jamii. Safari hii najiuliza majimbo gani yatakwenda upinzani? Wanasiasa wapya watakuwa akina nani?
  9. Carlos The Jackal

    Upinzani acheni kumu-underrate Makonda, mnapotezwa , Jamaa anaitangaza CCM kwelikweli, hatangazi Mtu!

    Kasi ya Mh Makonda ni Hypersonic , Huyu mtu ana Sayansi ya Siasa, endeleeni kumchafua na kumuona wa Kawaida !!. Anachofanya Makonda ni kuisafisha CCM kupitia Majukwaa, Maelekezo anayotoa mbele ya Majukwaa ni vitu ambavyo Watanzania hususan Wanyonge wanavyotaka Kusikia . Makonda Hasafishi mtu...
  10. peno hasegawa

    Ukimkuta mtanzania anaitetea CCM ujue anakula na kuishi CCM, ila ukimkuta mpinzani anatetea haki na hali Upinzani.

    Tutafakari haya maelezo.
  11. R

    CCM imewahi kuwa chama Cha upinzani katika majiji na Halmashauri kadhaa, na bado amani ilitamalaki

    Salaam, Shalom!! Ile Sumu iliyokuwa ikienezwa na viongozi waliotangulia kuwa kuchagua upinzani ni kuchagua vita na kukosekana Amani, kurudisha nyuma maendeleo ,umebainika kuwa ni uongo wa kuaminika tena wa kiwango Cha juu. Baba wa Taifa, Mwl Nyerere aliwahi kukataa dhana hiyo pale aliposema...
  12. J

    Wasanii Kilimanjaro wavutiwa na uteuzi wa Jokate Mwegelo UWT, warudisha kadi za upinzani

    WASANII KILIMANJARO WAVUTIWA NA UTEUZI WA JOKATE MWEGELO UWT, WARUDISHA KADI ZA UPINZANI Wasanii Kutoka Mkoa wa Kilimanjaro wahamasika na Uteuzi wa Katibu Wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Jokate Mwegelo na Wajiunga na CCM warudisha Kadi za vyama vya Upinzani hayo yamefanyika katika...
  13. kavulata

    Vyama vya upinzani kemeaneni kuhusu suala hili kabla ya Uchanguzi 2024-2025

    Wabunge na madiwani wa Kambi ya upinzani wakichaguliwa kwa taabu kubwa kisha kuhamia chama tawala wakiwa wabunge na madiwani hivyohovyo na kusababisha kufanyika kwa uchaguzi mdogo kunawauma sana na kuwakatisha tamaa wafuasi wenu waliowapigia kura, kuzihesabu na kuzilinda.. Huku ni sawa na...
  14. Influenza

    Siri hadharani: Siyo Vyama vya Upinzani ni Vyama Vya Watoa Taarifa

    Akipokelewa mkoani Dar es Salaam kama Katibu Mwenezi na Itikadi wa CC, Paul Makonda amesema kazi ya CCM ni kusikiliza kuwa sikio la Serikali na kusema kuwa Sauti ya Wananchi Amesema "Naomba nitumie fursa hii kutuma salamu kwa Mawaziri wote, Wakuu wa mikoa, na kwa Watendaji wote ya kwamba pale...
  15. Mhafidhina07

    Upinzani wanaipenda CCM, kama hawaipendi basi waanzie kukosoa sera za Hayati Mwalimu Nyerere

    Historia ya Tanzania(Tanganyika) inatuonesha muasisi mkuu wa chama cha TAA hatimae TANU(CCM) ndiye Rais wa awamu ya kwanza wa nchi Mwalimu Nyerere ndiye yeye aliyeanzisha itikadi na falsafa za chama pamoja na utamaduni huu ambao tupo based. Lakini napata mshangao kuona majukwaa ya upinzani...
  16. olimpio

    Upinzania Tanzania ujitafakari

    Nchi yenye upinzani thabiti ni imara , na nchi ikikosa upinzani madhubuti italegea. Wapinzani wa Tanzania wamekua legelege sana, Nasema haya kwa sababu hizi:- 1.Wamekua wamatukio zaidi kuliko hoja Leo umeme ukikatika wataongea kuhusu umeme week moja, baada ya hapo ikitokea vita Israel na...
  17. B

    Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati

    Vyama vya upinzani na wanaharakati ni makundi mawili tofauti yenye mwonekano wa kufanana lakini kiuhalisia ni yenye kutofautiana sana. Yote mawili hujinasibu kumtumikia mwananchi kwenye agenda za ukombozi, ila yakiwa na malengo tofauti. Kwenye muktadha wa siasa za hapa kwetu, agenda kuu ni...
  18. R

    Leo Mzee Kikwete ametimiza miaka 73; wanasiasa wa CCM na Upinzani nawakumbusha kumtakia maisha marefu

    Mhe. Kikwete amewaleta kwenye uwanja wa siasa vijana na wazee wengi wanaongara leo. Lakini wasipokumbishwa kumtakia happybithday huyu father may be wanaweza kupotezea. Sisi jukumu letu nikuwakumbusha kuandika hata KINAFIKI kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kwamba mzee kazaliwa. Naona...
  19. B

    Vyama vya Upinzani Tanzania vinashindana, vikipata mshindi ndio mapambano dhidi ya CCM yataanza

    Asalam, Tukumbushane, 20% wanataka vyama vingi, 80% wanaitaka CCM kama Chama Pekee. Hapajakuwa tena na kura za maoni tofauti na hizo. Matokeo ya Uchaguzi Mkuu hayajawahi kushinda huu utafiti wa Je tuwe na vyama vingi au lah. Hoja, hii 20% haina rangi kiasi kwamba unaweza kusema ni yule na...
  20. HelcopterChopa

    Malumbano ya kisiasa hayana afya kwa ustawi wa demokrasia nchini

    Yanayoendelea miongoni mwa vyama vya siasa na vyama vya kiraia hususani chadema na sauti ya watanzania ni kudhoofisha afya na ustawi wa demokrasia nchini. Ni kudhoofisha jitiahada zilizoanza vyema sana za kutetea haki, uhuru, usawa na demokrasia. Malumbano yanarudisha nyuma na kupoteza uelekeao...
Back
Top Bottom