Kweli Mapenzi ni upofu Kweli na mwanamke akipenda anapenda kweli kweli ..Hizi ni Picha Zinazovuma za Wanandoa Waafrika wanaishi pamoja Mume na mke.
Binti amesema "Nampenda mume wangu ananijali na ananipatie kila kitu ninachikitaka pia ananiridhisha, pamoja na maneno watu wanasema lakini...