Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Natumai mpo poa wadau leo ningependa kuwapa codes wanaume wenzangu waliooa na ambao hamjaoa someni hizi sheria
1.Hutakiwi kueleweka sana kwa mkeo(fanya kama upo upo tu) muache atumie nguvu kujua wewe ni mtu wa namna gani.
2.Mkeo hatakiwi kujua kipato chako na hata akijua usimwambie unaingiza sh ngapi. Timiza wajibu wako wa kuacha calculated budget kwa siku mf.mimi huwa naacha 10000 kwa siku
3.Mkeo hatakiwi kujua namba ya siri ya kadi yako bora ukawaambia hata wadogo zako wa damu
4.Ni marafuku kumwambia mkeo mipango yako bora ukafanya halafu ukaja kumsurprise
5.Ni marafuku asset kama nyumba na kiwanja kuandika jina la mkeo. Jina lake lionekane kwenye asset za kijinga tu kama biashara na gari.
6.Kabla hujamfungulia mkeo biashara uwe umeshafungua ya kwako tayari faida inayopatikana ndo umpe mtaji. Kwenye hiyo biashara wewe jiweke boss na jifanye unajua kila kitu usiishi kinyonge.
7.Kwenye kusomesha gawaneni miaka au watoto mwambie watoto ni wetu sote. Akilipia term hii we lipia term inayofuata.
Kabla hujajitia kitanzi cha ndoa ni vema ukampa conditions mapema ili siku moja asije kukulaumu. In reality man was born to rule the world. Mwanamke asikupangie cha kufanya asikutishie kukuua ishi kama kachero(TISS/FBI).