MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,242
- 3,161
Nashukuru.Hakikisha kila anachofanya mkeo lazima ujue na ikiwezekana ukifanyie monitoring kila kinachopatikana mkuu tofauti na hapo hiyo ndoa haipo
Nashukuru.Hakikisha kila anachofanya mkeo lazima ujue na ikiwezekana ukifanyie monitoring kila kinachopatikana mkuu tofauti na hapo hiyo ndoa haipo
Wanawake ni miamba ya sayuni 😅😅Atakuwa anajua nina a count NMB na CRDB ila hatajua kuna shilingi ngapi wala nywila hatajua, nikifa atakuwa msimamizi wa mirathi na atapata kila kitu, ila as long as napumua, kumpa access ya kila kitu ni kutafuta sukari, sonona, shinikizo la damu na magonjwa ya moyo 😅😅
Nyie ni viumbe hatari sana wala hakuna ubishi!!Wanawake ni miamba ya sayuni 😅😅
Kama ndo mnatuogopa hivi
Kumpa kila kitu so poa mkuu jitahidi ukiwa na 1M aambulie laki 2 tu ile 8K weka ya kwako in case ukija kuishiwa wewe uwe mbele ya muda kutatua changamotoMambo yakija kwenda combo watoto wako watateseka sana.
Mimi kwa kweli mama watoto wangu nahakikisha nampa first priority kwenye kila kitu changu . Incase of anything asihangaike na watoto kama yatima
😅😅😅😅Nyie ni viumbe hatari sana wala hakuna ubishi!!
Asante kwa kuukubali ukweli mamtu!😅😅😅😅😅
Wanawake wana Roho mbaya sana halafu Wana Roho nzuri sana
Na sura zetu za kiupole 😅😅😅Asante kwa kuukubali ukweli mamtu!😅
Hapana sio kumpa kila kitu ila hakikisha mama wa watoto wako anakuwa sehemu ya maisha yako maana watoto wako ndio ndugu zako sio unamficha kila kitu.Kumpa kila kitu so poa mkuu jitahidi ukiwa na 1M aambulie laki 2 tu ile 8K weka ya kwako in case ukija kuishiwa wewe uwe mbele ya muda kutatua changamoto
Timiza wajibu wako tu mkuu ila hakikisha una vyanzo vingine ambavyo mkeo hatakiwi kujua maana ukiishiwa huyo huyo mkeo atakunyanyasa sanaHapana sio kumpa kila kitu ila hakikisha mama wa watoto wako anakuwa sehemu ya maisha yako maana watoto wako ndio ndugu zako sio unamficha kila kitu.
Kumbuka ukijifanya mjanja mali zako ukawa unaficha kwa ndugu zako siku haupo ndio watakuwa wanatumbua na hawara zao hawata kumbuka familia yako.
Hapa sizungumzii mali zako ambazo unajichumia wewe mwenyewe bila mtu yoyote kufahamu
Mwanamke hawezi kukunyanyasa kama unajitambua, Mwanamke hafai tu kukuheshimu inabidi pia akuogopeTimiza wajibu wako tu mkuu ila hakikisha una vyanzo vingine ambavyo mkeo hatakiwi kujua maana ukiishiwa huyo huyo mkeo atakunyanyasa sana
Weka na ile ya mzee anayejilamba na pisikali chumbaniHakika mwanaume ni kichwa cha familia
View attachment 3647660
Ndiyo maana tunakufa mapemaHakika mwanaume ni kichwa cha familia
View attachment 3647660
Ni mateso sana MkuuKuna watu mnaishi kama mpo kwenye mission ya kuokoa dunia.
How mkuu comments zako ni mafumbo tupuKuna watu mnaishi kama mpo kwenye mission ya kuokoa dunia.
Kwanini dadaMaisha ya hivyo bora usioe!
Zaa tu ulee wanao tena ikibidi hao ndugu zako unaowaamini wakusaidie!