usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    IGP Wambura hali ya Usalama nchini ingekuwa Shwari Kibao angeuliwa vibaya na akina Sativa yangewakuta? Huoni Aibu Kudanganya BBC?

    Nasikiliza sasa BBC Dira ya Dunia na nimekusikia katika Teaser yao ukisema kwa Kujiamini kabisa na ukiwa huna haya (aibu) ukisema hali ya Usalama kwa sasa nchini Tanzania ni Shwari na ukiwapongeza Maaskari Polisi wako. Hovyo kabisa Wewe na Umetuaibisha sana wana Mkoa wa Mara (Musoma) wote kwa...
  2. Black Butterfly

    IGP Wambura: Hali ya Usalama nchini ni Shwari

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camilius Wambura amemueleza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuwa kwa sasa hali ya usalama nchini ni shwari, na hivyo kuwapongeza Polisi, vyombo vya usalama na raia wapenda amani kuwezesha hilo. IGP Wambura ameyasema hayo katika ufunguzi wa...
  3. L

    Tanzania bado ni salama sana na tunapaswa kuvipongeza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

    Ndugu zangu Watanzania, Pamoja na matukio machache yaliyojitokeza hapa katikati,lakini haiondoi ukweli kuwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinafanya kazi kubwa sana iliyotukuka ya kuhakikisha kuwa Taifa letu linaendelea kutamalaki kwa amani, Utulivu na usalama wa hali ya juu sana kuanzia...
  4. Doctor Mama Amon

    Utovu wa nidhamu katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama, unaohusisha usiginaji wa Katiba, unahalalisha wito wa “Samia Must Go”

    Kama ukiwa msituni kuchanja kuni kwa ajili ya kuwapikia watoto wako chakula, mara akajitokeza nyati anayetaka kukurarua na kukuteketeza, kuna mambo manne yanaweza kufanyika. Nayo ni: Kukimbia, kama una uhakika unayo kasi kubwa kuliko kasi ya nyati huyo; au Kupanda mti mrefu au kuingia kwenye...
  5. chiembe

    Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  6. Kalamu Nzito

    Ushauri Wangu Kwa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama

    Ushauri wangu kwa Vyombo vya ulinzi na usalama ni kwamba, kufanya ukatili sio kuogopeka. Zaidi, ni kuzidi kudharaulika na kuonekana hamna weledi wala hamjui majukumu yenu. Mtu anayeogopeka ni yule anayewajibika. Mtu asiyepindisha. Mtu aliyenyooka. Hujawahi kukaa mahali ukasikia "Yule jamaa...
  7. Mr-Njombe

    Pongezi kwa Jeshi letu kwa kuimarisha ulinzi na usalama Afrika ya Kati

    Luteni Jeneral Nyone amesema "Toka Kikosi kilipoanza jukumu katika robo ya mwisho ya mwaka 2023 Kimetekeleza majukumu yake ya Ulinzi wa Amani kwa weledi na kuweka mazingira salama na tulivu kwa Wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kuendelea na shughuli za kiuchumi na kijamii na pia kuwezesha...
  8. W

    Unatumia Mbinu gani kuimarisha Usalama wako Mtandaoni?

    Imarisha Usalama wako Mtandaoni kwa kufanya yafuatayo; a. Sasisha (Update) Kivinjari chako kila linapotoka toleo jipya. Unaweza kuruhusu Kivinjari kiweze kujisasisha 'automatically' b. Tembelea tovuti zenye alama ya ‘kufuli’ au zenye 'HTTPS' c. Pakua majalada (files) au Programu Tumizi (Apps)...
  9. Bams

    Sheria nyingi zilizoundwa na CCM zimelenga kutengeneza mazingira ya kufanyika uovu

    Taasisi yoyote inapotaka kufanya uovu wowote, kwanza hutengeneza mazingira ya kuwezesha uhalifu kuweza kufanikiwa. Serikali ya CCM, muda mwingi imekuwa ikiandaa mazingira ya kisheria ya kufanya uovu dhidi ya umma: 1. Serikali ya CCM kwanza iliandaa na kupitisha sheria ya kinga ya viongozi...
  10. Roving Journalist

    Pre GE2025 Waziri Masauni avitaka Vyombo vya Usalama kulinda Amani Uchaguzi Mkuu

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amevitaka Vyombo vya Usalama vilivyopo chini ya Wizara hiyo kujiandaa na chaguzi zinazokuja ikiwemo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu (2024) na Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani (2025) huku akivitaka...
  11. T

    Kwa yanayoendelea nchini je, Watanzania tupo salama?

    Taifa la Tanzania ni Taifa la watu waungwana na watu wasio na makuu ni Taifa la wana Hewala kama napata mlo wangu wa siku mambo mengine hayaniusu. Ni taifa kama niliumizwa na wewe unaumizwa basi leo ni zamu yako mimi siwezi kuingilia ni taifa la aina yake. Leo napenda kuja na mada yenye...
  12. Marcy

    Boss analazimisha wafanyakazi kula chakula na usipo kula unaitishiwa kikao. Kina usalama kweli?

    Mkuu wa kitengo ,boss ,msimamizi katika eneo fulani,nk. Anaamua kuleta vyakula vyake na kupikwa na watu wake huko anaowajua ndani ya eneo la kazi na kupakuliwa huko huko. Nakulazimisha watu wale tena kwa kutuma watu wachunguze kama umekula usipo kula unaitishiwa kikao na jopo la watu kwann...
  13. Lady Whistledown

    Ukatili wa Mtandaoni dhidi ya Wanawake ni Tishio kwa Usalama na Haki zao

    Wanawake wanakabiliwa na aina mbalimbali za ukatili mtandaoni, ikiwemo: Kudhihakiwa na Kudhalilishwa; Maneno ya kejeli na matusi yanayolenga kudunisha utu wa mwanamke. Kutishwa na Kutishwa kwa Maisha:** Vitisho vya moja kwa moja dhidi ya maisha na usalama wa mwanamke. Kuvujishwa kwa Taarifa...
  14. Stephano Mgendanyi

    Tanzania Yaunga Mkono Mkakati wa Kikanda wa Usalama wa Afya na Dharura (2022-2030)

    TANZANIA YAUNGA MKONO MKAKATI WA KIKANDA WA USALAMA WA AFYA NA DHARURA (2022-2030) Tanzania inaunga mkono mkakati wa kikanda wa usalama wa afya na dharura kwa kipindi cha 2022–2030 kupitia hatua za utekelezaji wa miradi muhimu, kuanzisha mpango wa wafanyakazi wa afya ya jamii ulio jumuishi na...
  15. K

    Ushauri wa bure kwa wiki ya nenda kwa usalama

    Sote tunaumizwa na ajali za kila mara zinazopelekea kupoteza nguvu kazi na hasa Vijana wa Kitanzania. Polisi wa Usalam barabarani wamekuwa wakijitahidi sana kupunguza ajali hizi lakini kwa asilimia kubwa Polisi mara nyingi wanakuwa na maelewano usio rasmi kati ya mkosaji na Polisi. Hivyo ajali...
  16. Kaka yake shetani

    Telegram: Ukweli Kuhusu Usalama na Shughuli Haramu

    Telegram ni jukwaa maarufu la ujumbe linalotumiwa na zaidi ya watumiaji milioni 950 duniani kote. Ni maarufu kwa sababu ya uwezo wake wa kutoa ulinzi wa faragha kupitia mazungumzo yaliyosimbwa kwa njia fiche (encryption), ingawa ulinzi huu hauwashiwi moja kwa moja na hauhusishi mazungumzo ya...
  17. Tajiri wa kusini

    Kiongozi wa kanisa katoliki adakwa na vyombo vya usalama

    ⚠️😳 Kiongozi wa kanisa Katoliki adakwa na vyombo vya usalama Marekani na kuvuliwa wadhifa huo kwa kuishi maisha ya kifahari kwa kufanya utapeli wa zaidi ya shilingi bilioni 1.7 ($650k) ambazo ni michango ya wahisani na waumini kwa ajili ya kusaidia wagonjwa/wahanga wa vita nchini Lebanon...
  18. econonist

    Hii Serikali imefeli kwenye usalama

    Niwe mkweli serikali ya CCM Chini ya Rais Samiah imefeli kwenye suala la Usalama kabisa. Kwa Sasa inteligensia ya Polisi ipo Chini kabisa. Uhalifu unafanyika na Wala polisi hawana taarifa ya uhalifu huo na hata ukiwapelekea taarifa hawaufanyii kazi. Kwa mfano kifo Cha Samwaja huko Singida. Mtu...
  19. Zanzibar-ASP

    Je, vyombo vya usalama vinatumika vibaya (njama) kumharibia kisiasa mama ?

    Kuna vitu vinafikirisha na kuzaa maswali yaliyokosa majibu kwa haya yanayoendelea hapa nchini kwa sasa yakihusisha kupotea ovyo kwa watu, kamata kamata ya wapinzani, wanaharakati na waandishi wa habari. Taifa linalazimishwa kwa nguvu kubwa mnoo kuingizwa kwenye taharuki isiyo ya lazima. Vyombo...
  20. Webabu

    China yasema inaiunga mkono Iran kulinda usalama na heshima yake

    Hapo jana waziri wa mambo ya nje wa China alifanya mazungumzo na waziri mwenzake wa mpito wa Iran ndugu Ali Bagheri Kani na kuweka wazi misimamo ya nchi yake katika mzozo unaofukuta hapo mashariki ya kati. Katika mazungumzo hayo waziri huyo wa China aliweka wazi kuwa kuuliwa kwa kiongozi wa...
Back
Top Bottom